Atheists wana mtindio wa ubongo

Ndio maana sikutaka kumjibu mkuu
Nashukuru umedadavua vizuri zaidi
Mwambie hata mtoto akiwa mdogo kila kitu hupeleka mdomoni.

Muulize na hiyo aiite nini?

Hapa hatuzungumzii juu ya instinct ya mtoto mara anapozaliwa na kuanza kunyonya, hebu fikiria; mtoto huyo huyo akimuacha atambae anaweza kukuta kinyesi chake chini na akala, sasa hapo utasemaje??. Umewahi kumuona
mtoto wa mbuzi akila kinyesi chake??

Achana na mambo ya watoto hapa ambao hata kujichamba hawawezi, tuzungumzie mambo ya kikubwa mimi na wewe, je Binadamu anaongozwa na instinct kama anavyoongozwa mbuzi??,

Binadamu anaongozwa na morals yaani instincts zinapokuwa governed katika misingi iliyokubalika na binadamu wote hizo ndio zinaitwa morals, kama instincts kwa binadamu zisipozibitiwa binadamu atakuwa ni the Worst of all animals on earth, mfano uliona wapi mbuzi wakifanya Ushoga licha ya kuwa wanaongozwa na instincts ??kamwe huwezi kuona mbuzi wakifanya ushoga lakini binadamu akiwa driven by ungoverned instincts, kulingana na intelligence yake, atafanya mambo ya kutisha na ya ajabu kama ushoga nk.

Hivyo ninaposema binadamu haongozwi na instincts maana yangu ni hiyo kwamba binadamu anaongozwa na morals, ni morals ndizo; governed instict and intelligence.

Ukimuona nyati anamgombelezea nduguye ile kwake sio huruma bali ni instinct lakini ukimuona mtu anamgombelezea mwenzake hiyo ni huruma (governed instinct with intelligence) au inaitwa hulka. Instincts ni silika na morals ni hulka.

Note: Binadamu anaongozwa na hulka na wanyama wanaongozwa na silka and that is a distinguishing feature between animals and human beings.
 
walUOTE="Mokaze, post: 45449078, member: 498476"]Hapa hatuzungumzii juu ya instinct ya mtoto mara anapozaliwa na kuanza kunyonya, hebu fikiria; mtoto huyo huyo akimuacha atambae anaweza kukuta kinyesi chake chini na akala, sasa hapo utasemaje??. Umewahi kumuona
mtoto wa mbuzi akila kinyesi chake??

Achana na mambo ya watoto hapa ambao hata kujichamba hawawezi, tuzungumzie mambo ya kikubwa mimi na wewe, je Binadamu anaongozwa na instinct kama anavyoongozwa mbuzi??,

Binadamu anaongozwa na morals yaani instincts zinapokuwa governed katika misingi iliyokubalika na binadamu wote hizo ndio zinaitwa morals, kama instincts kwa binadamu zisipozibitiwa binadamu atakuwa ni the Worst of all animals on earth, mfano uliona wapi mbuzi wakifanya Ushoga licha ya kuwa wanaongozwa na instincts ??kamwe huwezi kuona mbuzi wakifanya ushoga lakini binadamu akiwa driven by ungoverned instincts, kulingana na intelligence yake, atafanya mambo ya kutisha na ya ajabu kama ushoga nk.

Hivyo ninaposema binadamu haongozwi na instincts maana yangu ni hiyo kwamba binadamu anaongozwa na morals, ni morals ndizo; governed instict and intelligence.

Ukimuona nyati anamgombelezea nduguye ile kwake sio huruma bali ni instinct lakini ukimuona mtu anamgombelezea mwenzake hiyo ni huruma (governed instinct with intelligence) au inaitwa hulka. Instincts ni silika na morals ni hulka.

Note: Binadamu anaongozwa na hulka na wanyama wanaongozwa na silka and that is a distinguishing feature between animals and human beings.[/QUOTE]Hapa hatuzungumzii juu ya instinct ya mtoto mara anapozaliwa na kuanza kunyonya, hebu fikiria; mtoto huyo huyo akimuacha atambae anaweza kukuta kinyesi chake chini na akala, sasa hapo utasemaje??. Umewahi kumuona
mtoto wa mbuzi akila kinyesi chake??

Jibu: unadhani kwa nini mtoto ataokota kinyesi na kula? Kwa nini chochote lazima kiende mdomoni?
Kwani mtoto sio binadamu?
Sijui hata unabisha nini?

Ukikaribia balehe kwa nini unaota ndoto nyevu?

Kuna majaribio yalifanyika ya kuwahudumia kijana na mvulana wakiwa wenyewe wametengwa ila walipofikisha umri wa miaka 18 walifanya Mapenzi? Nini kilichowasukuma? Wakati walikuwa kwenye mazingira ambayo hakuna influence Wala mfano wa kuona hayo masuala.

Kifupi your DNA contain all necessary information kwa ajili ya humans aweze kusurvive na hakuna roho Wala Mungu anayehusika.

Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama wengine ila high intelligence ndio siraha pekee aliyonayo.
Na kwa sababu ni wanyama instinct Ina play part yake.

Hivi unaelewa hata hiyo maana ya morals
 
Hakuna Roho kabisa
Kama kitu hakipo basi hakina maelezo ya maana ila kama itakupendeza soma hapo chini:
Umejuaje roho haipo ? Usikimbie swali. Yaani jambo ambalo hata maana yake huijui Bado unadai halipo.
Hujatoa maana ya Roho Bado unaruka ruka na kupoteza. Roho ni nini na umejuaje kama haipo ? Naweza kukupa kazi ukagoogle na huenda ukashindwa kuiweka hapa hiyo maana.

Suala la Human Cloning, nilikuomba uweke mfano wa Human Cloning iliyo fanyika na ika exist isiyo kuwa na shaka kabisa.

Haya kudai najifanya Nina Elimu sana unayasema wewe, ila Mimi nahoji kwa usahihi ndiyo tofauti yangu na nyinyi.
 
Shida yenu mnayoelezwa hamuyatafakari na mnayapima kwa akili zenu finyu pasi na kuzingatia.
 
Japan wanaweza kupredict tetemeko... haya sasa... mambo ya kujua kesho ni mpaka tujue what time is, zile theory za time traveling bado naona ni bs

Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha hilo.

Kila navyo jadiliana na nyinyi ndiyo mnazidi kuthibitisha ya kuwa ni mashabiki wa haya mambo, wala hamuhoji na kuchunguza. Hapa unaingiza tena utoto mwingine wa Time travelling.

Walivyo predict ikawaje. Naomba tuwekee ushahidi.
 
Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama wengine ila high intelligence ndio siraha pekee aliyonayo.

Wewe ndugu Inaonekana mwalimu wako alipata shida sana.

unaposema high intelligence ya binadamu si ndicho hicho na mimi ninachosema, Mwanadamu anaongozwa na intelligence/Rationale ambayo inaongoza instincts zake na instincts zikiongozwa zinakuwa hulka (morals) hivyo binadamu anaongozwa na hulka, Wanyama hawana intelligence/Rationale kama binadamu hivyo wao wanaongozwa na instincts pekee.

Ni makosa kusema binadamu mwenye intelligence anaongozwa na instincts kama wanyama, binadamu akiongozwa.na insticts huyo anakuwa ni mtu asiyekuwa na intelligence na huyo ni mnyama mwenye umbo la mtu au kwa jina jingine ni mwehu na sisi hapa hatumzungumzii mwehu.

Note; Binadamu akiwa anaongozwa na instincts huyo ni kama mnyama au tutamuita mwehu. mwanadamu ni yule anayetawala instincts zake kupitia intelligence yake na hapo tunasema He is driven/governed by Morals (hulka).

It is a graveous err to say that human being who is invested with intelligence is driven/controlled by instincts like lesser animals which have meagre or virtually no intelligence. With intelligence all instincts in human being are nullified.
 
Shida yenu mnayoelezwa hamuyatafakari na mnayapima kwa akili zenu finyu pasi na kuzingatia.
Kutafakari na kupima kwa akili tofauti zake ni zipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rudia kusoma post yangu iliyopita nimeshakujibu labda useme hujaelewa.

Unaposema Human Cloning haiwezekani ama!
Na kama inawezekana bila kuhusisha manii hiyo roho inatoka wapi?

Unataka nikupe mfano mmoja ili iweje wakati mifano ipo mingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanzo ulipinga Humans kuongozwa na na Instincts.
Tukakupa mifano kibao inayoonyesha Humans kwa sababu wapo kwenye kundi la Wanyama hana exception.

Sasa hivi unaruka ruka na kusema Ina maana Moja kitu ambacho si sahihi.

Kuna mawili either hujui unachobishania au hujui tofauti ya maana ya hizo mbili.

Binadamu haongozwi na insticts kwa sababu ya intelligence yake. The more intelligent the creature is the lesser they rely on instincts to survive and fend for themselves. Nimetolea mfano wa orca hapo juu ambae ni intelligent creature. Wao pia wanafundishana, mama anafundisha watoto wake ndiomaana utakuta kila orca pods wana tabia zao tofaut. Kwa ulimwengu wao tunaweza kusema na wao wana 'morals'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mmea unao jiotesha wenyewe.
Sure, hua wapo viumbe wanaotesha... ila sio kwa makusudi.
Sasa mkuu unapinga kitu kilichopo, kina uthibitisho, unaweza ukajifunza kukifanya na ukafanya ila unapinga unaamua kuamini kitu ambacho hakika proof hata moja. How retarded that mindset is

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibitisha hilo.

Kila navyo jadiliana na nyinyi ndiyo mnazidi kuthibitisha ya kuwa ni mashabiki wa haya mambo, wala hamuhoji na kuchunguza. Hapa unaingiza tena utoto mwingine wa Time travelling.

Walivyo predict ikawaje. Naomba tuwekee ushahidi.
Duh. Kupredict earthquake wana tsunami hujui kama inawezekana? Common way wajapan wanatumia ni mabadiliko ktk sea level na magnetic fields, unaweza kufore cast earthquakes.

Kuhusu time traveling unasema ni utoto? Yea theory za time traveling (issue ya ww kwenda past au future) hata mm nikizifuatilia siwez kuzielewa, kwhy namashaka nazo makubwa mno. Lakini kuona kitu kilicho past inawezekana na pia ww huenda kila siku unaona kitu cha miaka iliopita ila hujui tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa definition hio hata tembo wana morals basi. Mbwa pia na wanyama wengineo wanaoishi social life...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutafakari na kupima kwa akili tofauti zake ni zipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutafakari kwa kuzingatia uhalisia.
 
Kijana kama hujibu maswali ninayo kuuliza. Haina maana ya mjadala. Nimekuomba uthibitisho wa hao Wajapani unaleta stori.

Kuhusu Mimi kuona vitu vya Past kwa mtindo gani ? Au kwa msaada wa nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…