JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Mimba za utotoni zinaathiri mwenendo na tabia za Msichana ambapo asipopata matibabu ya kisaikolojia uwezekano wa kufanya ukatili akiwa mtu mzima ni mkubwa
Mimba ina madhara mengi zaidi, Msichana anaweza kumkataa, kumkimbia #Mtoto. Lakini anapokuwa na huyo mtoto uchungu unazidi kwahiyo anaweza akaendeleza tabia za ukatili dhidi ya mtoto
Ikiwa msichana aliyepata mimba akipata matibabu ya kisaikolojia anaweza kurejea katika hali ya kawaida na kuendelea na maisha yake
Inashauriwa jamii iwasaidie wasichana wanaopata ujauzito katika umri mdogo ikiwemo kuwapatia msaada wa kiasaikolojia
Chanzo: Fikra Pevu
Upvote
0