Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

Naona umepaniki sana bwashee pole sana๐Ÿ˜‚ jalibu kutumia bongo vzr!!!
jalibu โŒ๏ธ

Jaribuโœ…๏ธ

Wewe hata matumizi ya "R" na "L" hujui.

Wewe kichwa maji, Huko shuleni ndio ulienda kusomea ujinga.

Hata matumizi ya "r" na "l " yanakushinda.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
 
Unaweza kuwa hodari wa kuandika vizuri lakini ukawa Hauna uwezo wa kufikili kiundani pole sana bwashee
 
Paley na mfano wa saa anaongea "Muundo na Mpangilio wa Ulimwengu". Haongei kuhusu watengenezaji wangapi

Ulimwengu una mpangilio na muundo thabiti. Kwa lugha rahisi ulimwengu una maana.

Kuna vitu vyenye uhai na visivyo hai. Kuna vitu vyenye ufahamu wa kuishi+kula+kuzaa. Kuna vitu vyenye ufahamu wa juu: kufikiri+kufanya uchunguzi, mtu. Kuna vitu visivyo na ufahamu, mawe.

Paley kwa mfano wake wa saa unaeleza kwa lugha rahisi jinsi gani ulimwengu pamoja na kwamba una mpangilio na muundo thabiti pia una utambuzi.

Fikiria sheria za fizikia. Fikiria uhusiano wa vitu vikikutana. Fikiria uhai. Haya matatu sio tu mpangilio na muundo ni pia utambuzi.
 
Category mistake ya kiwango cha juu! Unataka sayansi ipime uwepo wa Mungu?
 
Umewahi kusikia kitu kinaitwa cosmic microwave background radiation au sheria ya hubble's law ya upanuzi wa ulimwengu? Au hauna uelewa wowote na haya mambo?
 
Huyo alikimbiaga na kuni block
Hakufanya hivyo kwa kupenda

Ana afya ya akili , he has this repeated behavior

Fanya research about more than 40% ya watu waliopishana mtazamo na Kiranga aidha kawablock au Kawaweka ignore list au kawapiga vibaoโ€ฆ.
Hii ni character muhimu ya mental cases โ€”โ€” abnormal behavior over normal things

Mtu Kama huyu hata silaha ya moto harusiwi kumiliki ni hatari sana hana mental strength
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mbona unajiwahi mkuu? Anyways, sometimes uoga/ hofu, ndio akili. Nimekukubali sana mkuu
Mimi ni miongoni mwa watu ambao hawana hofu ya kifo kwa sababu kuna jehanam sijui motoni au peponi.

Hakuna adhabu yeyote baada ya kufa.
Hakuna kufufuka.
Ukifa nishati (uhai) iliyopo kwako inabafilika aina (form) wala haipotei.

Inakuwa chakula ya viumbe wengine katika food chain kisha unarudi duniani kupitia vizazi vya viumbe waliozaliwa kwa nishati yako toka kwa wazazi wao.

Hivyo Mimi ni samaki, ndege, mimemea waliyo kula mababu zangu na ambavyo vilikufa ili nizaliwe.

Ufufuo na adhabu au tunu baada ya kufa Ni ubatili, uongo na vitisho tu ili niishi kwa maadili yanayo saidia kusitokee kuangamiza kizazi cha binadamu.

Mungu ametuumba akatuacha tuwe huru na chochote tupendacho duniani.
 
Ulimwengu umekuwepo milele.

Ulimwengu haujawahi kutokuwepo.

The universe didn't begin to exist.

Ulimwengu umekuwepo, upo na utaendelea kuwepo.

Hauhitaji chanzo.
Haya ulioandika ni kadiri ya nani/nini? Sayansi? Imani/falsafa? Wewe mwenyewe?
 
Acha mbwembwe, andika hizo Sheria zako zote na uonyeshe zinathibitishaje uwepo wa mungu.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Sidhan kama anayo maneno ya kukushawishi. hivi vitu vimekaa kiimani sana. Rumi 10-17 Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Sidhan kama anayo maneno ya kukushawishi. hivi vitu vimekaa kiimani sana. Rumi 10-17 Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Usalama wa muamini mungu yeyote ni kusema anaamini mungu kwa imani na experiences zake binafsi tu. Muamini mungu yeyote akianza kujaribu kuleta mambo ya uthibitisho tena ya sayansi lazima apasuke tu ๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜€Mimi nataka kukupa challenge sio kwa ubaya lakin. Ww nithibitishie kwa hoja moja kuwa mungu hayupo bila kutumia hoja za kisayansi maan hizo hoja zimewekwa na watu. Mim natak hoja yako ww
 
Wewe ndiye unayeishi kwa imani ya Kufikirika. Usalama wa atheist wa mitandaoni kama wewe ni kujidai kuwa mnaijua sayansi kumbe ni weupe tu, unaiamini nadharia ya ulimwengu kujitengeneza wenyewe kutoka kwenye utupu bila kuwa na uthibitisho wowote, huoni kama ni kujionyesha huelewi hata unacho kipinga ni nini?
 
๐Ÿ˜€Mimi nataka kukupa challenge sio kwa ubaya lakin. Ww nithibitishie kwa hoja moja kuwa mungu hayupo bila kutumia hoja za kisayansi maan hizo hoja zimewekwa na watu. Mim natak hoja yako ww
Unakumbuka zile story ulikuwa unapigiwa au kuzisoma kwenye vitabu vya watoto ukiwa mdogo kuhusu sungura wanaozungumza?

Baada ya kuwa mkubwa umeweza kuthibitisha sungura wanaozungumza hawapo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ