...ATC ilikuwa na wafanyakazi 350, waliopewa barua za kuachishwa kazi ni 200 tu na hao 150 waliobaki wataendelea na ajira zao pindi huyo mchina akichukua hilo shirika...
Nilivyopata habari ni more than 150 ya wafanyakazi ndio wamechishwa kazi walio baki ni mmoja officen na mwingine uwanjani. bado nafuatilia kwa ukaribu kupata details vizuri na kuna mtu namtafuta huko Zanzibar aniambie je nako hilo tukio limetokea kwenye office za AIR Tanzania??
cha ajabu zaidi wamepunguza mpaka mapilot wakati wa pilot waliopo hawatoshi
Kumbe ndiyo maana walimhamisha mshkaji wao mataka ili aisije kukosa kazi..
duh..
Wewe unataka mapilot wangapi maana mpaka sasa nafikiri wanakarusha kandege kamoja to dash 8 kama sijakosea! Mapailot 10 ndege moja wapi na wapi? Maboing yamelala tuu hamna lolote wacha wapunguzwe if they are real qualified then waende mashirika mengine ya ndege yapo mengi sana
Uamuzi mzuri sana Atcl ina ndege 2 wafanayakazi 255 wengi sana.
Bora wawe wachache ufanisi uwe bora.
Ila Mataka nae apewe barua yake hafai kabisa.
Kumbe ndiyo maana walimhamisha mshkaji wao mataka ili aisije kukosa kazi..
duh..
[SIZE=4 said:Dalilah[/SIZE];682488]jf habari hizi za kubakia wafanyakazi wawili dar na wawili arusha ni za uzushi na zinalenga kupotosha umma. Usiziruhusu. Inawezekanaje shirika la ndege libakize wafanyakazi wawili? Nani anarusha ndege nani stewardess, nani yuko commecial nani yuko engineering na nani anafanya mahesabu? Shirika limepunguza wafanyakazi na kuacha idadi ya wanaolingana na ndege zilizopo. Hii si breaking news ni habari za kawaida kwani huu ulikuwa mpango wa kujiimarisha shirika kwa muda sasa.
Who every you are, tukusamehe bure, maana hujui dira wala mwelekeo, kwa mtaji huo lazima ufyatuke na majibu kama risasi inayotoka kwenye gobole la babu yangu!! Pole eenhwe ni Delilah unazijua sifa za mwanamama Delila, mpango wa kujiimarisha acheni uchafu wenu, mnajiimarisha kuleta wachina nchini?mumefulia tuu, na ngoja yanayotokea TRL nad ATCL yatatokea pia. hamna lolote bora watz wenye UWEZO waendeshe, why Prcision inakua?kuna wachina mle?mnatia kichefuchefu kabisa,
Wazawa hatuna uwezo, nchi yenyewe imeshindwa kuendesha mzawa yupi ataweza. Kwa hili sina lawama na mtu yeyote, tujifunze kutoka kwa wenzetu wanafanyaje kazi.
Hizi habari ni za kweli? how possible?naomba source tafadhali.
Hutaki au hupendi kukubali
Tetesi nilizo pata Ofice za zanzibar wafanyakazi wote nje, Mwanza kabakia mmoja, na oficen Dar wamebakia 3 wafanyakazi wengine wadogo wadogo siju ni wangapi, arusha wawili bosi na cashier.
jethro naomba kukuuliza swali, Je safari za ndege za ATCL bado zinaendelea au zimesimamishwa???