Unaposema ulimwengu una muundo thabiti, unakuwa umeufananisha na upi?Paley na mfano wa saa anaongea "Muundo na Mpangilio wa Ulimwengu". Haongei kuhusu watengenezaji wangapi
Ulimwengu una mpangilio na muundo thabiti. Kwa lugha rahisi ulimwengu una maana.
Kuna vitu vyenye uhai na visivyo hai. Kuna vitu vyenye ufahamu wa kuishi+kula+kuzaa. Kuna vitu vyenye ufahamu wa juu: kufikiri+kufanya uchunguzi, mtu. Kuna vitu visivyo na ufahamu, mawe.
Paley kwa mfano wake wa saa unaeleza kwa lugha rahisi jinsi gani ulimwengu pamoja na kwamba una mpangilio na muundo thabiti pia una utambuzi.
Fikiria sheria za fizikia. Fikiria uhusiano wa vitu vikikutana. Fikiria uhai. Haya matatu sio tu mpangilio na muundo ni pia utambuzi.
Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi.Mimi ni miongoni mwa watu ambao hawana hofu ya kifo sababu jehanam sijui motoni au peponi.
Hakuna adhabu yeyote baada ya kufa.
Hakuna kufufuka.
Ukifa nishati (uhai) iliyopo kwako inabafilika aina (form) wala haipotei.
Inakuwa chakula ya viumbe wengine katika food chain kisha unarudi duniani kupitia vizazi vya viumbe waliozaliwa kwa nishati yako toka kwa wazazi wao.
Hivyo Mimi ni samaki, ndege, mimemea waliyo kula mababu zangu na ambavyo vilikufa ili nizaliwe.
Ufufuo na adhabu au tunu baada ya kufa Ni ubatili, uongo na vitisho tu ili niishi kwa maadili yanayo saidia kusitokee kuangamiza kizazi cha binadamu.
Mungu ametuumba akatuacha tuwe huru na chochote tupendacho duniani.
Hatuwezi kuufananisha ulimwengu bila kwanza kujua ulimwengu ni nini? Tukijibu hili ndio tutakuja kwa hilo la ulimwengu una muundo thabiti.Unaposema ulimwengu una muundo thabiti, unakuwa umeufananisha na upi?
Unaelewa unachojaribu kuelezea? Wapi imesemwa binadamu ametokea tu?Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "
At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".
How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?
Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.
Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".
Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..
Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..
" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..
Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Mimi naheshimu mawazo yako na mtazamo wakoUnaamini ulimwengu unaweza kuwepo bila chanzo?
Sungura wanaozungumz hawapo kwasababu sijawai kuwaon. Najua pia ulitak nithibitish hivi ili nipate jibu kupitia swali lako. Lakin yote kwa yote yote naona kama unapinga ili kutaka kujua zaidi na ni kama unafany udadisi kupitia mawaz ya watu ila itabaki kuwa hivyo mamb ya mungu yamekaa kiimani zaidi na wala hakuna hoja za kibinadam zenye mashiko kuwez kuthibisha hiloUnakumbuka zile story ulikuwa unapigiwa au kuzisoma kwenye vitabu vya watoto ukiwa mdogo kuhusu sungura wanaozungumza?
Baada ya kuwa mkubwa umeweza kuthibitisha sungura wanaozungumza hawapo ?
Uko sahihi kabisa kuwa hatujui, swali ni hili kama mambo yote ni unknown, mbona una uhakika mkubwa sana kuwa jibu sio Mungu? Yaani, unakataa uwezekano wa Mungu kwa kutumia kutokujua kule kule unakosema tunako wote. Hapo unakuwa tofauti gani na mimi?Mimi naheshimu mawazo yako na mtazamo wako
Shida naiona ni pale unapoongea kwa hakika kuwa kuna Chanzo cha ulimwengu
Na Chanzo cha ulimwengu ni Mungu
Swali ni umejuaje kuwa Chanzo ni Mungu?
Je kwa kuongea kwa hakika unakuwa na tofauti gani na anaesema Chanzo cha ulimwengu sio mungu ?
Maana hata yeye nikimuuliza umejuaje , hatoweza kuwa na hard evidence kama vile ambavo hauna hard evidence kuwa Chanzo ni Mungu
The whole thing is unknown… that is very honest answer
Kama Mungu na huo moto havipo na havimake sense kwako, kwa nini una hofu na unalalamikia mahali usipoamini kuwa papo?Sio sipendezwi na ufanyaji kazi wake, ni kwamba haimake sense uwepo wa huyo kiumbe wa kufanya hayo mambo
Kwanza hakuna ushahidi kama yupo, na pili kwenda motoni sio chaguo la mtu. Nani anataka kwenda motoni?
Mimi jibu langu la hakika ni sijui kama Chanzo ni Mungu na sijui kuwa kama Chanzo sio MunguUko sahihi kabisa kuwa hatujui, swali ni hili kama mambo yote ni unknown, mbona una uhakika mkubwa sana kuwa jibu sio Mungu? Yaani, unakataa uwezekano wa Mungu kwa kutumia kutokujua kule kule unakosema tunako wote. Hapo unakuwa tofauti gani na mimi?
Najua unakotaka kufika, but for the sake of the debate I'll do it.Hatuwezi kuufananisha ulimwengu bila kwanza kujua ulimwengu ni nini? Tukijibu hili ndio tutakuja kwa hilo la ulimwengu una muundo thabiti.
Sasa nakurudishia swali hilo: "ulimwengu ni nini"?
kwa kutumia nadharia ya kuzaliwa maana kila kiumbe kimezaliwa kama binadamu wa kwanza hakuubwa alitoka wap?Huwezi kupata jibu
Wazazi wa kwanza kwa kutumia nadharia ipi?
bali tumetokana na masokwe au mnyoo?Wazazi wa kwanza kina nani?
Kama origin ya binadamu wote ulimwenguni ni wazazi wawili tu wa kwanza, Iweje sasa binadamu tuna tofautiana rangi na vinasaba?
Ikiwa origin yetu ni mtu mmoja wa mwanzo, Kwa nini kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wachina, waarabu, wafilipino, wakorea, wahindi?
Je hao wazazi wa mwanzo walikuwa weupe au weusi?
Huoni kwamba hakuna Wazazi wa mwanzo wa binadamu wote ulimwenguni?
Kama ingelikuwa tumetokana na Wazazi wawili tu wa mwanzo, Basi binadamu wote ulimwenguni tungefanana kwenye rangi.
Lakini tuna tofautiana. Kwa hivyo hatuja tokana na wazazi wa mwanzo.
Labda wewe haujui sayansi ....mungu anaelezeka vizuri zaidi kisayansi kuliko kidini ...tat8zo lenu nyinyi ni kutokujua sayansi imefikia wapi kwenye kutambua usepo wa NGUVU UMBAJI AMBAYO NDIYO MUNGU...SAYANSI NDIYO USHAHIDI MKUU WA UWEPO WA MUNGU ...HUYO KIRANGA ALIKIMBIA HOJA NA KUNI BLOCK BAADA YA KUMUONYESHA JINSI SAYANSI NA WANASAYANSI WANAVYO MTAMBUA MUNGU KISAYANSI ...HAKUNA MWANA SAYANSI TIMAMU NA HALISI ANAYE SEMA KWA SASA KUWA HAKUNA MUNGU ULIMWENGUNI ...TENA KISAYANSI VITU VYOTE VIPO NDANI YA MUNGU ....Usalama wa muamini mungu yeyote ni kusema anaamini mungu kwa imani na experiences zake binafsi tu. Muamini mungu yeyote akianza kujaribu kuleta mambo ya uthibitisho tena ya sayansi lazima apasuke tu 😁
Mwanasayansi kusema Mungu yupo haimaanishi Mungu yupo bila evidence.Labda wewe haujui sayansi ....mungu anaelezeka vizuri zaidi kisayansi kuliko kidini ...tat8zo lenu nyinyi ni kutokujua sayansi imefikia wapi kwenye kutambua usepo wa NGUVU UMBAJI AMBAYO NDIYO MUNGU...SAYANSI NDIYO USHAHIDI MKUU WA UWEPO WA MUNGU ...HUYO KIRANGA ALIKIMBIA HOJA NA KUNI BLOCK BAADA YA KUMUONYESHA JINSI SAYANSI NA WANASAYANSI WANAVYO MTAMBUA MUNGU KISAYANSI ...HAKUNA MWANA SAYANSI TIMAMU NA HALISI ANAYE SEMA KWA SASA KUWA HAKUNA MUNGU ULIMWENGUNI ...TENA KISAYANSI VITU VYOTE VIPO NDANI YA MUNGU ....
Mungu muweza wa yote kwanini asimuue huyo shetani Ili asiendelee kuwatumia binadamu Ambao hawana hatiaAtheists ni moja ya kazi ya Shetani wasiamini Mungu yupo, ili aendelee kuwatumia apendavyo.
Ukisema 'tukakuta yupo' unamaanisha mkakuta yupo wapi huko?Twin umeshawahi kujiuliza what if vitabu vya dini viko sawa? Kama sisi waumini tukifa tukakuta hakuna kitu, hatujapoteza kitu. Lakini wewe ukifa ukakuta yule Mungu wa Biblia na Qur'an yupo na moto wake upo vilevile, nani atakuwa kwenye kasheshe kubwa zaidi?
Sasa huyo Mungu wa Ibrahim kama yupo si amuue shetani ambae ni kiini cha shida zote duniani.Yaani mna absolute certainty kwamba Mungu wa Ibrahimu hayupo, lakini mkiulizwa nini kiko beyond the Big Bang mnasema hamjui? Ndio nini sasa?