Athari za mirungi..gomba.

Mchaga HD

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
78
Reaction score
18
Salama wakuu.ningependa kujuwa mathara ya kula mirungi na faida yake.niliwahi kula sana mombasa na wala sikuona athari zake kwa mm binafsi..sasa nataka niache uraibu wote nianze kula mirungi.

Maana nakumbuka ulevi wake nitofauti na pombe,unautulivu kidogo.naombeni kufahamu tafadhali.
 
Upungufu wa nguvu za kiume na mwisho utaanza kuliwa (,.... )express urself
 

Gomba (kangeta) halina madhara esp. kama utasaga in moderation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…