Alafu hebu tuambizane wewe unayejua sana kuliko hawaNenda shule kwanza maana hujui hata chochote kuhusu chanjo, la sivyo usingelinganisha korona na ukimwi! Kweli Magufuli alihamisha akili zenu, akaenda nazo nanyi mkakubali na kubaki na ujinga wake! Shame!
A means to an end..., A means to and end Brother....,Mambo mengine ni ya kujitesa tu. Binafsi siwezi kufanya upuuzi kama huo.
Huyo kwenye picha kivuli chake ni cha tochi au mbalamwezi?Pia unapaswa kuepuka direct sunlight. Hii ni kwasababu huwezi kutembea na jokofu la chanjo kwenye outreach
Alikuwa ni mwanafalsafa mzuri sana patamu hapo nimepapenda naomba urudie tenaNilipokuwa Majeshi enzi hizooo!!! Nilikuwa na Afande wangu kwa jina anaitwa Afande Taratibu. Alikuwa na usemi mmoja mzuri sana: "Jikombe ukombolewe". Sijui alikuwa anamaanisha nini?
Kazi kweli kweli, tusishangae na huyu akaitwa bungeni kupongezwa kwa kuwadunga wananchi ma chanjo kihorela.Kuna mwingine huko sijui Tunduru ambaye ni afisa afya yeye anazunguka nyumba kwa nyumba kuchoma watu chanjo.
👇🏾
View attachment 1954365
Na inasemekana amefanikiwa kuchoma watu kadhaa na wakati huo huo tunaambiwa hiyo chanjo inaweza kuhifadhiwa kwenye jokofu kati ya 2° C na 8° C (36° F na 46° F) mpaka mwezi 1 (siku 31). Baada ya siku 31 inasemekana haifai kwa matumizi.
Na kwa hali hiyo wataalamu au watengenezaji wake wanasema haiwezi kukaa nje ya jokofu kwa 12hrs, sasa huku kwetu mtu anazurula na kile kibox hata hajui thamani ya matumizi.
Kwa hiyo na sisi wengine tukiamua kutembea kwa miguu labda toka hapa nilipo hadi Mwanza Km 1200 mtanipongeza kwa ku campain watu wasichanje, chanjo ni hatari.Serikali kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemtambua Mwanariadha Michael Filberth Nondo, mkazi wa Kigoma aliyejitolea kutembea kutoka mkoani Kigoma mpaka mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha wananchi kuhusu ugonjwa wa UVIKO-19 na kuchanja Chanjo dhidi ya Uviko -19.
Katibu Mkuu Wizara ya ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi, ameueleza Umma kupitia Vyombo vya Habari akimwakilisha Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima jijini Dodoma.
“Kama Serikali tunatambua juhudi zinazofanywa na wadau mbali mbali katika Mapambano haya ya Corona, lakini kwa leo kama Wizara niseme, tumetambua ndugu Michael Nondo, aliye onesha Ujasiri na Uzalendo wakutembea kutoka mkoani Kigoma mpaka mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu yakuunga Mkono juhudi zinazo endelea nchini kote.” Amesema Prof. Makubi.
Kwa kutambua Mchango wake, Prof. Makubi amemkabidhi Cheti na kumpa hadhi ya ukamanda wa Kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo kwa kuthamini mchango na uzalendo wake katika kampeni hiyo ya uchanjaji.
Kwa upande wake, mwanariadha huyo amesema, sababu kubwa iliyo msukuma kufanya zoezi hilo ni imani aliyonayo juu ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na sekta zote ikiwemo sekta ya Afya katika Mapambano dhidi ya Uviko- 19.
Hii ni mara ya pili kwa Nondo, kufanya safari hiyo baada ya kufanya zoezi kama hilo mwezi wa sita Mwaka huu kwa mara ya kwanza, kisha kujipumzisha kwa miezi miwili kabla ya kurudia tena awamu hii,
“Mara ya kwanza kufanya safari hii nilikuwa nikifanya usiku lakini hivi sasa nimeamua kufanya mchana ili kila mmoja anione, ninawashukuru sana Serikali hususan ngazi za Serikali za mitaa nilipoweza kupita ambapo walinipa sehemu za kulala na kunikutanisha na wananchi, kunitambulisha na kuongea nao kwa lengo la kutoa Elimu juu ya ugonjwa huu” amesema Nondo
Ametoa wito kwa vijana, watu wa makamo na wazee kwenda kupata chanjo kwa hiari kwa sababu chanjo hiyo haina madhara na kushauri kuacha kusikiliza tetesi zisizokuwa za kweli na zenye lengo la kupotosha.
Amewataka watanzania wajue kuwa Taifa linawahitaji kwaajili ya kujenga Taifa hivyo kujitokeza kupata Chanjo pamoja na kuchukua tahadhari za Maradhi ikiwepo UVIKO-19 ni muhimu sana kwao.
Kwani huko Kigoma kesha hamasisha au huku ndio kutafuta fursa kwa nguvu kama akina Steve Nyerere, ningemuona wa maana angehamasisha hukohuko kwao Kigoma tena kimya kimya bila kutaka ujiko wa kwenye vyombo vya habari.Serikali kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemtambua Mwanariadha Michael Filberth Nondo, mkazi wa Kigoma aliyejitolea kutembea kutoka mkoani Kigoma mpaka mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha wananchi kuhusu ugonjwa wa UVIKO-19 na kuchanja Chanjo dhidi ya Uviko -19.
Katibu Mkuu Wizara ya ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi, ameueleza Umma kupitia Vyombo vya Habari akimwakilisha Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima jijini Dodoma.
“Kama Serikali tunatambua juhudi zinazofanywa na wadau mbali mbali katika Mapambano haya ya Corona, lakini kwa leo kama Wizara niseme, tumetambua ndugu Michael Nondo, aliye onesha Ujasiri na Uzalendo wakutembea kutoka mkoani Kigoma mpaka mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu yakuunga Mkono juhudi zinazo endelea nchini kote.” Amesema Prof. Makubi.
Kwa kutambua Mchango wake, Prof. Makubi amemkabidhi Cheti na kumpa hadhi ya ukamanda wa Kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo kwa kuthamini mchango na uzalendo wake katika kampeni hiyo ya uchanjaji.
Kwa upande wake, mwanariadha huyo amesema, sababu kubwa iliyo msukuma kufanya zoezi hilo ni imani aliyonayo juu ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na sekta zote ikiwemo sekta ya Afya katika Mapambano dhidi ya Uviko- 19.
Hii ni mara ya pili kwa Nondo, kufanya safari hiyo baada ya kufanya zoezi kama hilo mwezi wa sita Mwaka huu kwa mara ya kwanza, kisha kujipumzisha kwa miezi miwili kabla ya kurudia tena awamu hii,
“Mara ya kwanza kufanya safari hii nilikuwa nikifanya usiku lakini hivi sasa nimeamua kufanya mchana ili kila mmoja anione, ninawashukuru sana Serikali hususan ngazi za Serikali za mitaa nilipoweza kupita ambapo walinipa sehemu za kulala na kunikutanisha na wananchi, kunitambulisha na kuongea nao kwa lengo la kutoa Elimu juu ya ugonjwa huu” amesema Nondo
Ametoa wito kwa vijana, watu wa makamo na wazee kwenda kupata chanjo kwa hiari kwa sababu chanjo hiyo haina madhara na kushauri kuacha kusikiliza tetesi zisizokuwa za kweli na zenye lengo la kupotosha.
Amewataka watanzania wajue kuwa Taifa linawahitaji kwaajili ya kujenga Taifa hivyo kujitokeza kupata Chanjo pamoja na kuchukua tahadhari za Maradhi ikiwepo UVIKO-19 ni muhimu sana kwao.
Ujinga ni relative.Nenda shule kwanza maana hujui hata chochote kuhusu chanjo, la sivyo usingelinganisha korona na ukimwi! Kweli Magufuli alihamisha akili zenu, akaenda nazo nanyi mkakubali na kubaki na ujinga wake! Shame!
Tusubiri siku yakianza madhara ya chanjo waanze kutembea kwa miguu kumlaumu Marekani na wenzakeUjinga ni relative.
Wote mnaweza kuwa wajinga inategemea na mwalimu aliyewafunza kuhusu chanjo
Nenda shule kwanza maana hujui hata chochote kuhusu chanjo, la sivyo usingelinganisha korona na ukimwi! Kweli Magufuli alihamisha akili zenu, akaenda nazo nanyi mkakubali na kubaki na ujinga wake!
Je unakubaliana before injection of Johnson Johnson vaccine protein spike gene lazima iwe inserted into the Adenovirus before injected into human cellIla wabongo kwa ubishi hamjambo halafu mnajifanya mnajua kila kitu yaani.
Na kibaya zaidi hamuulizi kwa kutaka kujua, mnauliza kwa kutaka kubishana.
Janssen ( J&J ) inahifadhiwa ndani ya joto la +2 mpaka +8C ila ikitokea kuna huduma za Mkoba inatakiwa chanjo ibebwe kwenye kibebeo maalum cha chanjo ( Vaccine carrier ) ambacho ndani yake unapaswa kuweka cool water ice packs ).
Pia unapaswa kuepuka direct sunlight. Hii ni kwasababu huwezi kutembea na jokofu la chanjo kwenye outreach.
Na suala la kuexpiry baada ya kukaa kwenye Jokofu siyo siku 31 bali ni miezi 3.
Hii ni fact,but wanasema kwamba adenovirus anakuwa modified akiwa katika cytoplasm ya human cell anakuwa incapable to replicate na kucause damage to human cell,but problem hawa wamebase genetic instructions in building spike proteinAhsante Kwa taarifa...
Asije akajiua kwa kupata korona.Serikali kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemtambua Mwanariadha Michael Filberth Nondo, mkazi wa Kigoma aliyejitolea kutembea kutoka mkoani Kigoma mpaka mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha wananchi kuhusu ugonjwa wa UVIKO-19 na kuchanja Chanjo dhidi ya Uviko -19.
Katibu Mkuu Wizara ya ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi, ameueleza Umma kupitia Vyombo vya Habari akimwakilisha Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima jijini Dodoma.
“Kama Serikali tunatambua juhudi zinazofanywa na wadau mbali mbali katika Mapambano haya ya Corona, lakini kwa leo kama Wizara niseme, tumetambua ndugu Michael Nondo, aliye onesha Ujasiri na Uzalendo wakutembea kutoka mkoani Kigoma mpaka mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu yakuunga Mkono juhudi zinazo endelea nchini kote.” Amesema Prof. Makubi.
Kwa kutambua Mchango wake, Prof. Makubi amemkabidhi Cheti na kumpa hadhi ya ukamanda wa Kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo kwa kuthamini mchango na uzalendo wake katika kampeni hiyo ya uchanjaji.
Kwa upande wake, mwanariadha huyo amesema, sababu kubwa iliyo msukuma kufanya zoezi hilo ni imani aliyonayo juu ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na sekta zote ikiwemo sekta ya Afya katika Mapambano dhidi ya Uviko- 19.
Hii ni mara ya pili kwa Nondo, kufanya safari hiyo baada ya kufanya zoezi kama hilo mwezi wa sita Mwaka huu kwa mara ya kwanza, kisha kujipumzisha kwa miezi miwili kabla ya kurudia tena awamu hii,
“Mara ya kwanza kufanya safari hii nilikuwa nikifanya usiku lakini hivi sasa nimeamua kufanya mchana ili kila mmoja anione, ninawashukuru sana Serikali hususan ngazi za Serikali za mitaa nilipoweza kupita ambapo walinipa sehemu za kulala na kunikutanisha na wananchi, kunitambulisha na kuongea nao kwa lengo la kutoa Elimu juu ya ugonjwa huu” amesema Nondo
Ametoa wito kwa vijana, watu wa makamo na wazee kwenda kupata chanjo kwa hiari kwa sababu chanjo hiyo haina madhara na kushauri kuacha kusikiliza tetesi zisizokuwa za kweli na zenye lengo la kupotosha.
Amewataka watanzania wajue kuwa Taifa linawahitaji kwaajili ya kujenga Taifa hivyo kujitokeza kupata Chanjo pamoja na kuchukua tahadhari za Maradhi ikiwepo UVIKO-19 ni muhimu sana kwao.
Sijajua hata unataka kuuliza nini ?Je unakubaliana before injection of Johnson Johnson vaccine protein spike gene lazima iwe inserted into the Adenovirus before injected into human cell