Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Sawa, nimekuelewa kuhusu energy. Lakini bado sioni Mungu anaingia wapi kwenye hoja yako. Kwamba energy haiwezi kuharibika bali hubadilika kutoka hali moja kwenda nyingine, hakuthibitishi kwamba Mungu yupo. Hilo linaeleza tabia ya energy, si nani aliyeumba energy.Low IQ ..kuna tofauti ya kusema binadamu ana Energy na kusema binadamu ni Energy...wewe kwa akili zako finyu unadhani ni sawa ? Binadamu na vitu vyote ni energy vilikuwako milele katika form tofauti ila vilikuwako ..you can't destroy Energy but energy charge from one form to another
Kila kitu ni Energy nafsi pia ni Energy...kumbukeni kuwa 👉 energy inabadilika from one form to another..Nafsi ni nini ?
Wewe uliumbwa na Mungu au Mama yako alikuzaa?Mwanadam huyuhuyu ambaye mpaka leo mwaka 2026 akili zake haziwezi kuhesabu hata nywele zake za kichwani. Sasa hapo utakuta anasubiri agundue mfumo wa kuzihesabu kwa computer. Mwanadamu ni kiumbe aliyeumbwa na Mungu ila anajifanya ni mwerevu sana. Anaelewa taratibu na hawezi kujiongezea hata umri wa kuishi.
Kama kila kitu ni Energy. Basi huyo Mungu wenu anakuwa hayupoKila kitu ni Energy nafsi pia ni Energy...kumbukeni kuwa 👉 energy inabadilika from one form to another..
hiyo energy inaweza kufanyika nafsi .. nafsi ndiyo ufahamu wa kujitambua..(cousioness)
Kunaweza kuwepo kutoelewana juu ya "tatizo la uovu".Hata bila vipimo uwepo wa mungu (Abrahamic God) unaonekena hauwezekani kwa sababu ya "contradictions". Mfano anasemwa ni mwema na mwenye nguvu zote lakini ameumba au ameruhusu ulimwengu wenye mateso, magonjwa, vifo, ajali na majanga.
Kila kitu ni Energy nafsi pia ni Energy...kumbukeni kuwa 👉 energy inabadilika from one form to another..
hiyo energy inaweza kufanyika nafsi .. nafsi ndiyo ufahamu wa kujitambua..(cousioness)
Sawa, tuseme nimekubali kwa muda kwamba kila kitu ni energy, na kwamba nafsi ni energy inayokuwa consciousness. Sasa hiyo yote inamthibitishaje Mungu? Hapo ndipo hoja yako Bado unaelewa angani. Energy inaweza kubadilika, consciousness inaweza kuwa na maelezo yake ya kibayolojia, lakini hakuna hapo kinachosema kwamba nyuma yake lazima kuna Mungu.Kila kitu ni Energy nafsi pia ni Energy...kumbukeni kuwa 👉 energy inabadilika from one form to another..
hiyo energy inaweza kufanyika nafsi .. nafsi ndiyo ufahamu wa kujitambua..(cousioness)
Ndio. Umejibu sahihi.Najua unakotaka kufika, but for the sake of the debate I'll do it.
Ulimwengu ni jumla ya vitu vyote vilivyopo Inajumuisha sayari yetu ya Dunia, jua, nyota, galaxies na space yote ya angani.
Nimejibu inavyotakiwa?
Umejibu ontology ya uovu, lakini hujajibu problem of evil. Swali si uovu ni kitu gani? , swali ni kwa nini Mungu mwenye uwezo wote anaruhusu suffering ambazo angeweza kuzizuia?’Kunaweza kuwepo kutoelewana juu ya "tatizo la uovu".
Uovu si kitu. Si huluki (entity). Kwa lugha rahisi Mungu hakuumba uovu; kwamba ni kitu kichopo.
Uovu ni matokeo ya binadamu mwenyewe kutumia vibaya uhuru wake.
Ulimwengu.
Kadiri ya sayansi ulimwengu huu tulionao ulitokea miaka bilioni 13.8. Kwa maneno mengine ulimwengu wetu si kitu cha milele.
Kifo.
Katika sayansi kifo ni mwisho wa mwili na maisha ya mtu duniani lakini sio mwisho wa nishati.
Kifo sio uovu. Kuua ni uovu. Majanga ya asili kama kilivyo kifo ni sehemu ya ulimwengu kutokuwa wa milele.
Ajali ni matokeo ya kuvunja sheria, sheria za fizikia na sheria zinazoongoza vyombo vya usafiri.
Mungu naye ni Energy....sasa utasema kama Mungu naye ni energy na sisi ni energy kwa nini sisi siyo Mungu ? Nini tofauti ya energy ya mungu na energy sisi? Jibu sisi ni sehemu ndogo tu ya eneryg ya Mungu ...Mungu ni Energy yote na ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla ndiyo mungu ..sisi ni sehemu tu ya mungu...Kama kila kitu ni Energy. Basi huyo Mungu wenu anakuwa hayupo
Kwa sababu, Energy CANNOT be created or destroyed but it can be transformed from one form to another.
Kwa hiyo HAKUNA MUNGU.
Kila kitu ni Energy. Na Energy haiwi created.
Energy haiumbwi.
Therefore God is not the creator and he doesn't exist.
Japo hujaniuliza swali MimiNdio. Umejibu sahihi.
Sasa rudi kwenye swali lako. Chukua kitu kimoja kimoja au mfumo mmoja mmoja: mimea, wanyama, binadamu, sayari, galaxy, unaona nini?
Mungu anaweza kuzuia uovu, ajali, magonjwa, majanga, mateso na kifo ?Kunaweza kuwepo kutoelewana juu ya "tatizo la uovu".
Uovu si kitu. Si huluki (entity). Kwa lugha rahisi Mungu hakuumba uovu; kwamba ni kitu kichopo.
Uovu ni matokeo ya binadamu mwenyewe kutumia vibaya uhuru wake.
Ulimwengu.
Kadiri ya sayansi ulimwengu huu tulionao ulitokea miaka bilioni 13.8. Kwa maneno mengine ulimwengu wetu si kitu cha milele.
Kifo.
Katika sayansi kifo ni mwisho wa mwili na maisha ya mtu duniani lakini sio mwisho wa nishati.
Kifo sio uovu. Kuua ni uovu. Majanga ya asili kama kilivyo kifo ni sehemu ya ulimwengu kutokuwa wa milele.
Ajali ni matokeo ya kuvunja sheria, sheria za fizikia na sheria zinazoongoza vyombo vya usafiri.
Mungu naye ni Energy....sasa utasema kama Mungu naye ni energy na sisi ni energy kwa nini sisi siyo Mungu ? Nini tofauti ya energy ya mungu na energy sisi? Jibu sisi ni sehemu ndigo tu ya eneryg ya Mungu ...Mungu ni Energy yote na ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla ndiyo mungu ..sisi ni sehemu tu ya mungu...Kama kila kitu ni Energy. Basi huyo Mungu wenu anakuwa hayupo
Kwa sababu, Energy CANNOT be created or destroyed but it can be transformed from one form to another.
Kwa hiyo HAKUNA MUNGU.
Kila kitu ni Energy. Na Energy haiwi created.
Energy haiumbwi.
Therefore God is not the creator and he doesn't exist.
Tatizo lako ni kushidwa kutambua mungu ni nini ...MUNGU NI NGUVU ZOTE ZA ENERGY TENA ZINA UFAHAMU (HIVYO HUO UFAHAMU WA ENEGRY YOTE ULIMENGUNI NDIYO NAFSI YA MUNGU NA NDIYO MUNGUSawa, tuseme nimekubali kwa muda kwamba kila kitu ni energy, na kwamba nafsi ni energy inayokuwa consciousness. Sasa hiyo yote inamthibitishaje Mungu? Hapo ndipo hoja yako Bado unaelewa angani. Energy inaweza kubadilika, consciousness inaweza kuwa na maelezo yake ya kibayolojia, lakini hakuna hapo kinachosema kwamba nyuma yake lazima kuna Mungu.
Kwa kifupi, umeeleza kile unachoamini kuhusu nafsi, lakini hujaonyesha kwa nini Mungu ni lazima awe nyuma yake
Najaribu kukuonesha jinsi dini ilivyo bullshit. Ni vitu ambavyo haviingii akilini. Hapa naongelea moto na Mungu kwa sababu tunaongelea dini, so nakuambia hivyo vitu haviingii akilini, havimake sense, havipo in short. Wewe unataka niongelee mambo ya dini bila kumtaja Mungu na huo moto wake. Una matatizo ya akili? Kama hutaki watu wamjadili Mungu wenu kwa nini umeleta huu uzi, unajitoa ufahamu au wewe ni kilaza mwenye zero comprehensive skills?Kama Mungu na huo moto havipo na havimake sense kwako, kwa nini una hofu na unalalamikia mahali usipoamini kuwa papo?
Au unauliza maswali yasiyo na mantiki kusindikiza tu uzi na wewe?
Umeweka conclusion yako ndani ya definition. Umesema energy yote ina ufahamu, halafu ukaita huo ufahamu Mungu. Lakini umejuaje kwamba energy ina ufahamu? Hilo ndilo unalotakiwa kuthibitisha kwanza.Mungu naye ni Energy....sasa utasema kama Mungu naye ni energy na sisi ni energy kwa nini sisi siyo Mungu ? Nini tofauti ya energy ya mungu na energy sisi? Jibu sisi ni sehemu ndigo tu ya eneryg ya Mungu ...Mungu ni Energy yote na ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla ndiyo mungu ..sisi ni sehemu tu ya mungu...
Kidini neno la kisayansi energy linatambulika kama spirit
Tatizo lako ni kushidwa kutambua mungu ni nini ...MUNGU NI NGUVU ZOTE ZA ENERGY TENA ZINA UFAHAMU (HIVYO HUO UFAHAMU WA ENEGRY YOTE ULIMENGUNI NDIYO NAFSI YA MUNGU NA NDIYO MUNGU
Ulimuona wapi huyo Mungu ukajua ni energy?Mungu naye ni Energy....sasa utasema kama Mungu naye ni energy na sisi ni energy kwa nini sisi siyo Mungu ?
Energy CANNOT be created or destroyed.Nini tofauti ya energy ya mungu na energy sisi? Jibu sisi ni sehemu ndogo tu ya eneryg ya Mungu ...Mungu ni Energy yote na ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla ndiyo mungu ..sisi ni sehemu tu ya mungu...
Kidini neno la kisayansi energy linatambulika kama spirit
Ndio maana kuna reply nimekwambia wewe kwa maelezo yako una chuki na Dini siyo Mungu, huelewi nini?Najaribu kukuonesha jinsi dini ilivyo bullshit. Ni vitu ambavyo haviingii akilini. Hapa naongelea moto na Mungu kwa sababu tunaongelea dini, so nakuambia hivyo vitu haviingii akilini, havimake sense, havipo in short. Wewe unataka niongelee mambo ya dini bila kumtaja Mungu na huo moto wake. Una matatizo ya akili? Kama hutaki watu wamjadili Mungu wenu kwa nini umeleta huu uzi, unajitoa ufahamu au wewe ni kilaza mwenye zero comprehensive skills?
Kuhusu Energy kuwa na ufahamu mbona tumesha thibitisha hata kisayansi kuwa sisi binadamu ni energy na tuna ufahamu ...je ufahamu wa binadamu siyo energy? Jibu lq kisayani ni ENERGY sasa wewe unasemahe mimi ndiyo nasemq kuwa ENERGYINAWEZA KUWA NA UFAHAMU? TUMIA AKILI...sidi binadamu ni ushahidi wa namna energy inavyo weza kufanyika ufahamu (Consciousness) kwa sababu sisi tunao huo ufahamu.Umeweka conclusion yako ndani ya definition. Umesema energy yote ina ufahamu, halafu ukaita huo ufahamu Mungu. Lakini umejuaje kwamba energy ina ufahamu? Hilo ndilo unalotakiwa kuthibitisha kwanza.
Kama kila energy ina consciousness, basi heat, mwanga, umeme, gravity na energy ya kitu kinachotembea vina consciousness pia? Kama ndiyo, una ushahidi gani? Kama hapana, basi ‘kila energy ina ufahamu’ si kweli.
Na hata tukikubali kwamba kuna consciousness inayotokana na energy, bado hujathibitisha kwamba consciousness hiyo ni Mungu. Umebadilisha tu maana ya Mungu kuwa ‘ufahamu wa energy zote.
Kwa hiyo usiniambie Mungu ni energy yenye ufahamu; kwanza thibitisha kwamba energy ina ufahamu, kisha thibitisha kwa nini ufahamu huo unapaswa kuitwa Mungu.
Halafu mimi sijaleta huu uzi, jifunze kusoma btw the lines mdogo wangu.Najaribu kukuonesha jinsi dini ilivyo bullshit. Ni vitu ambavyo haviingii akilini. Hapa naongelea moto na Mungu kwa sababu tunaongelea dini, so nakuambia hivyo vitu haviingii akilini, havimake sense, havipo in short. Wewe unataka niongelee mambo ya dini bila kumtaja Mungu na huo moto wake. Una matatizo ya akili? Kama hutaki watu wamjadili Mungu wenu kwa nini umeleta huu uzi, unajitoa ufahamu au wewe ni kilaza mwenye zero comprehensive skills?
Kama kila kitu ni Energy.Mungu naye ni Energy....sasa utasema kama Mungu naye ni energy na sisi ni energy kwa nini sisi siyo Mungu ? Nini tofauti ya energy ya mungu na energy sisi? Jibu sisi ni sehemu ndigo tu ya eneryg ya Mungu ...Mungu ni Energy yote na ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla ndiyo mungu ..sisi ni sehemu tu ya mungu...
Kidini neno la kisayansi energy linatambulika kama spirit
Tatizo lako ni kushidwa kutambua mungu ni nini ...MUNGU NI NGUVU ZOTE ZA ENERGY TENA ZINA UFAHAMU (HIVYO HUO UFAHAMU WA ENEGRY YOTE ULIMENGUNI NDIYO NAFSI YA MUNGU NA NDIYO MUNGU
Naona ukiepuka swali langu.Ndio. Umejibu sahihi.
Sasa rudi kwenye swali lako. Chukua kitu kimoja kimoja au mfumo mmoja mmoja: mimea, wanyama, binadamu, sayari, galaxy, unaona nini?