Ni kweli Caroline. Hili Shirika limeuawa na wazawa au maamuzi ya wazawa? Walipowapa wa-South Africa waliingia mkataba ambao ulikuwa ni kama wanawagawia bure. Muhusika mkubwa alikuwa ni mtu anaitwa Dr. Gideon Kaunda. Mpaka sasa yupo kwenye mzunguko anaendelea kupeta. Huu mkataba na waChina bado haujulikani una mwelekeo gani. Lakini sitashangaa na wenyewe ukawa ni vile vile ili mradi Jina linabaki AIR TANZANIA. Kwa kifupi mimi nafikiri business knowledge/International business knowledge ya wafanya maamuzi wa kitanzania ni ndogo sana. Sijui kama ni matokeo ya elimu duni au ndivyo walivyo tu.Wazawa hatuna uwezo, nchi yenyewe imeshindwa kuendesha mzawa yupi ataweza. Kwa hili sina lawama na mtu yeyote, tujifunze kutoka kwa wenzetu wanafanyaje kazi.
Ni kweli Caroline. Hili Shirika limeuawa na wazawa au maamuzi ya wazawa? Walipowapa wa-South Africa waliingia mkataba ambao ulikuwa ni kama wanawagawia bure. Muhusika mkubwa alikuwa ni mtu anaitwa Dr. Gideon Kaunda. Mpaka sasa yupo kwenye mzunguko anaendelea kupeta. Huu mkataba na waChina bado haujulikani una mwelekeo gani. Lakini sitashangaa na wenyewe ukawa ni vile vile ili mradi Jina linabaki AIR TANZANIA. Kwa kifupi mimi nafikiri business knowledge/International business knowledge ya wafanya maamuzi wa kitanzania ni ndogo sana. Sijui kama ni matokeo ya elimu duni au ndivyo walivyo tu.