Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Mar 12, 2025 #1 Wakuu, Majuzi TMA walitabiri mvua kubwa kuanza kunyesha kwa baadhi ya mikoa, athari zikisemwa kuwa za kawaida. Tumeona mvua imeanza kunyesha, hali ikoje huko ulipo? Miundombinu iko salama? Pia soma TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 25 Itakuwa vizuri ukiweka athari uambatishe na kavideo au kapicha ili ambao wanahitaji msaada waonekane na kufikiwa kirahisi. Karibuni Wakuu.
Wakuu, Majuzi TMA walitabiri mvua kubwa kuanza kunyesha kwa baadhi ya mikoa, athari zikisemwa kuwa za kawaida. Tumeona mvua imeanza kunyesha, hali ikoje huko ulipo? Miundombinu iko salama? Pia soma TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 25 Itakuwa vizuri ukiweka athari uambatishe na kavideo au kapicha ili ambao wanahitaji msaada waonekane na kufikiwa kirahisi. Karibuni Wakuu.
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Mar 12, 2025 #2 Dar es salaam kama kawaida ikinyesha mara Moja tu mafuriko na majitaka kufunguliwa.kila Kona kunanuka maji taka tu.Huu mji ni wa hovyo sana
Dar es salaam kama kawaida ikinyesha mara Moja tu mafuriko na majitaka kufunguliwa.kila Kona kunanuka maji taka tu.Huu mji ni wa hovyo sana
Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Mar 12, 2025 #3 Hiyo mvua Iko wapi?
S southg Member Joined Sep 9, 2024 Posts 82 Reaction score 134 Mar 12, 2025 #4 Sir John Roberts said: Hiyo mvua Iko wapi? Click to expand... Hawa watu labda wapo sayari tofauti
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Mar 12, 2025 #5 Ni vinyunyu tu, mvua kamili inakuj hivi karibuni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 12, 2025 #6 Hakuna mvua