Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,413 Reaction score 23,592 Aug 10, 2009 #1 CUF walilaghaiwa wakaingia kwenye mazungumzo ya muafaka na CCM, sasa wanaonja machungu yake. Walilikoroga kwa kushiriki katika mazungumzo feki eti ya muafaka, sasa wawe tayari kulinywa. Waliongozwa na tamaa yao ya kutaka kugawana na mahasimu wao hicho kipande cha keki, sasa yawatoka puani. Je, Walidanganywa na nani ? Wakasukumwa na kitu gani ? Na sasa watamlaumu nani ?
CUF walilaghaiwa wakaingia kwenye mazungumzo ya muafaka na CCM, sasa wanaonja machungu yake. Walilikoroga kwa kushiriki katika mazungumzo feki eti ya muafaka, sasa wawe tayari kulinywa. Waliongozwa na tamaa yao ya kutaka kugawana na mahasimu wao hicho kipande cha keki, sasa yawatoka puani. Je, Walidanganywa na nani ? Wakasukumwa na kitu gani ? Na sasa watamlaumu nani ?