Dikteta ASINGEKURUPUKA, kama wengi tulivyoonya kwamba ndege si kipaumbele cha Watanzania, kwenda kununua ndege kwa trillion 2 cash ambazo sasa zinapigwa vumbi airports. Hizi hasara za mabilioni zisingekuwepo.
Sasa ni lini wanapunguza wafanyakazi wao na mishahara yao pia?
Mzee wa kukurupuka ameangukia pua tena!! Miaka 5 ni hasara tupu!!Dikteta ASINGEKURUPUKA, kama wengi tulivyoonya kwamba ndege si kipaumbele cha Watanzania, kwenda kununua ndege kwa trillion 2 cash ambazo sasa zinapigwa vumbi airports. Hizi hasara za mabilioni zisingekuwepo.
Sasa ni lini wanapunguza wafanyakazi wao na mishahara yao pia?
Tumetumbukiza matrilioni ya shilingi kwenye white elephant projects ambazo return yake itatuchukua miaka kukamilikaBado mrejesho wa SGR kipande cha Dsm - Morogoro sijui kitaleta pato gani wakati tayari trilioni kadhaa zimetumika ktk ujenzi wa kipande kifupi kinachotarajiwa kukamilika.
Mimi ningekabili ujenzi wa reli siyo kwa kutafuta sifa kushindana na Kenya au Ethiopia.
Ningewauliza ma engineer wa Tanzania Railways Corporation ni maeneo gani ya reli ya kati ya mkoloni ni korofi na yanahitaji kuyarekebisha.
Mfano mahandaki ya Kilosa ni sawa kabisa ningetoa pesa ili kukwepa mafuriko ya mto Mkondoa treni zifanye kazi bila kusitisha safari inyeshe mvua masika au mafuriko makubwa.
Hivi huko nyumbani nasikia na reli ya moro Dom inakamilika sambamba na Dar Moro ni kweli? Huku ndo tunavyoambiwaHii SGR reli yasitishe ujenzi na ibadilishwe kuwa Meter Gauge kuokoa usafiri na fedha kibao. Hatujachelewa ni kipande cha Dar Ruvu tukibadilishe kiwe Meter Gauge na waendelee kukarabati reli ya kati mkoloni mpaka Kigoma / Mwanza.
Ikiwa wameweza kukarabati Dar Tanga Moshi Arusha reli ya mkoloni ya kaskazini kwanini wasifanye hivyo na kumaliza kero ya usafiri wa reli ya kati kwa kufanya marekebisho sehemu korofi na kumaliza mradi wote Dar Moro Dodoma Itigi Tabora Kigoma Mwanza kuwa meter gauge yenye maboresho ndani ya miaka 4 ijayo na kuachana na ndoto za SGR Reli mpya.
Hakuna cha aibu nchini Australia na Canada kuna treni zinapiga kazi kubwa tu kwa kutumia miundo mbinu iliyoboreshwa katika Meter Gauge, serikali yetu ya Tanzania ijisahihishe tuende vizuri katika suala hili la reli ya kati mkoloni.
Ndoto tu hizoHivi huko nyumbani nasikia na reli ya moro Dom inakamilika sambamba na Dar Moro ni kweli? Huku ndo tunavyoambiwa
Swala ni je, zilikua na umuhimu kwa wakati huu?Dunia nzima ndege zilizima engine sembuse tz.
Na urasimu na upendeleo wa atcl
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningeshangaa kama wangesema hawajaathirika!17 Julai 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Mkurugenzi wa ATCL amesema janga la covid-19 limeathiri safari za ndani kwa asilimia 75 upande wa mapato.
Pia kwa safari za nje ni mapato yameathirika kwa asilimia 100. Mfano anga la nchi ya India bado limefungwa na kwa upande wa China anga lipo wazi lakini kuna masharti magumu kwa abiria watokao Tanzania kiasi ya kushindwa kusafiri.
Yote hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Shirika la Ndege nchini ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi wakati wa mahojiano maalum na Esterbella Malisa wa kituo cha televisheni cha Azam TV cha mjini Dar es Salaam wakati akitaka kufahamu zaidi juu ya mikakati ATCL kufuatia mkwamo huo......
Source : Azam TV
Ni nchi gani kwa kipindi hiki cha corona ndege zake hazipigwi na vumbi!Dikteta ASINGEKURUPUKA, kama wengi tulivyoonya kwamba ndege si kipaumbele cha Watanzania, kwenda kununua ndege kwa trillion 2 cash ambazo sasa zinapigwa vumbi airports. Hizi hasara za mabilioni zisingekuwepo.
Sasa ni lini wanapunguza wafanyakazi wao na mishahara yao pia?
Duuuuu ndugu kwani hujui kuwa kila kitu kimepata madhara kwa ajiri ya Corona hata baa na mashule zimehathirika pakubwa hivyo, kwa mtazamo wako watu walifanya makosa kuwekeza ktk shule na mabaaDikteta ASINGEKURUPUKA, kama wengi tulivyoonya kwamba ndege si kipaumbele cha Watanzania, kwenda kununua ndege kwa trillion 2 cash ambazo sasa zinapigwa vumbi airports. Hizi hasara za mabilioni zisingekuwepo.
Sasa ni lini wanapunguza wafanyakazi wao na mishahara yao pia?
Duuuuu ndugu kwani hujui kuwa kila kitu kimepata madhara kwa ajiri ya Corona hata baa na mashule zimehathirika pakubwa hivyo, kwa mtazamo wako watu walifanya makosa kuwekeza ktk shule na mabaa
Ni nchi gani kwa kipindi hiki cha corona ndege zake hazipigwi na vumbi!
Mbona unahama ktk mada yako mwenyewe?Hata bila covid hakuna profit kwenye usafiri wa anga katika Nchi nyingi duniani. Tuliposema kwamba ndege si kipaumbele cha Watanzania COVID19 haikuwepo.
Mbona unahama ktk mada yako mwenyewe?