Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Mfumo dume unapoingia kwenye mfumo jike ndipo ambapo mwanamke hudhalilika zaidi na hata kujidhalilisha. Sikutegemea mtu yeyote kudhani kuwa ukubwa wa matiti ndio sifa ya kuolewa. Inaleta shaka zaidi na maumivu makubwa kwa wanawake anapotamka hayo kiongozi wa nchi, tena mwanamke!
Aidha, ni vema rais wetu SSH ajue kuwa wanaume wengi (si wote) hupenda maziwa madogo (flat chest) na chuchu zilizochongoka. Hata wanawake wasiocheza mpira wa miguu pia wana maziwa madogo. Kuwa na maziwa makubwa hakutokani na kutocheza mpira, ni maumbile tu.
Na zaidi sana sifa ya kuolewa haiko tu kwenye maumbile, bali pia kwenye tabia, weledi au utaalamu, nk.; katika fani fulani.
Si vema kuwakatisha tamaa binti zetu wanaocheza mpira. Kuna mengi mazuri sana ya kuwatia moyo iwe kwa ajili ya kuolewa au kujenga afya zao na maisha yao.