Athari za kutokunywa maji ya kutosha mwilini

Utashindwa kupata choo laini ambako itapelekea kuugua bawasiri
Bawasiri-ni ugonjwa ambao sehemu ya nyama sehemu ya haja kubwa inatoka nje.
Ikishatoka inakuwa ngumu kurudi ndani, wakati mwengine mpaka ufanyiwe uasuaji
 
Nilishangaa kuna Siku Super Friend Le Mbebez alipost kwamba kwa siku anakunywa maji liter 1,Sasa Mwili kama ule wenye karibia 400 pounds(180kg) unywe lita 1? wakati ilitakiwa anywe si chini ya lita 5 kwa siku,ndio maana mabebez hadumu nao maana kama mwili hauna maji hata Dushe haliwezi kusimama maana flow ya damu itakuwa ndogo sana hence hata erection hakuna.,,,ndio maana anaishia kupiga nao picha tu .

How much water do you need?

Every day you lose water through your breath, perspiration, urine and bowel movements. For your body to function properly, you must replenish its water supply by consuming beverages and foods that contain water.

So how much fluid does the average, healthy adult living in a temperate climate need? The National Academies of Sciences, Engineering, and Medicine determined that an adequate daily fluid intake is:

About 15.5 cups (3.7 liters) of fluids for men
About 11.5 cups (2.7 liters) of fluids a day for women

These recommendations cover fluids from water, other beverages and food. About 20 percent of daily fluid intake usually comes from food and the rest from drinks.

Health benefits of water

Water is your body's principal chemical component and makes up about 60 percent of your body weight. Your body depends on water to survive.

Every cell, tissue and organ in your body needs water to work properly. For example, water:
-Gets rid of wastes through urination, perspiration and bowel movements
-Keeps your temperature normal
-Lubricates and cushions joints
-Protects sensitive tissues
Lack of water can lead to dehydration — a condition that occurs when you don't have enough water in your body to carry out normal functions. Even mild dehydration can drain your energy and make you tired.
 
Na kama unakwenda kutolewa damu hospitali hata ya vipimo tu kunywa lita ya maji hawatapata shida ya kuona mishipa
 
Wakuu nina tatizo hilo pia....nachukia maji kiasi kwamba nakunywa kwa kujilazimisha kama dawa tu.Sijui nini kinasababisha hii kitu
 
Baba
umesema unaweza kupitisha wiki nzima,bila kunywa maji?!!!!!!!!!
 
Unaijua Bawaziri na Gout anthritis? Soon haya magonjwa yatakuandama
 
Kwa hiyo tabia utakuwa unakunya mara moja kwa wiki.
 
Anza kuandaa pesa ya kununulia figo mkuu
 
Ongezea 10% ziwe 70%
 
Kwa ufupi Wabongo wachache mno wanaokunywa maji kama inavyotakiwa haishangazi ni nadra kukutana na mtu Dar yenye joto kali kama hili la Disemba hana hata chupa ndogo ya maji...lakini pia kukosekana kwa vyoo vya umma kunazorotesha ujasiri wa kunywa maji maeneo kama Dar ...maana ukinywa maji sharti ujiandae kukojoa sana...nadhani kesi za magonjwa ya figo na diabetes zinashamiri sababu mojawapo ni hii.

NINI TUFANYE
1. TAMISEMI uzielekeze Halmashauri kuhakikisha vyoo vya umma vinakuwepo maeneo mengi zaidi kv jirani na mabenki nk...ikiwezekana kwenye vituo vidogo vya daladala wawekezaji waruhusiwe kutega vyoo vya muda (mobile toilets) ili kusaidia abiria kunywa maji with confidence

2. Kodi kwenye maji ya kunywa/vifungashio vyake ipunguzwe ili gharama ya maji iwe afueni kwa mtu wa kipato kidogo...maji ya kandoro yalisevu sana watu walikunywa sana maji kwani bei ilikuwa chini.

3.Wizara ya afya ije na kampeni ya kuhamasisha watu kunywa maji kama wanavyofanya kampeni ya saratani mlango wa uzazi na matiti au maradhi yasiyotiliwa maanani kama kifadulo !

4. Wazazi mwanao hata kama anasoma kayumba preimari skul mfungashie maji ya kunywa...chupa sio lazima iwe ya mlimani site...na nyie Wazazi wa intaneshino msiwawekee juisi tu mle hakikisheni maji pia yapo.....na muwafundishe watoto umuhimu wa maji mwilini

5. Kila kaya ihamasishe unywaji maji safi na salama na yawepo...enzi tulikunywa kutoka kwenye jungu kubwa likifunikwa na kitambaa safi na kikombe cha bati...wote tulinywea hichohicho.

#JFmemberopinionmustreflectGTmotto#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…