Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Majuzi TMA walitabiri mvua kubwa kuanza kunyesha kwa baadhi ya mikoa, athari zikisemwa kuwa za kawaida.
Tumeona mvua imeanza kunyesha, hali ikoje huko ulipo? Miundombinu iko salama?
Pia soma TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 25
Itakuwa vizuri ukiweka athari uambatishe na kavideo au kapicha ili ambao wanahitaji msaada waonekane na kufikiwa kirahisi.
Karibuni Wakuu.