Athari mbaya 5 za tamko la TEC kuhusu siasa siku ya Pasaka

Mnavyojidai na kujiona sasa! Mnawadharau hata wakristo wenzenu kisa nyie wakatoliki. Mnajioooona mtadhani mshafika mbinguni vile. Katika wakristo wote nyinyi wakatoliki ndio waasi sana bora hata walokole na wasabato
 
Padre slaa.

Alivua kanzu akavaa gwanda, nao wavue majoho wavae magwanda au zambalau nk
 
Majibu ya Pointi 5:
1. Heri kuwa na mgawanyiko wa kijamii kuliko kuwa na muungano uliojengwa katika uongo, uonevu, wizi wa haki na kura za watu. Ni watu wasio na dhamira njema na wezi ndio watakaotetea muungano katika misingi ya dhuluma na uongo.

2. Imani msingi wake mkuu ni ukweli; hata siku moja imani haiweze. kudhoofika katika ukweli badała yake imani iliyojengwa kaika dhuluma huleta uoga wa kumwabudu mwanadamu na udikteta!

3. Ni wajibu kutoka kwa Mungu juu ya mamlaka ya duniani kwa kanisa kupinga dhuluma na uonevu na wizi hata kama ikibidi kukwaruzana na mamlaka yoyote ya dunia hii. Inatupasa kumtii Mungu kuliko mwanadamu.

4. Viongozi wa imani au dini wana jukumu ambalo kimsingi si kuziepusha nafsi zao bali kujitoa kama sadaka ili wengine wapone. Bibilia inasema: Mtu atakaye kuikoa nafsi yake ataipoteza..." Viongozi lazima wajitoe na wahatarishe maisha yao na pengine kupoteza maisha yao ili wasimamie ukweli na ukweli ndio utatufanya wote huru sio kusimamia mutambo na njaa zao na usalama wao tu!

5. Ki msingi Pasaka ni sikukuu ya kisiasa! Asili yake ni kuwatoa wana wa Israeli utumwani Misri na baadae ktk msingi huohuo wa ukombozi wa kisiasa, kumweka mwadamu huru kutoka utumwa wa dhambi, dhuluma, ujinga, magonjwa rushwa, umasikini na vyote vinavyomdhalilisha. PASAKA=SIASA: Watanzania wanahitaji PASAKA YA KISIASA ili kuwa HURU sio blah blah tu.
 
Kifurukutu Kuna Wakati nawaza nataka kusema maaskofu wanatafuta mkate Ila kuna sauti inaniambia kausha.
 
4.Hatari ya kitu gani?

Unajua mapadri/maaskofu maisha Yao ni kujitoa sadaka typically?
Unatishia kutoitwa kwenye shughuli za kitaifa ili iweje?
Mapadri/Maaskofu wana exposure ya maisha na almost wote wameshatoka nje ya Tz na wanajua wanachokifanya na kusema.

Usifundishe samaki kuogelea.

Umeandika rubbish kabisa mleta Uzi.
 
Mnavyojidai na kujiona sasa! Mnawadharau hata wakristo wenzenu kisa nyie wakatoliki. Mnajioooona mtadhani mshafika mbinguni vile. Katika wakristo wote nyinyi wakatoliki ndio waasi sana bora hata walokole na wasabato
ndo hivo tu kanisa takatifu katoliki la mitume,

kila mtu ataenda sehemu anayostahili ila imani katoliki itabaki kua imejengwa katika msingi huo. kanisa la mitume

sasa kama makanisa mengine yote yamechipikia kutoka kanisa katoliki ukweli utapingika ? au waje wajisemee wametoka wapi ?

actually hii sio mada ya dini ila inaonyesha tu jinsi gani kanisa katoliki lilivyo na uwezo wa kutoa tamko tena kanisani tu na likazua taharuki nchi nzima kwani kanisa au taasisi gani nyingine inaweza ?
 
Mkuu mim nadhan tukiacha hiyo cv ya RC tuangalie tu kwamba kinachosemwa na kanisa(RC) na kilichopo mtaani kinatofauti? Je raia hawajui kinachoendelea kwamb wamezinduka kwa kuwa RC imesema?.
 
Kama maaskofu wanaonge vitu visivyo kuwepo wadhibitiwe maana hata zama za wafalme kulkuwa na manabii wa uongo dhid ya tawala zao.
Lakin kama wayasemayo nkweli basi mamlaka itakuwa ishaandaa majibu kitambooo.

Maansa hata matabibu wanapofanya upasuaji hawakurupuki wanajipanga na response ya mwili kama pains, bleeding, short and long term effectd, normal & strangs body responses n.k sasa kama tamko la maaskofu ni response ya governmental acts lazima wamesha ya predicts.
Hivyo watakavyo deal na response kama hizo itakuwa safe & perfect wala silioni tishio lolote hapo.
 
Hakuna mkristo tena Mkatoliki ambaye anajua ubaya wa dhambi na haidiki na dhambi hiyo atachukia .Kwa taarifa Yako tu ambaye aweza kujisikia vibaya kwa mbali ni Mseminari Nchimbi ,Amos Makala na Mzee wenu wa kusinzia tu.Asilimia kubwa ya Wakatoliki hata Wana CCM wenyewe wanatamani mabadiliko
 
Daaah uchawa shida sana kwenye hii inchi , kwa hatua tuliyokuwa nayo ukweli lazima usemwe tu maana nyakati zimekaribia
 
Mnavyojidai na kujiona sasa! Mnawadharau hata wakristo wenzenu kisa nyie wakatoliki. Mnajioooona mtadhani mshafika mbinguni vile. Katika wakristo wote nyinyi wakatoliki ndio waasi sana bora hata walokole na wasabato
Mbona umepaniki .Wewe ni CCM na Malaya wa kisiasa .Kati ya madhehebu ambao hawana majivuno hata kidogo ni Kanisa Katoliki .Sema hapa wewe Ukweli umekuchoma ndiyo maana unafuta sympathy.

Ni hivi No reform no election .

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA .Polisi wenu wanabunduki sisi tuna mawe mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…