Athari za Kutohimiza Kiingereza

Hapo mi nakuelewa mzee .Ni noma kujificha kwenye mgongo wa kiswahili kwa kushindwa kingereza kwa kutumia meno uzalendo.
 
Una uhakika Japan hawaongei kiingereza.
 
U
Umesema "Mataifa yaliyoendelea"...sisi hatujaendelea bado ni tegemezi hivyo basi Kingereza ni muhimu Sana tena Sana ili tuweze kueleweka Na kuwaelewa wengine....
 
Utumwa na mawazo ya kitumwa ni mzigo.
Kuongea kiingereza sio utumwa!?? Mluokimbia umande acheni ujinga!? Nyerere aliijua vizuri hii lugha alijua mtumwa!?? Tatizo watanz wapumbavu ni wengi hasa huko chamani
 
Hahahaaahaaaaa wewe utauwawa shauri yako
 
Sasa wewe unajilinganisha na hao uliowataja!?? Hivi kwann ccm mnaogopa kiingereza hivi!??
 
Tatizo hujui kiingereza ndio maana unakichukia!!! Na sio wewe tu mpo wengi!!! Mtia mada ametaja athari za kutijua kiingereza vizuri wewe unaleta mambo ya kukinganisha !!! Hivi milsomea wapi!?
 
Mkuu umeongea facts tupu ,Ukweli ni kwamba tunatakiwa kuongea lugha ya nyumbani nikimaanisha Kiswahili Na Kingereza hasa tunapoongea Na Wageni au tunapokuwa ugenini....sielewi kwanini watu wanakuwa wagumu hivi kuelewa....
Debate hii ilianzishwa akina Jackson Makweta Zaidi ya miaka 30 iliyopita....nashangaa mpaka leo watu bado hawajaelewa Tu....
 
Kama lugha hii ya kizungu sio nzito na muhimu,kwanini inapingwa sana,kusisitiza kizungu sio Kudumaza kiswahili.
Haiwezekani mtoto anafundishwa kizungu kuanzia darasa la tatu mpaka chuo kikuu lakini hanashindwa kuimudu hiyo lugha,harafu,tukae tuseme kizungu sio lazima.hii lugha haifundishwi vzr ndio maana inatushinda na watu wanaichukia.
Kama upo kwenye mfumo wa ajira lazima utajua umuhimu wa hii lugha.
Kwani Kuna ubaya gani mtoto akijua lugha zaidi ya moja ya kimataifa?.
Kizungu ni kiswahili Cha Dunia,hayo ndio maneno ya Jurius Nyerere
 
Magufuli aliwaambia watembee kifua mbele na kiswahili
 
U

Umesema "Mataifa yaliyoendelea"...sisi hatujaendelea bado ni tegemezi hivyo basi Kingereza ni muhimu Sana tena Sana ili tuweze kueleweka Na kuwaelewa wengine....
Yaliendeleaje unadhani yalikumbatia lugha zingine ndo yakaendelea
 
Pambania hali yako
 
Mkuu, bado una energy za kubishana na negative minds... Kiingereza ni lugha muhimu period
 
Umenikumbusha juzi kwenye taarifa ya habari ITV SUPER BRAND mtangazaji akisoma habari ya polisi kukamata bunduki aina ya Raifo (Rifle) yeye akaisoma kama ilivyo Rifile!
 
Acha fikra za kitumwa mkuu, China,Russia, German,Korea wanatumia kiingereza??,hizi fikra zetu za kitumwa zinatufanya tuwaze mawazo ya kitumwa na tuishi kitumwa tumwa tu, jinga kabisa
Unamanisha nini "wanatumia kiingereza"kwamba hakifundishwi kwenye hizo nchi?
Hizo nchi Zina vijana wake wanaotumwa kwenda ulaya na USA kusoma na kuleta maharifa,China imebobea sana kwenye ujasusi wa kiuchumi na kisayansi,ina majasusi wengi huko ulaya,unafikiri bila wqnaongea lugha gani wakiwa huko ughaibuni?
 
Wewe umeajiriwa nchi gani kwa kujua kiingereza
 

Hiyo inaletwa na zimwi lilotawala vichwani mwetu takriban wengi huelewa usipo sema kingereza au kuandika hata kidogo wewe hukusoma na huna elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…