<br />
<br />
Duh umetumia neno kali kweli mkuu....
NN... cheating ipo tangu dunia inaanza, we unadhani kauli "kitandsa hakizai haramu" imeanza leo???????Hakuna cha ndoa siku hizi. Kila mtu msanii. Uaminifu na kuaminiana ni vitu vya kufikirika tu na siku zote huwaga ni siri ya mtu moyoni mwake mwenyewe. Kubali/ kataa huo ndo ukweli wenyewe.
NN... cheating ipo tangu dunia inaanza, we unadhani kauli "kitandsa hakizai haramu" imeanza leo???????
very true...... shida yetu ni selfishnessKuna wakati mwingine lugha laini hazifanyi kazi, mke wa mtu, unaenda kuuza uhuru kwa mtu usiyemfahamu? Kweli ibilisi kakamata watu.
inauma sana uchungu!!!Kuna kabila moja wao kwao hii nadharia ya kitanda akizai haramu wameikubali bila kupinga. Nilikuwa naishi nao when was young. Karibu kila familia ina mtoto wa nje tena wa mama. Wanapenda watoto hao. They dont care as long as baba amelipa mahali, mkewe akizaa hata during separation mtoto baba anamchukua. Siwaelewi kabisa. Hawana wivu aisee.
NN... cheating ipo tangu dunia inaanza, we unadhani kauli "kitandsa hakizai haramu" imeanza leo???????
kuwa na nidhamu, je unaweza kutamka neno hilo mbele ya wazazi wako? Hapa ni mkusanyiko wa watu wa rika tofauti, tusitumie maneno makali.
Mke wa mtu Anahemewa mgongoni
Kuna wakati mwingine lugha laini hazifanyi kazi, mke wa mtu, unaenda kuuza uhuru kwa mtu usiyemfahamu? Kweli ibilisi kakamata watu.
Hakuna cha ingawa hapo. Ni ukweli mtupu. Mwanamke umeolewa. Kisa cha kwenda kukazwa na mwanamme mwingine nini ihali bado uko kwenye ndoa?
Sielewi kwa nini watu wanaoana halafu wanaishia kutoka nje ya ndoa zao bila ridhaa za waume au wake zao. Ni bora ungebaki singo tu ufanye utakavyo.
Kuna wakati mwingine lugha laini hazifanyi kazi, mke wa mtu, unaenda kuuza uhuru kwa mtu usiyemfahamu? Kweli ibilisi kakamata watu.
I know my dude.
My thing is, why go through all the rigamarole of getting married. Vow to your wife or husband that you will be faithful, honor, and cherish her/him, for better or for worse, and then somewhere down the road you decide to stray? I mean, what the hell?
It boggles my mind.
Mbona badala ya kuonea huruma victims mmekazana kuwalaumu wanawake wanaotoka nje, mbona wanaume ndo zaidi?
Jamani wanawake wengine wa ajabu!
Serikali bado haijapeleka mswada wa kuhalalisha kina mama kufaya hivyo bungeni. Komalieni mswada uwahi bungeni mambo yatakuwa tofauti.Hata mimi sitetei uzinzi kabisa. Ila nachoshangaa kwa nini wanaume wakitembea nje ya ndoa inakuwa poa. Unakuta mtu ana kimada na wala hawafichi ndugu na marafiki zake. Mwanamke akiwa na kibajaji hata cha kusingiziwa mziki wake unakuwa mkubwa. Why?
N Ngabu nakushauri ufuatilie kwa karibu ili ujue kwa nini, na ni dhahiri uko single ... hivyo ku comprehend ni vigumu kwako. Sitetei kutoka nje ya ndoa lakini hua najaribu ku understand wanaotoka nje ya ndoa. kupata jibu si rahisi kiasi hicho'