nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
mie bado siamini kuwa kuna mtu ataweza kuingia guest na mtu aliyekutana naye siku ya kwanza tu,huyo mtu anajulikana kwa hao victims pengine anaishi local,na ana mazoea nao......
Tena wanaume wengi tu waso na idadi wamefia gesti wakiwa kwenye mishughuliko. Ila nchi hii ya mfumo dume hao wanawake watatu imekuwa nongwa.
Nachoona kwa sasa wanawake wamechoshwa na tabia za wame zao za kucheat. Badala ya kukaa ndani na kujiliza wameamua nao watafute vipoozeo. Ukirudi nyumbani unakuta mkeo full tabasamu kumbe unajifanya mjanja yeye mjanja zaidi yako.
Solution. Wanaume mtulie maana inaelekea wanawake wanajibu mapigo. Kama ugonjwa wameamua muutafute wote.
Hakuna cha ingawa hapo. Ni ukweli mtupu. Mwanamke umeolewa. Kisa cha kwenda kukazwa na mwanamme mwingine nini ihali bado uko kwenye ndoa?
Sielewi kwa nini watu wanaoana halafu wanaishia kutoka nje ya ndoa zao bila ridhaa za waume au wake zao. Ni bora ungebaki singo tu ufanye utakavyo.
Yessss!! Nilikuwa napita lkn nimesimama na naunga hoja mkono. KWANINI INAKUWAGA HIVYO? Akisikika tuu ya kwmb ana "KIBEBERU" mahala yani inakula kwake flu utadhani si mwny haki. Hayo yamemkuta Best wangu jina mfukoni.Hata mimi sitetei uzinzi kabisa. Ila nachoshangaa kwa nini wanaume wakitembea nje ya ndoa inakuwa poa. Unakuta mtu ana kimada na wala hawafichi ndugu na marafiki zake. Mwanamke akiwa na kibajaji hata cha kusingiziwa mziki wake unakuwa mkubwa. Why?
Hilo nalo neno .... mi wameniumiza sana wako kulalama about the ladies, sioni kabisa maoni yanayolenga kua ni kwa nini wanafikiri huyo Psychopath anafanya hivyo, walau tupate a mans perspective!
NK hapa nafikiri inabidi niende tofauti nawewe kidogo. wanawake wanaofanya hivyo sababu ziko nyingi, lakini yule anefanya kwa ajili ya kujibu mapigo anakua amepotea....
Nachoona kwa sasa wanawake wamechoshwa na tabia za wame zao za kucheat. Badala ya kukaa ndani na kujiliza wameamua nao watafute vipoozeo. Ukirudi nyumbani unakuta mkeo full tabasamu kumbe unajifanya mjanja yeye mjanja zaidi yako.
Solution. Wanaume mtulie maana inaelekea wanawake wanajibu mapigo. Kama ugonjwa wameamua muutafute wote.
Akili mu kichwa sasa...mbona hii imekaa kama msaada kwenye tuta?
Mimi nina rafiki yangu ana mvuto wa kipekee. Yaani kaolewa 10 years a go na ana two kids ila ukimcheki ana mvuto kuliko binti wa fomr six. Mume wa rafiki yangu ni malaya wa kutupwa. Yule dada ofisini wanaume wote wanamtolea mimacho. Sasa nambie hawezi siku moja kuingiwa na roho ya kisasi? Mme wake ni mshenzi kweli yaani anabadili wanawake kama hana akili nzuri. mdada kila siku anakuja ofisini full depression.
Mimi nataka wanaume nao watie akili na wapate somo kuwa hata wanawake WANAWEZA. Wasijipe moyo kuwa nasi hatuna wanaotutamani. Wanawake wa kisasa si sawa na wazamani. Wanataka usawa wa kila angle. Ukitaka nitulie na wewe tulia.
NK sometimes it is us ladies tunaosababisha waume watu treat vibaya. Ile tu unaishi na mume malaya wa kupindukia na kila mtu anajua hilo ni kujidhalilisha in someways na inaonesha una low self esteem. Na cha ajabu wanaume malaya wana wivu sana juu ya wake, watoto na dada zao - huyo dada ilibidi atingishe kiberiti na kama ni mzuri na mvuto (mana mhimu sana ku maintain ur appearance).
Am telling you kuna njia za kumuweka sawa mume wake kwa vitendo tu, kaishi nae siku zote hizi hivyo yeye huyo dada anajua kama anapendwa au lah (umalaya wa mwanaume haimaanishi hapendi the wife), anajua weakness za mumewe, anajua extent ya umuhimu wake kwa mumuwe.... atumie hivyo vigezo kumbadilisha. Sina maana kua ni rahisi, but possibility ya kumbadilisha ipo!
Nisamehe kwa nitakachosema; huyo jamaa acha awafundishe adabu hao mashetani wanaoenda kuaibiisha waume zao. hivi wewe una ndoa na mume wako mzuri, unaendaje kulala na wanaume wengine? I think huyo jamaa wamwache afanye kazi yake. Apatiikane na mwanamke ili awatie adabu waume za watu.
Mwenyezi Mungu tunusuru.
Usemacho Asha D ni kama ulikuwepo vile. Mdada ana very good salary ya kumwezesha kujitegemea ila ana low self-esteem. Sasa ndivyo alivyo utamsaidiaje? Na mumewe ana wivu mbaya na nadhani hilo linamfanya mdada ajifariji kuwa anapendwa kuliko hao wa nje. Yaani mara kwa mara jamaa anakuja ofisini ghafla ghafla kumcheki wife!
Nisamehe kwa nitakachosema; huyo jamaa acha awafundishe adabu hao mashetani wanaoenda kuaibiisha waume zao. hivi wewe una ndoa na mume wako mzuri, unaendaje kulala na wanaume wengine? I think huyo jamaa wamwache afanye kazi yake. Apatiikane na mwanamke ili awatie adabu waume za watu.
Mwenyezi Mungu tunusuru.