Athari za kukiuka sheria zaitesa CHADEMA kwenye medani ya siasa za Tanzania

Sorry bloo ulikuwa tu unapita stendi ukaingia choo cha stendi kukata gogo ndio wakati umechutama ukaanza kuandika hii uzi au ni kitu ulitulia ukawaza ukachambuq ndio points zikaja ukaanza kuandika?
 
Kwan CHADEMA si ilishakufa

We una izungumzia chadema ipi

Maana magufuli alisema had kifika 2020 upinzan utakuwa umekufa

chadema ipo moyon mkuu haipo mifukoni mwa watu kama ccm
Upinzani uko mioyoni na sio kwenye vikwazo vya watu, hata CCM Kuna upinzani mkubwa tu,tena CCM Ndio imebomoka kuliko CHADEMA.
 
Oya we achana na CDM chama cha Taifa la Tanganyika - ongelea CCM chama lililovuruga amani na tunu ya Taifa tangu uhuru. CCM inayonuka damu za watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…