Athari na madhara yatokanayo na ugonjwa wa Busha

Athari na madhara yatokanayo na ugonjwa wa Busha

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ya tabaka mbili za korodani (Scrotal pyoceles), mara nyingi huambatana na maambukizi ya mishipa ya kuhifadhia mbegu za uzazi (epididymo-orchitis).

Wakati mwingine Busha hupelekea mwanaume kupoteza uwezo wa kujamiiana na mtu fulani ingawa ana uwezo wa kujamiiana na mtu mwingine (Relative impotency), busha hupelekea Ngiri ya mfuko wa korodani (Herniation of hydrocele sac) na mwisho mgonjwa wa Busha kuteseka kutokana na kuongezeka kwa busha na mara chache hupasuka.

10390185_822406174454012_4383859172915444570_n.jpg
 
Back
Top Bottom