HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 May 3, 2012 Thread starter #21 Biohazard said: Hao mbona walikua local kweli...? Kwani hata kama upo uarabuni alikua hatumiwi Picha za mke mtarajiwa? Click to expand... Siku ya kufa nyani miti yote uteleza
Biohazard said: Hao mbona walikua local kweli...? Kwani hata kama upo uarabuni alikua hatumiwi Picha za mke mtarajiwa? Click to expand... Siku ya kufa nyani miti yote uteleza
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 416 May 3, 2012 #22 Hadith hii inatufundisha nini?
Crucial Man JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 3,404 Reaction score 1,311 May 3, 2012 #23 Kiduku said: hadithi za kusadikika Click to expand... hv kumbe unaweza ukawakilishwa kumuowa mtu usiyemjua? Eeh nilikuwa sijuii
Kiduku said: hadithi za kusadikika Click to expand... hv kumbe unaweza ukawakilishwa kumuowa mtu usiyemjua? Eeh nilikuwa sijuii
sun wu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,422 May 3, 2012 #24 Mkuu hii hata kama ni novel (plot yake hailipi kabisa) yaani huwezi kuuza manuscript.. Haiwezekani hata kama ni arrange marriage za wapi upewe wife bila hata kuona picha yake.., yaani its impossible kabisa
Mkuu hii hata kama ni novel (plot yake hailipi kabisa) yaani huwezi kuuza manuscript.. Haiwezekani hata kama ni arrange marriage za wapi upewe wife bila hata kuona picha yake.., yaani its impossible kabisa
U Ubungoubungo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 2,502 Reaction score 741 May 3, 2012 #25 apo nampiga chini, kama alikuwa mrahisi kukubali kwangu hata airport tu hivyo, atakuwa rahisi kukubali kwa watu wengine nikienda safari za kikazi. mwanamke mrahisi hivyo simtaki.
apo nampiga chini, kama alikuwa mrahisi kukubali kwangu hata airport tu hivyo, atakuwa rahisi kukubali kwa watu wengine nikienda safari za kikazi. mwanamke mrahisi hivyo simtaki.