Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Wana simba walikusamehe ile mechi ya Kwanza kwa kukosa weredi wa kutumbukiza mpira golini ulikua na option mbili ufunge wewe au umpe pasi kibu wakati huo diara hakua golini ukareta mbwembwe za kutaka kufunga kistaa
Kesho ukirudia kosa kama hilo nadhani ndo utakua umejichimbia kaburi lako hapo msimbazi
FT
Utopolo 0-3 Simba
Simba bingwa
Kesho ukirudia kosa kama hilo nadhani ndo utakua umejichimbia kaburi lako hapo msimbazi
FT
Utopolo 0-3 Simba
Simba bingwa