Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,700
- 6,825
kwahiyo wangeupiga mwing. Rubbish!Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
- Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
- Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
- Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
- Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
- Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
- Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
- Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
- Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
- Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
- Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
Hapa Hoja za Kanisa ni za kweli au za uongo? Je hoja za Bakwata zilikuwa za kweli au za uongo ? je Haki kwenye uchaguzi huru ni suala la ukweli au la uongo? je uchaguzi wa 2020 na 2024 na changamoto zake zinahitaji utatuzi au hapana. Tusipotoshe kwa ajili ya manufaa binafsi Rais aachiwe arekebishe hali ya uchaguzi bila hadaa za matumbo yetu. Rais na Serikali ni yetu wote.Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
- Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
- Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
- Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
- Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
- Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
- Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
- Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
- Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
- Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
- Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
Hakuna kitu hapo. Maaskofu wamesisitiza Haki. Tusiendelee kubeza matamko ya viongozi wetu wa Dini. Watu wakishazoea kupora haki huwa hawaachi. Na kwa sababu hali hii huwa inakua, siku itafika wataanza kuporana Haki wao kwa wao. Lakini pia kuna hata wewe mwenyewe unayeandika haya unaweza kuporwa haki yako. Je, ukiporwa haki yako Maaskofu wasikusemee?
Mambo haya tunaona ni rahisi sana kwa sababu hayajatupata sisi wenyewe. Ebu fikiri, mtoto, mke au mme wako amebambikiziwa kesi na yupo mahabusu, wewe utajisikiaje?
Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
- Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
- Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
- Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
- Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
- Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
- Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
- Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
- Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
- Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
- Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
Wakisema mapdre mnasema wana haki ya kuishauri serikali lakini Wakisema masheikh wanakamatwa na kuwekwa sero wanaambiwa uchochezi. Ingekuwa ni sheikh Ponda katoa tamko sasa hivi angeshakuwa segereawewe unazani kazi ya dini ni nini ?kuhubiri tu theory ?
kanisa katoliki kama taasisi kubwa zaidi ya dini hapa nchini inasauti na inasikilizwa na serikali.
kama viongozi wa dini wana uwezo wa kushauri na kua na msimamo juu ya mambo yanayoendelea katika nchi
Kwa taarifa yako kanisa lina nguvu kuliko serikaliAthari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
- Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
- Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
- Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
- Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
- Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
- Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
- Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
- Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
- Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
- Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
usiongelee wakristo wote wapumzishe wengine hili ni swala la wakatolikiWakisema mapdre mnasema wana haki ya kuishauri serikali lakini Wakisema masheikh wanakamatwa na kuwekwa sero wanaambiwa uchochezi. Ingekuwa ni sheikh Ponda katoa tamko sasa hivi angeshakuwa segerea
Hii nchi haina haki wala haina usawa, nyinyi wakristo mnapenda kudekezwa hii ni nchi yetu sote
Hao huwa wanatoaga matamko au waraka akiwa Rais wa nchi ni muislamu tu. Utaona wanatoa tamko hili hata halijapoa wanatoa lingine
lakini akiwa Rais ni Mkristo hawatoi matamko au wakitoa wanapongeza. Tushawasitukia siku nyingi wala hatusikilizi matamko yao Wakafie mbele huko na chuki zao wanazozionyesha waziwazi
Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
- Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
- Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
- Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
- Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
- Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
- Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
- Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
- Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
- Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
- Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
Ni wewe ndio unaita tamko. Hiyo ni barua ya kichungaji. Na barua hiyo ya kichungaji itamfikia kila mkatoliki tz, maana utasomwa mpaka ktk ngazi ya chini kabisa ya familia.Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka