Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Kwaiyo kwa akili zako ndogo tu unadhani nafasi kama iyo ataipata Tena au zinajirudiaga?Wana simba walikusamehe ile mechi ya Kwanza kwa kukosa weredi wa kutumbukiza mpira golini ulikua na option mbili ufunge wewe au umpe pasi kibu wakati huo diara hakua golini ukareta mbwembwe za kutaka kufunga kistaa
Kesho ukirudia kosa kama hilo nadhani ndo utakua umejichimbia kaburi lako hapo msimbazi
FT
Utopolo 0-3 Simba
Simba bingwaView attachment 3262894
Hio siku aliipataje kirahisi!?Nawewe unahisi atapata nafasi kama hiyo kirahisi
Kidhibitisho Gani ambacho unacho kua binadamu hawezi kupata nafasi mara kwa mara kwa jambo alifanyalo...tuseme kwa mfano, unapopata nafasi ya kunya, hua ni mara Moja tu na hua unajiambia au unajiaminisha kua huwezi kunya tena?Kwaiyo kwa akili zako ndogo tu unadhani nafasi kama iyo ataipata Tena au zinajirudiaga?
Basi subilia ataipata Tena iyo nafasiKidhibitisho Gani ambacho unacho kua binadamu hawezi kupata nafasi mara kwa mara kwa jambo alifanyalo...tuseme kwa mfano, unapopata nafasi ya kunya, hua ni mara Moja tu na hua unajiambia au unajiaminisha kua huwezi kunya tena?
Al hilal anawasilimiaMnunueni Haaland, Yanga ishashindikana
tulia wewe peleka ushabiki huko ,hakuna mshambuliaji asiyekoseaHuyu jamaa siku ile Ndio nilimkataa Mazima.
Hakuna mshambuliaji hapo
Na sisi tunakusalimiaAl hilal anawasilimia
Kelele za ooh tumepangwa kundi kitonga ziliishia wapi,na mkija kiteja tunawalegeza jointNa sisi tunakusalimia
Clear offsideHio siku aliipataje kirahisi!?