Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Most of 20's manual cars kwao n mitihan wengi wako interested na auto cz haiko na mambo mengiManual, T...CVY? Tezza!
Nasikia wanasema wengi hawajui kupiga hiyo manual, hasa wavaa vinjunga na funguo zao kiunoni, na ndio wanunuzi wakubwa wa magari ya mkononi.
Ongeza taarifa za gari ili wakose maswali, waende kwenye kulilia bei moja kwa moja!
Naam, nadhani pia bei ya manual na auto ziko tofauti kidogo, auto imechangamka, hasa kama unachukua ikiwa na km 19Most of 20's manual cars kwao n mitihan wengi wako interested na auto cz haiko na mambo mengi