God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Unajua unaapoaandika blah blah kuprove point haieleti maana yoyote
Kama umeona kuna faida katika kuomba mizimu
Basi tupia moja mbili tatu namna ya kuf
anya na kufaidika ila hao athesits na wenye dini waone kuna mafaa
Tofautu na hapo hauna utofauti na wao
Sawa hio chumvi sukari ud na uban unavinyaje sasaKuhusu mizimu hii ni kweli nadhani MTU anayekujua ni rahisi kukusaidia kuliko ambaye hakujui.
Ukiomba mizimu jitambulishe wewe ni nani na unahitaji nn
Wakijua wewe ni nani waambie shida yako watakusaidia kwa haraka Sana
Iwe mahusiano
Kazi
Biashara.
Tafuta chumvi na sukari
Udi au ubani
Mishumaa.
Hakikisha unakaa sehemu safi ambayo haufanyii uzinzi
UnapSawa hio chumvi sukari ud na uban unavinyaje sasa
Acha kudanganya watu, kama mizimu ni nduguzo why wakusaidie kwa masharti?Kuhusu mizimu hii ni kweli nadhani MTU anayekujua ni rahisi kukusaidia kuliko ambaye hakujui.
Ukiomba mizimu jitambulishe wewe ni nani na unahitaji nn
Wakijua wewe ni nani waambie shida yako watakusaidia kwa haraka Sana
Iwe mahusiano
Kazi
Biashara.
Tafuta chumvi na sukari
Udi au ubani
Mishumaa.
Hakikisha unakaa sehemu safi ambayo haufanyii uzinzi
yupo kama mimi sometimes dini ukishika sana unapotea kwenye ramaniSEMA min -me YUKO KOTE KOTE ANAJIDAI ATHEIST HUKU ROHONI ANAMKUBALI SANA YESU KRISTO
NA nilicho gundua Familia yote ya Min me ni walokole ila huyu min-me ndio wale watoto walio kengeuka baada ya kufika chuo akasahau yote ya kiinjili
Acha kudanganya watu, kama mizimu ni nduguzo why wakusaidie kwa masharti?
Nduguyo hawezi kukusadia kwa masharti, mizimu ni spiritual agent wanaoigiza ndugu zetu ajili ya kutufanya watumwa wa kiroho wa falme zao.Unajiujganisha na MTU anayekujua this is very simple and easy .
Kuhusu masharti unahisi masharti gani kwani hata ukienda kanisani au msikitini si kuna mambo huwa wanafanya ili kumani-fest mambo yao.
Mizimu, Mapepo, Majini, Wachawi, Wanga, Washirikina, Walozi na Waganga wa kienyeji ni Watoto wa Shetani, mfano ni Airtel Money, Tigo Pesa, M Pesa na Hallow Pesa ni kampuni za simu kutekeleza mihamala.Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana wanafatisha watu wamagharibi wanachokiamini.
Binafsi Mimi naamini katika mizimu na karma. I pray to my ancestors and I do good deeds. Kuwa athesit na kuwa MTU wa dini ni ujinga.
Lazima uwe na nguvu yako ambayo inakutambua mizimu inakujua na ukiomba inafanya Kazi hapo hapo wala haitaji kukaa kusubiri
Kiranga & Infropena huamini uwepo wa akili, sauti, hewa kwa kuhisi ila kimwonekano hawawezi kuthibitisha sawa na simu zinazoweza kuonekana kwa macho, kusikika kwa masikio na kushikika mikononi. Kama si ubishi usio na faida ni nini?Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana wanafatisha watu wamagharibi wanachokiamini.
Binafsi Mimi naamini katika mizimu na karma. I pray to my ancestors and I do good deeds. Kuwa athesit na kuwa MTU wa dini ni ujinga.
Lazima uwe na nguvu yako ambayo inakutambua mizimu inakujua na ukiomba inafanya Kazi hapo hapo wala haitaji kukaa kusubiri