Athari za kutokuwa na kaba ya ulimi, kuongea kwa Lissu bila kuangalia ni kwa kiasi gani unakipasua chama chako CHADEMA/unawagawa wanachama na wapenzi

Athari za kutokuwa na kaba ya ulimi, kuongea kwa Lissu bila kuangalia ni kwa kiasi gani unakipasua chama chako CHADEMA/unawagawa wanachama na wapenzi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
MAONI YANGU

Tuna uzoefu mkubwa wa watu kuitikia michango inayoitishwa na Chadema katika kushghulikia wanachama/wapenzi wanaopata madhira kwa sababu ya kuwa upinzani. Tumeona ushirikiano mkubwa kutoka watu kufikisha kiasi fedha kinachihitajika kumlipia fine wanaokuwa wamebambikiwa kesi na kukutwa na "hatia" ya mchongo.

Athali za Lisu zinaanza kuonekana kutokana na kuongea kwake:

MICHANGO YA GEORGE SANGA NA WENZAKE

Michango ya George sanga mpaka leo ni 2,850,429 (nadhani hapa unaondoa 1,000,000 ya Sativa) Kwahivyo michango kutoka kwa wapenzi na wanachama wa Chadema ni 1,850, 429.

Hii siyo dalili nzuri ikikumbukwa uzoefu wetu wa nyuma katika kutoa michango ya hivi. Erythrocyte
 
Lisu alishalewa sifa, na anajiamini kupitiliza kwasababu anaamini ameshika nyoyo na fikra za eatanzania wote. Ila mind you, mbwa hanyei bakuli analolia chakula, ni suala la muda tu atavuna alichopanda.
 
Huyo Kijana nampa sana pole .

Ila ajikite na maisha siasa za Tz zimekaa kimkakati
 
Back
Top Bottom