Atheists wana mtindio wa ubongo

Mimi napenda anza na swali moja tuu. Mungu unayemzungumzia ni yupi hapa maana Miungu humu duniani wapo wengi
 
Inaonekana husomi ninacho kuandika. Jibu lipo humo ulipo ni quote.
Hili ndio unaloliita jibu?

"Unathibitisha vipi kitu pasi na kitu kingine ( angalizo hili ni tofauti na lile sharti lako, usije kuchanganya hapa)."

Kuthibitisha watu wapo unahitaji kitu gani kingine cha ziada zaidi ya watu wenyewe?
 
Basi hapo utakua unalazimisha maana mkuu,...

So, umesema hujui kati ya Dunia na Mtu kipi kilianza ku_exist?(Nadhani hili swali ni muhimu katika kujua ilkuaje kuaje vitu vikatokea)
Silazimishi maana ila wewe ndio unataka ukazimishe

Nimekuoa mfano unaoonesha sayansi ikipongana na creation maswala ya uumbaji

Halafu tena unajenga hoja kuhusu uumbaji ukihusianisha na mambo ya kisayansi hivi unaona ni sawa hapo?

Swali kuwa muhimu hakuna maana lazima liwe na majibu

Swali linaweza likawa ni muhimu na bado likakosa majibu otherwise utoe ruhusa majibu yeyote hata yasiopitia uchunguzi
 
Yes. Like watu kwenda kupanda mazao nk...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atheists wana iq ndogo? Wakat watu wenye iq kubwa ndio wanaongoza kua maatheist! Mfn mkubwa ni Stephen Hawking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hawa mjadala ni simple sana kuumaliza, waprove tu kwamba mungu yupo basi. Halafu why wamtetee kama yy ni higher being, why asijitetee mwenyew?

Evolution tunaweza kuiprove maana tunaona bado inaendelea kutokea, na wao waprove uumbaji basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Silazimishi maana ila wewe ndio unataka ukazimishe

Nimekuoa mfano unaoonesha sayansi ikipongana na creation maswala ya uumbaji

Halafu tena unajenga hoja kuhusu uumbaji ukihusianisha na mambo ya kisayansi hivi unaona ni sawa hapo?
Mimi sijatoa maana ya Uumbaji kwa mujibu wa Creation kwenye dini, bali nimetoa maana HALISI ya Hilo neno kuumba bila kulazimisha liendane na Creation theory kama unavyotaka wewe.

Ipo hivi.., Yes, the word "creating" can certainly be used in a scientific context, particularly when discussing the process of generating or developing something new, such as a hypothesis, theory, model, experiment, or technology. In scientific research, creating may involve designing and carrying out experiments, developing mathematical models, designing new materials or chemicals, or programming new algorithms or software.
For example, a researcher might say "We are creating a new experimental setup to investigate the effects of temperature on plant growth" or "Our team is working on creating a new model to explain the behavior of subatomic particles." So, it is not uncommon to see the term "creating" used in scientific literature and research.
 
Swali kuwa muhimu hakuna maana lazima liwe na majibu

Swali linaweza likawa ni muhimu na bado likakosa majibu otherwise utoe ruhusa majibu yeyote hata yasiopitia uchunguzi
Okay, jibu la hilo swali huenda mimi na wewe hatulijui, lakini sisi kutokujua hilo jibu haimaanishi kwamba jibu halipo. JIBU ACTUALLY LIPO LAKINI HATULIJUI.

Ipo hivi, Ili kujua kama kuna Uumbaji ulitokea au hakuna Uumbaji uliofanya viumbe kutokea sisi kama atheists inabidi tujiulize maswali kadhaa.

Let's assume, Jibu letu ni kwamba"Dunia ndyo ya kwanza ku_exist kabla ya Mtu"
Ikiwa ilikua hivyo., Kuna swali inabidi tujiulize sasa:

Dunia kwenye stage hii ipo tupu, means hakuna Mtu duniani... Je mtu alitokea wapi ?!

Je, ilikuaje sasa kutoka Dunia kuwa tupu kabisa,.. then akapatikana mtu(MWANAUME na MWANAMKE) ambao waliweza kujamiiana na kuzaliana ?!

Je, Ikitokea Mtu ametoweka duniani kwa sasa kama ilivyokua kwa Dinosaur (kama wanavyosemekana walishawahi kuwepo duniani).... Je, itawezekana Mtu kurudi tena duniani kama mwanzo alivyoikuta Dunia ikiwa tupu.?!

Nadhani bila shaka, hayo maswali hapo juu ndiyo yanaweza yakatupa majibu whether kuna UUMBAJI ulitokea before au la. Kwa kupitia options hizi mbili👇🏽
1. Endapo Dunia ilikua tupu, then Mtu akatokea tu from nowhere au kutokana na chemical reaction yoyote., Basi itakua kweli hakuna UUMBAJI WALA MUUMBAJI.❌
2. Lakini, Endapo Dunia ilikua tupu then kukawa hakuna uwezekano wa Mtu kujitokeza from nowhere au kutokana na chemical reaction yoyote...... BASI, HAPO LAZIMA KUWE NA UUMBAJI NA MUUMBAJI ✅
 
Aya yako ya mwisho, naipinga. Sio necessary kuwe na muumbaji. Miaka ya 2010s ilicrush meteorite moja duniani, ilikua na components za DNA! Scientists wakachunguza wakaona ungeweza kutengeneza cell hai kupitia hio meteorite. Kilipotoka ndio hatujui..

Okay, nilikua ninatafuta jina ya hio meteor, nimeona kumbe ni since 1969 vitu kama ivo vinagunduliwa, na in multiple places. Kwahio in right conditions in time probably biotic would form.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ikiwa atheists wanaweza kuwaza nakutafakari kwa kiwango hicho sioni mantiki ya kuwa brand moja kwa moja kwamba wana mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio hawezi kuwaza kwa kina kiasi hiki.
 
No hujanielewa, ipo hivi nimeona hapo juu unataka uonyeshwe ushahidi valid kwamba umeumbwa ama la"HIYO TAYARI INAONYESHA WAZI KAMA UNAJUA NINI MAANA YA KUUMBWA"

Ndiyo maana na Mimi nikakuuliza, Je una ushahidi valid kama haujaumbwa??
Mkuu assume hauna ushaidi wa wewe kuumbwa na kesi imekushinda then turudi kwake atupe ushahidi wa yeye kutokuumbwa na namna hii universe ilivo happen to be

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Wewe wanakumbato kweli. Uthibitisho wa kuwa hii dunia ilitengenezwa na mungu uko wapi? Na yeye aliumbwa na nani? Kama hakuumbwa kwa nini isiwe pia na sisi hatukuumbwa? Acha kutumia makalio kama kichwa. Pumbafuu
Ok embu tulieweke suala la mungu pembeni basi tusaodie tupate maarifa namna ya huu ulimwengu na uhai na mwili wa viumbe hai ambao upo very complicated ulivojitokeza. Maana it soo sophisticated and systematic to happen accidentally

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hii device walioifanya ikawepo wameitolewa maelezo tofauti na yako

Wao wamesema ni utengenezaji na wakasema tuwaite mafundi wa kiinjinia upande wa tech

Sasa unahoja gani za kunifanya niwaone wao ni waongo ila maelezo yako wewe ndio bora?
Hayo maelezo ya device ilivotengenezwa ukienda kumwambia bibi kizee ambaye hata lami haifahamu ataona ni ushirikina tu maana hatakuelewa kutokana na level yake ya elimu.

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa atheists wana imani kali sana kwenye dini yao ila hawataki kukubali kuwa atheistism pia ni dini. Mfano mtu anapokataa kwa nguvu ukimwambia simu inaweza kujitengeneza yenyewe baada natural baada ya miska bilion tano illa anakubali kuwa uhai na viumbe vingine pamoja na ulimwengu uliweza kutokea pasipo chochote yaan accidentally

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Na kitu ambacho kimetokea bahati mbaya hakiwezi kuwa na na mpangilio maalumu mfano mito ambayo huwa na vyanzo mbalimbali pia huishia sehemu tofauti ikiwana kona tofauti kiasi kwamba huwrzi kuifananisha
Ila viumbe kama mwanadami na wanyama wengine inaenaka kabisa kama ni ubunifu wa designer flani maana umefata mpangilio maalumu na blueprint kabisa
Mfano mpangilio wa vinasaba(dna)upo very calculated kwenye sequence zake kuliko hata computer program. Sasa kama computer programs(strings) haziwezi kujiandika zenyewe leo hii mseme dna structure zilijitengeneza zenyewe. Hapo lazima tuwe na mashaka na nyinyi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
umba=create/make/form n.k
Elon musk created an electric car
Elon musk is a creator of electric car
Tesla's car is a creation of elon musk

So creation sio imani ni ushahidi/evidence za kuonesha kuwa creator wa hicho kitu yupo

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…