ItsMi
Member
- Sep 13, 2021
- 66
- 31
Katika miaka kadhaa ya hivi karibuni tumeshuhudia kwa vile ambavyo mabadiliko hayo yanavyoathiri jamii yetu
Mara kadhaa kumekuwepo hali tofauti tofauti katika majira ambapo inaweza ikatokea mvua zikawahi au zikachelewa licha ya kwamba ni kipindi chake pia inawezekana mvua ikanyesha sana na kuleta mafuriko katika maeneo mbalimbali au ikanyesha kidogo ikaathiri uzalishwaji wa mazaokutokana na hali ya ukame kushamili.
Sasa unakuta kwa kiasi kikubwa sana mvua ni hitaji la kila mkulima na endapo ikatokea mvua zimechelewa tofauti na matarijio ya wakulima wengi inapelekea msimu husika kutokuwa na uzalishaji mwingi wa mazao na hata bila kutegemeana na aina gani ya mbegu iliyotumika, hivyo linakuwa pigo kwa wakulima wengi.
Baada ya kuona namna inavyoathiri mazao ya mkulima shambani pia athari yake nyingine ni kwamba inapelekea uzalishwaji mdogo wa bidhaa zinazotegemea kilimo kuwa na uzalishaji mdogo katika viwanda hivyo jambo linalotokana na upungufu wa marighafi hizo zitakazo kwa wakulima kutotosheleza hitaji la viwanda, Jambo linalochochea mfumuko wa bei kwa bidhaa husika pale iwapo sokoni kwa kuwa bidhaa zinakuwa chache ikilinganishwa na uhitaji wake.
Pia mabadiliko ya Tabia ya nchi ni chanzo cha uharibifu wa mazingira katika swala zima la kuharibu makazi ya watu kwa vimbunga Visivyoatajiwa pia kuharibu mazao mashambani kwa mafuriko na kuharibu miundombinu tulizojiwekea ikiwa pamoja na njia za mawasiliano, Madaraja na hata barabara zetu sambamba kuangamiza mifugo yetu
Hivyo kwa uchache tunaona athari zilivyo kuwa kubwa kwa jamii zetu kwa namna zinavyo athirika, sasa ni jukumu la kila mmoja wetu kujidhatiti katika kupigana na hali hizi tofauti tukishirikiana na serikali yetu kusaidia wale wanaokumbwa na maafa kama hayo katika jamii.Pia serikali ijikite katika kutoa elimu namna ya kuweza kujikinga na athari hizi zitokanazo na mabadiliko ya tabia ya nchi
Pia iendeleze mipango mikakati ya kutoa elimu kuhusu athari za ukataji wa miti ovyo kwa sababu kwa kiasi kikubwa huchochea kwa kiasi kikubwa mabadiliko hayo ya tabia ya nchi, ambapo kutokana na kuharibu maliasili misitu kwa shughuli zetu mbalimbali mfano kupata mbao na miti kwa ajili ya ujenzi wa makazi na mabanda ya mifugo ndicho kinachochangia kwa kiasi kikubwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi
Endapo ukataji miti ukidhibitiwa naamini mabadiliko ya tabia ya nchi hayatakuwa na athari kama kwa hivi sasa ilivyo Pia katika namna ya uthibiti tunaomba zianzishwe sera ambazo zitakuwa zinahamasisha utunzaji wa maliasili ili kwamba Iwe chachu ya mazingira bora
Pia endapo atapatikana mtu anakata miti afungwe na kupigwa faini la sivyo awe na kibali maalum kutoka mamlaka husika na sio vinginevyo.
Asanteni.

Upvote
0