Athari za siasa

masonda isdory

New Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Siasa ni mdudu ambaye kwa namna moja au nyingine amechangia kuitafuna elimu yetu hasa nyakati hizi za usoni
 
Great thinker asingebandika kitu cha namna hii.

Je, hili ni swali? Mtazamo? Statement? Ni kitu gani haileweki. Unless ulikuwa unajaribu kubandika kwa mara ya kwanza, kitu ambacho siyo jambo baya kama ungetumia angalau dakika 10 kufikiri utabandika nini. Siyo vitu nusu nusu, tofauti ya Facebook na JF ni kuwa huku hakuna 'What's on your mind?'.

Ulichokiandika kinabaki na swali, KWAHIYO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…