Atheists wana mtindio wa ubongo

Badala ya kujibu hoja au kuhoji kama mtu mstaarabu unajibu kama mtu unayeendeshwa na mihemuko ya instincts kama mbuzi aliyekunywa maji ya choo cha stendi ya mabasi.

Eti unahoji Mungu alikaa wapi kuchagua jinsia!!?, Swali la kipumbavu halafu unajifanya umeenda shule!!---ulienda shule kusomea ujinga!!.

Mungu ndiye "causa causans", automation yote inayopelekea mimba kutunga ndani ya tumbo la mama kaifanya yeye hivyo indirectly ni yeye ndiye anayechagua jinsia na kila kitu kinachohusiana na mtoto akiwa tumboni, chukua mfano huu; mtu akiunda na kuamrisha a programmed Robot kuua tukisema huyo aliyeliamrisha kuua ndiye muuaji tutakosea??!!.

Hivyo process nzima ya utungaji mimba ni robotic planned, who then commanded "the robot" meaning the outomation to do such a disciplanary marvellous planned job in the womb?? It is the Super being namely God whose one attribute among many is "unseen" (asiyeonekana kwa macho).

Haiwezekani a "conscious" marvelous disciplined job to come out of chaos, it never ever happened and it will never happen chaos (vurumai) itengeneze kitu chenye nidhamu, kama chaos itaunda a disciplinary stuff hiyo ni sawa na kipofu aunde saa.

Sasa usilete ujinga wako wa Biology hapa kwani Biology ndio muumbaji??-- Biology inatuwezesha kujua maumbile hai na sifa zake pia inatuwezesha kujua Muumbaji wa hivyo viumbe hai kwamba yupo naye ni Mungu.
 
Kama ilivyokuwa hakuna roho na ndio ilivyo hakuna Mungu.

Mungu ni nini?
Mungu ni nani?

Thibitisha kama Mungu yupo?
 
Elimu Gani hiyo uliyotumia?
Au kwa kitabu kilichoandikwa zama za ujinga?
 
Elimu zote zimekuja kuharibu katika mambo ya dini, sababu watu waliingiza fikra zao na mitazamo yao kwenye dini.

Jibu: unafahamu Kwamba dini ni tawi mojawapo la falsafa?

Unaposema watu waliingiza fikra zao, unafahamu hata huyo mtume unayemwamini alikuwa anatafakari na kuingiza fikra zake kwa unachokiamini ukijua ni absolute truth.

Sasa hapa Utakuwa unapinga nini?
Kifupi ni watu wasio komaa akili tu na uwezo mdogo wa fkira ndio wataikataa falsafa maana ukiikataa falsafa pia umeikataa dini.

Matawi ya falsafa ni pamoja na Theology, Metaphysics, Axiology, Logic, Aesthetic, Epistemology, Ethics na mengineyo.

N.B mtu asiye na heshima Hana heshima tu kifupi huna adabu
 
Nikikwambia hawa watu ni wajinga mkuu uwe unanielewa.
 
Siyo sitaki majadiliano na watu wengine, sitaki majadiliano na wewe kwa sababu una sifa nilizo zitaja.

Wengine huoni navyo jadiliana nao humu ndani.

Kazi yangu nimemaliza.
Kwa sababu hawezi kujibu hoja zako.

Amegundua wewe ni mtu wa daraja la juu katika elimu anayojinathibisha humu anayo.

Endelea kumpa elimu ili aache ujinga wa kuamini mvua Kuna mapipa yanamwaga na mtu huko kwenye mawingu na jua kuzama kwenye matope.
 
Hivi unajua kupitia IVF unaweza kuchagua uzae mtoto wa jinsia gani? Unaweza ukaelezea hapa mungu anadecide vp jinsia ya mtoto...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haka kajamaa kamerudi Tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niamini mimi hawawezi kujifunza kitu kipya.
Hii mada alishashindwa kwa hoja na mantiki ila alivyokuwa punguani anaendelea kuargue
 
Hivi unajua kupitia IVF unaweza kuchagua uzae mtoto wa jinsia gani? Unaweza ukaelezea hapa mungu anadecide vp jinsia ya mtoto...?

Sent using Jamii Forums mobile app

Twende kwenye mfano hai, wewe mwenyewe wazazi wako walichagua jinsia yako kupitia IVF??--- kimsingi hiyo technic ni kuingilia mfumo wa asili aliouweka Mungu katika womb ya mama, na mimi sizungumzii juu ya any human interruption in the process of conception
 
IVF inaweza kutumika kwa wale wanaopata shida ya kushika ujauzito.
Ninachopinga mm ni kua sio mungu anaechagua jinsia yako. Ni chromosomes tu znazokua katk mbegu za kiume, itakayotangulia kama ni x basi mtoto atakua wa kike, ikitangulia yenye y basi atakua wa kiume, sio kwamba mungu anaamua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si
Kama ilivyokuwa hakuna roho na ndio ilivyo hakuna Mungu.

Mungu ni nini?
Mungu ni nani?

Thibitisha kama Mungu yupo
Shida yenu vijana si wa kweli. Yaani unadai hakuna Roho na huijui roho ni nini, Halafu unahitimisha kirahisi na kitoto ya kuwa ilivyo hakuna basi hakuna Mungu. Huu no uvivu wa kufikiri.

Kila uchao tunawathibitishia Mungu yupo.

Hapa nakuthibitishia ya kuwa Mola yupo, ukiona sijathinitisha, utaniambia wewe ili uthibitisho uwe, unatakiwa ukidhi vigezo gani. :

Anasema Allah aliye juu kuwajibu wakana Mungu sababu haya maswali alisjaulizwa Mtume, na walikuwepo walio sema hakuna Mungu.

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)

Sasa uje na majibu ya hayo maswali hapo juu.

Shukrani.
 
Jibu: unafahamu Kwamba dini ni tawi mojawapo la falsafa?
Si kweli, sababu Falsafa kama fani imeikuta Dini. Hao kina Thales, kina Homeri, kina Socrates, Plato, Aristoto, Democritus, Anaksimenes, (Wanafaldafa wa kale Magharibi, ambao Falsafa imeasisi wa huko na Logic) na wengine wamekuja wamekuta kina Musa, Sulayman wameshatangulia kitambo sana.
Unaposema watu waliingiza fikra zao, unafahamu hata huyo mtume unayemwamini alikuwa anatafakari na kuingiza fikra zake kwa unachokiamini ukijua ni absolute truth.

Hapa ndipo huwa mnapo kosea. Hivi nguvu za kumuelezea mtu msiye mjua huwa mnaipata wapi ? Yaani kuongelea jambo usilokuwa na Elimu nalo. Hiki kitendo kinawafanya muonekano mna utindio wa Ubongo.

Mtume hajawahi kuingiza fikra zake katika Qur'aan, sababu alikuwa haongei kwa matamanio yake isipokuwa ufunuo toka kwa Allah.

Nakuomba ututhibitishie ya kuwa Mtume alikuwa anaweka fikra zake.
Sasa hapa Utakuwa unapinga nini?
Kifupi ni watu wasio komaa akili tu na uwezo mdogo wa fkira ndio wataikataa falsafa maana ukiikataa falsafa pia umeikataa dini.
Mimi nina uwezo wa kuikosoa Falsafa na kukufanya wewe ukaonekana ni mjinga katika wajinga walio pea. Yaani Wanafalsafa wote walikuwa wajinga, sababu hawakuwa na ala(silaha/nyenzo) sahihi za kuwafikisha katika kuujua ukweli au kuupata ukweli. Ndiyo maana Wanafalsafa wa kale wa magharibi walitofautiana juu ya nini chanzo cha maisha na ulimwengu.

Au nitakupa kazi uanzishe mada pweke uonyeshe ubora na ukamilifu wa Falsafa Kisha nikuonyeshe uduni na udhaifu wa Falsafa.

Labda utakuwa umezikataa dini nyingine ila siyo Uislamu. Sababu hizo dini nyingine zimekuwa na udhaifu kwa kurakibisha fikra za watu na kuzifanya ndiyo dini. Falsafa ni fikra za watu waliopotoka katika kufikiri.
Matawi ya falsafa ni pamoja na Theology, Metaphysics, Axiology, Logic, Aesthetic, Epistemology, Ethics na mengineyo.

Haya nayajua na hivi juzi nilikuwa nasoma kitabu hiki :
 
Attachments

  • Screenshot_20230227_175712.jpg
    192 KB · Views: 4
Maswali yako ni yapi?

Kuluka Luka kwa maharage ndio kuiva kwake hakuna tatizo.

Sasa hapo umethibitisha nini?
Nikisema hujui hata ukisemacho nitakuwa nakosea?

Ikiwa kila mtu atasema tu maneno matupu ndio uthibitisho? Sasa Kuna tofauti gani na asemaye hakuna Mungu?

Hujaridhika na Maelezo kuhusu Roho ukiwa muungwana unatakiwa uje na Maelezo mbadala yanayoelezea roho ni nini?

Ila amini nakwambia utaluka Luka na kuishia kuitaja pumzi au nothing hakuna Cha ziada.

Sasa nakuuliza tena:
Mungu ni nini?
Mungu ni nani?
Thibitisha kama yupo?
 
Si kweli, sababu Falsafa kama fani imeikuta Dini. Hao kina Thales, kina Homeri, kina Socrates, Plato, Aristoto, Democritus, Anaksimenes, (Wanafaldafa wa kale Magharibi, ambao Falsafa imeasisi wa huko na Logic) na wengine wamekuja wamekuta kina Musa, Sulayman wameshatangulia kitambo sana.

Ukiulizwa hili swali na kusema ni dini tayari umepotoka.
Falsafa ndio ilianza kabla ya falsafa binadamu hakuwa na dini.

Kitendo Cha kuanza kujiuliza tumetoka wapi? Tumeumbwa au la? Kwa nini tuabudu tayari umeshaingia kwenye falsafa.

Kifupi dini ni tawi la falsafa linalodili na Imani,Malaika, Mungu na n.k

Je? falsafa imeanza na Wanafalsafa wa Magharibi?
Vipi kutoka Mashariki?

Hapa ndipo huwa mnapo kosea. Hivi nguvu za kumuelezea mtu msiye mjua huwa mnaipata wapi ? Yaani kuongelea jambo usilokuwa na Elimu nalo. Hiki kitendo kinawafanya muonekano mna utindio wa Ubongo.

Mtume hajawahi kuingiza fikra zake katika Qur'aan, sababu alikuwa haongei kwa matamanio yake isipokuwa ufunuo toka kwa Allah.

Nakuomba ututhibitishie ya kuwa Mtume alikuwa anaweka fikra zake.

Jibu: alikuwa anaenda pangoni kufanya nini?
Kumbuka kipindi hicho Uislamu bado?

Alikuwa anaabudu nini?

Nitajie Mungu wa kale wa Makuraish?

Je? Al Kaaba lilikuwepo kabla ya mtume au la?

Kwa nini toka kale Waarabu walikuwa wanaenda kuhiji Maka.

Mimi nina uwezo wa kuikosoa Falsafa na kukufanya wewe ukaonekana ni mjinga katika wajinga walio pea. Yaani Wanafalsafa wote walikuwa wajinga, sababu hawakuwa na ala(silaha/nyenzo) sahihi za kuwafikisha katika kuujua ukweli au kuupata ukweli. Ndiyo maana Wanafalsafa wa kale wa magharibi walitofautiana juu ya nini chanzo cha maisha na ulimwengu.

Au nitakupa kazi uanzishe mada pweke uonyeshe ubora na ukamilifu wa Falsafa Kisha nikuonyeshe uduni na udhaifu wa Falsafa.

Labda utakuwa umezikataa dini nyingine ila siyo Uislamu. Sababu hizo dini nyingine zimekuwa na udhaifu kwa kurakibisha fikra za watu na kuzifanya ndiyo dini. Falsafa ni fikra za watu waliopotoka katika kufikiri.

Jibu: Nje ya falsafa hakuna dini ila nje ya dini Kuna falsafa.

Kifupi kumuabudu Mungu mmoja nayo ni falsafa kama ilivyo wanaoamini kwenye utatu na kama wale wengine Wana Budha mkuu

Haya nayajua na hivi juzi nilikuwa nasoma kitabu hiki :

Jibu: Hapa bado hutakuwa umeiva ila sio mwanzo mbaya maana hiyo imebase kwenye argument badala ya uwanda mpana wa fikra.
 
Maswali yako ni yapi?

Kuluka Luka kwa maharage ndio kuiva kwake hakuna tatizo.

Swali langu la Roho, hukujibu.
Sasa hapo umethibitisha nini?
Nikisema hujui hata ukisemacho nitakuwa nakosea?
Hapo nimethinitisha kijana, shida hamfikirii. Jibu hayo maswali uone kama sijathinitisha.

Siyo tu unakosea bali huwezi kukosoa nilicho kiandika hapo.

Kingine nilikupa muongozo huko juu, uwe unasoma.
Ikiwa kila mtu atasema tu maneno matupu ndio uthibitisho? Sasa Kuna tofauti gani na asemaye hakuna Mungu?
Kijana ukisema hakuna Mungu, hayo ndiyo maneno matupu, ila niliyo kunukuu si maneno matupu, soma kilichoulizwa uelewe maswali yanataka nini na ujue kwanini yaliulizwa hayo maswali. Hivi ndivyo wanaume tunavyo hoji, siyo juu juu tu kama mnavyo fanya nini.
Hujaridhika na Maelezo kuhusu Roho ukiwa muungwana unatakiwa uje na Maelezo mbadala yanayoelezea roho ni nini?
Kijana soma ulichokiandika kuhusu roho na nilicho kiandika Mimi kuhusu roho, uone umejibu swali la Roho ni nini ?

Maelezo kuhusu Roho nishayatoa, labda useme nitoe mara ngapi ?!

Ila amini nakwambia utaluka Luka na kuishia kuitaja pumzi au nothing hakuna Cha ziada.
Hatuna "utaluka Luka" kwenye Kiswahili. Mwanzo nilihisi ni kosa la kiuandishi nikakupa ushuru, kumbe hujui kuandika "utaruka ruka" hii ndiyo sahihi.

Soma nilicho kiandika kuhusu roho, ili uepukane na hili.
Sasa nakuuliza tena:
Mungu ni nini?
Mungu ni nani?
Thibitisha kama yupo?
Mungu ni kitu.

Mungu ni yule Mola aliye umba mbingu na ardhi, wa mwanzo ambaye hakuna cha mwanzo kabla yake na WA mwisho ambaye hakuna Cha mwisho baada yake.

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)

Jibu maswali niliyo kuuliza. Uthibitisho ni nini kwa mtazamo wako wewe. Maana naona nathibitisha lakini unakataa na hutoi hoja.
 
Wewe naona hufai kujadiliana na Mimi kuhusu hili, ngoja nikufundishe Sasa, kwa mtindo wa maswali. Lini watu walianza kuniuliza wametoka wapi ? Tumeumbwa au la ? Hapa uweke na ushahidi.

Lisa nitakuonyesha ya kuwa hicho ulichokiandika kinapingana na uhalisia. Yaani Mola atuumbe halafu atuache hivi hivi, maumbile Yana kataa.

Vijana mkachwa mjielezee kama hivi ndiyo mnadhihirisha namna gani mlivyo weupe.

Hamsomo kwenye vitabu vyenu ? Unaweza kunithibitishia ya kuwa kabla ya Wanafalsafa wa kale wa Magharibi kulikuwa na habari za kujiuliza tumetoka wapi au kuumbwaje ? Ushawahi kujiuliza kwanini haya yalianzia huko kwao ?

Kingine nakushauri huu ni mjadala wa kielimu, usiandike kama tupo kijiweni, bila kuegemeza jambo kwa watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…