Dar miundombinu mibovu sana, hamna mitaro barabarani. Maji hayana kwa kwenda, matokeo yake no mafuriko na uharibifu wa barabaraAaaaaah manyunyu wanasema mvu
Hivi City Centre na kwenyewe ni bondeni? Posta hakupitiki kirahisi muda huu.Tangu jana usiku inapiga mdogo mdogo asubuhi ndo koki imefunguka sijajua wa mabondebi huko wana hali gani ...tutapata majibu hapa hapa
Mji wa Dsm ulivyo ni kama Beseni la Maji, mvu kidogo tu tayari limeshajaa na kufurika.Mji wa kifala Sana huu.
Manyunyu kidogo barabara hazipitiki alafu tunataka kuandaa afcon
Dar aslimia kubwa ni kama bonde maana iko chiniHivi City Centre na kwenyewe ni bondeni? Posta hakupitiki kirahisi muda huu.
Pale salendar ndo mkondo wa mto msimbazi unapoingilia, jangwani kunafurika kutokana na level ya bahari kuwa karibia aawa kbs na mto msimazi hivo kufanya maji ya mto kuingia taratibu sana baharini.Maji ya mvua yanatakiwa kufwata mkondo wa bahari yaingie pale salendar bridge yazame ndani huko.
Sasa mifumo huku mitaani ni shida.
Ndio mimaji hiyo mitaani.
Na jiji hawazibui mifereji
Hapo ndo shida
Siyo kweli, tatizo kubwa kabisa kwa Jiji la Dsm na Tz yote kwa ujumla ni kukosekana kwa Mipangomiji, there's the problem of Death of Town Planning profession in Tanzania and whole Africa in general, with exception of very few countries.Dar aslimia kubwa ni kama bonde maana iko chini