Car4Sale Atezza Manual for sale

Manual, T...CVY? Tezza!

Nasikia wanasema wengi hawajui kupiga hiyo manual, hasa wavaa vinjunga na funguo zao kiunoni, na ndio wanunuzi wakubwa wa magari ya mkononi.

Ongeza taarifa za gari ili wakose maswali, waende kwenye kulilia bei moja kwa moja!
 
Most of 20's manual cars kwao n mitihan wengi wako interested na auto cz haiko na mambo mengi
 
Most of 20's manual cars kwao n mitihan wengi wako interested na auto cz haiko na mambo mengi
Naam, nadhani pia bei ya manual na auto ziko tofauti kidogo, auto imechangamka, hasa kama unachukua ikiwa na km 19

Kuna nchi, auto ni chache kuliko manual tofauti na hapa kwetu
 
Manual nzuri kwa safari ila route za dar utakuwa kama dereva daladala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…