Athari za Kuhamishwa Ngorongoro na Hatma ya Utalii

Athari za Kuhamishwa Ngorongoro na Hatma ya Utalii

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Sasa wametolewa wamasai Ngorongoro na mmetangaza royal tour na Wamasai ambao walikuwa kivutio kikubwa mumewahamisha nakuwapeleka mbali sasa ile dola 30 ya kunufaika kwa serikali haitokuwepo. Katika ufumaji wa hereni, bangili, viatu vya kimasai.

Tutawamiss na pia na vito vingi sana walikuwa wanaujuzi huo. Kwa sababu ya wamasai hawapo tena,hatusemi kuwa ni mbaya nope shida nikuwa kivutio kwa wageni hakuna tena.

Na sio kampuni moja ilikuwa inalipa hiyo fidia kwa serikali na ilikuwa nzuri kweli. Kwa sababu serikali wananufaika na wamasai wanapata faida pia.

Bila ya wamasai mgeni hafurahi kabisa sijui hii hali itaafectije wafanyabiashara hususani aa utalii. Kingine wamefanya vyema kuwapeleka huko kwa sababu walikuwa hawaishi kwa amani pia.

Kisa wanyama kuingia makazi yao, kuwadhuru, kuwaharibia mazao hivi vyote serikali imeona kuwa wanateseka nawakaona njia pekee nikuwatoa huko ili wasidhurike ila shida ingine ni hii walikuwa wanasaidia sana uchumi kukua kwa sekta ya utalii nimehuzunika sana kuamishwa kwao.

Jioni njema

===
Pia soma Kuhamishwa kwa Wamisai Ngorongoro, tumechelewa lakini tumpongeze Rais Samia. Tujifunze Canada na tusahihishe

 
Kwani hao Wamasai wanahamishwa wote, au wanapunguzwa tu kwa idadi fulani ili kuilinda hiyo hifadhi dhidi ya uharibifu wa mazingira unao sababishwa na ongezeko kubwa la watu na mifugo?
 
Back
Top Bottom