Atheist na watu dini ni kundi moja ambalo halijuani

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana wanafatisha watu wamagharibi wanachokiamini.

Binafsi Mimi naamini katika mizimu na karma. I pray to my ancestors and I do good deeds. Kuwa athesit na kuwa MTU wa dini ni ujinga.

Lazima uwe na nguvu yako ambayo inakutambua mizimu inakujua na ukiomba inafanya Kazi hapo hapo wala haitaji kukaa kusubiri.
 
SEMA min -me YUKO KOTE KOTE ANAJIDAI ATHEIST HUKU ROHONI ANAMKUBALI SANA YESU KRISTO

NA nilicho gundua Familia yote ya Min me ni walokole ila huyu min-me ndio wale watoto walio kengeuka baada ya kufika chuo akasahau yote ya kiinjili
 
Unajua unaapoaandika blah blah kuprove point haieleti maana yoyote

Kama umeona kuna faida katika kuomba mizimu

Basi tupia moja mbili tatu namna ya kuf
anya na kufaidika ila hao athesits na wenye dini waone kuna mafaa

Tofautu na hapo hauna utofauti na wao
 
Kuhusu mizimu hii ni kweli nadhani MTU anayekujua ni rahisi kukusaidia kuliko ambaye hakujui.

Ukiomba mizimu jitambulishe wewe ni nani na unahitaji nn.

Wakijua wewe ni nani waambie shida yako watakusaidia kwa haraka Sana.

Iwe mahusiano
Kazi
Biashara.

Tafuta chumvi na sukari
Udi au ubani
Mishumaa.

Hakikisha unakaa sehemu safi ambayo haufanyii uzinzi.
 
Kuhusu mizimu hii ni kweli nadhani MTU anayekujua ni rahisi kukusaidia kuliko ambaye hakujui.

Ukiomba mizimu jitambulishe wewe ni nani na unahitaji nn

Wakijua wewe ni nani waambie shida yako watakusaidia kwa haraka Sana

Iwe mahusiano
Kazi
Biashara.

Tafuta chumvi na sukari
Udi au ubani
Mishumaa.

Hakikisha unakaa sehemu safi ambayo haufanyii uzinzi
Sawa hio chumvi sukari ud na uban unavinyaje sasa
 
Chumvi hasa ya mawe ikiwa kuna MTU anakufanyia ubaya au anavunja njia zako za kutoboa

Sukari unajiunganisha na watu ambao unahitaji wakusaidie kupata kitu fulani

Sawa hio chumvi sukari ud na uban unavinyaje sasa
Unap
 
Kuhusu mizimu hii ni kweli nadhani MTU anayekujua ni rahisi kukusaidia kuliko ambaye hakujui.

Ukiomba mizimu jitambulishe wewe ni nani na unahitaji nn

Wakijua wewe ni nani waambie shida yako watakusaidia kwa haraka Sana

Iwe mahusiano
Kazi
Biashara.

Tafuta chumvi na sukari
Udi au ubani
Mishumaa.

Hakikisha unakaa sehemu safi ambayo haufanyii uzinzi
Acha kudanganya watu, kama mizimu ni nduguzo why wakusaidie kwa masharti?
 
SEMA min -me YUKO KOTE KOTE ANAJIDAI ATHEIST HUKU ROHONI ANAMKUBALI SANA YESU KRISTO

NA nilicho gundua Familia yote ya Min me ni walokole ila huyu min-me ndio wale watoto walio kengeuka baada ya kufika chuo akasahau yote ya kiinjili
yupo kama mimi sometimes dini ukishika sana unapotea kwenye ramani
 
Acha kudanganya watu, kama mizimu ni nduguzo why wakusaidie kwa masharti?

Unajiujganisha na MTU anayekujua this is very simple and easy .

Kuhusu masharti unahisi masharti gani kwani hata ukienda kanisani au msikitini si kuna mambo huwa wanafanya ili kumani-fest mambo yao.
 
Huna tofauti nao hata kuamini mizimu nayo ni ujinga, dunia ya leo watu wanaamini vitu vilivyofanyiwa tafiti au vinavyowezekana kufanyiwa tafiti, kama mtu ameleta tafiti zake na hukubaliani nazo basi mpinge kwa kuleta tafiti zako na si maneno matupu
 
Unajiujganisha na MTU anayekujua this is very simple and easy .

Kuhusu masharti unahisi masharti gani kwani hata ukienda kanisani au msikitini si kuna mambo huwa wanafanya ili kumani-fest mambo yao.
Nduguyo hawezi kukusadia kwa masharti, mizimu ni spiritual agent wanaoigiza ndugu zetu ajili ya kutufanya watumwa wa kiroho wa falme zao.

Binadam anao uwezo wa kiroho ndani yake utakaomwezesha kufanikisha kila kitu ktk maisha bila msaada wa mizimu.
 
Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana wanafatisha watu wamagharibi wanachokiamini.

Binafsi Mimi naamini katika mizimu na karma. I pray to my ancestors and I do good deeds. Kuwa athesit na kuwa MTU wa dini ni ujinga.

Lazima uwe na nguvu yako ambayo inakutambua mizimu inakujua na ukiomba inafanya Kazi hapo hapo wala haitaji kukaa kusubiri
Mizimu, Mapepo, Majini, Wachawi, Wanga, Washirikina, Walozi na Waganga wa kienyeji ni Watoto wa Shetani, mfano ni Airtel Money, Tigo Pesa, M Pesa na Hallow Pesa ni kampuni za simu kutekeleza mihamala.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana wanafatisha watu wamagharibi wanachokiamini.

Binafsi Mimi naamini katika mizimu na karma. I pray to my ancestors and I do good deeds. Kuwa athesit na kuwa MTU wa dini ni ujinga.

Lazima uwe na nguvu yako ambayo inakutambua mizimu inakujua na ukiomba inafanya Kazi hapo hapo wala haitaji kukaa kusubiri
Kiranga & Infropena huamini uwepo wa akili, sauti, hewa kwa kuhisi ila kimwonekano hawawezi kuthibitisha sawa na simu zinazoweza kuonekana kwa macho, kusikika kwa masikio na kushikika mikononi. Kama si ubishi usio na faida ni nini?

Back
Top Bottom