Athari ya matumizi ya Catheters

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,678
Habari? je matumizi ya mipira ya mikojo maarufu kama catheters kwa watu wenye matatizo ya kibofu hasa wasichana je inaweza kuwaathiri vipi? au inaweza kutoa bikra?
 
Athari moja kubwa ni kupata u.t.i kuhusu bikira no maana ni njia tofauti kabisa la sivyo hata mtuakikijoa bikira ingekuwa inatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…