Nadhani nyie watu hamjua tafsiri ya Mungu.Kwa nini energy iwe Mungu?
Kwani Energy haiwezi kubaki energy?
Kwa nini useme Energy ni Mungu?
Hili neno Mungu umelitoa wapi?
Nilijua toka mwanzo haujakidhi viwango vya kufanya mjadala na mimi, na umethibitisha hoja yangu mdogo wangu, ahsante sana!Ooh please usinipuuze, nakuomba sana usinipuuze maisha yangu yataharibika ukifanya hivyo...
Idiot, do you think I give a fvck 🚮🚮
Dini gani inayofundisha kuwa shetani anauawa kwa maombi? acha kukariri vichekesho vya TikTok mdogo wangu.Kwahiyo maombi yenu makanisani na msikitini mkitaka kumuua shetani na Bado shetani hajafa tangu Leo ni miaka zaidi ya 2000 tangu kuanza Kwa hizo dini zenu.
Ni tafsiri kuwa nyie ni vichwa ngumu huyo Mungu wenu anashindwa kuwajibu maombi yenu ?
Mungu si mtu mungu ni NGUVU KUU ZENYE UFAHAMU ..wanasayansi wanazitambua kama MATHER NATURE ILA WANAKANA UFAHAMU WAO WANASEMA KUWA HIZO NGUVU HAZINA FAHAMU ILA NDIYO ZILIZO UMBA KILA KITU HADI AKILI IMEUMBWA NA IZO NGUVU PASIPO UFAHAMU . SWALI LA LOGIKI IKIWA KUNA NGUVU ZINAZO WEZA KUUMBA HADI AKILI NA UFAHAMU JE INAWEZEKANA VIPI HIZO NGUVU ZISIWE NA AKILI NA UFAHAMU(Consciousness)Sawa, unasema energy inaweza kubadilika kutoka form moja kwenda nyingine. Mfano chemical energy inaweza kubadilika kuwa heat, electrical energy inaweza kubadilika kuwa light na heat, na kinetic energy inaweza kubadilika kuwa heat. Sasa swali langu ni hili, ni wapi kwenye hiyo principle tunaona energy ikibadilika kuwa nafsi, consciousness au binadamu?
Kama unasema tulikuwepo milele kama energy, tulikuwa energy ya aina gani? Chemical, electrical, thermal, kinetic au energy gani hasa? Na ni process gani iliyofanya hiyo energy iwe consciousness na hatimaye iwe mimi na wewe?
Halafu umejuaje kwamba Mungu ndiye aliyefanya hiyo transformation? Energy kubadilika kutoka form moja kwenda nyingine ni fact tunayojua. Lakini kusema Mungu alibadilisha energy kuwa mwanadamu ni claim nyingine kabisa. Evidence ya hiyo connection iko wapi?
Na kama tulikuwepo milele kabla ya kuwa binadamu, Mungu alituumba kweli au alibadilisha tu kitu ambacho tayari kilikuwepo milele kuwa form nyingine? Hapo ndipo nataka unieleze vizuri.
usibishane na neno “maombi.” Swali langu ni kuhusu Mungu mwenye uwezo wote: kwa nini aache chanzo cha uovu kiendelee kuwepo wakati ana uwezo wa kukiondoa?”Dini gani inayofundisha kuwa shetani anauawa kwa maombi? acha kukariri vichekesho vya TikTok mdogo wangu.
KwendaaNilijua toka mwanzo haujakidhi viwango vya kufanya mjadala na mimi, na umethibitisha hoja yangu mdogo wangu, ahsante sana!
Huwa sibishani humu ndani, nipo kwa ajili ya kuwafundisha akili ndogo kama wewe kuelewa mambo kwa mapana.usibishane na neno “maombi.” Swali langu ni kuhusu Mungu mwenye uwezo wote: kwa nini aache chanzo cha uovu kiendelee kuwepo wakati ana uwezo wa kukiondoa?”
Mungu hawezi kuondoa chanzo cha uovu bila kumuondoa binadamu ?Huwa sibishani humu ndani, nipo kwa ajili ya kuwafundisha akili ndogo kama wewe kuelewa mambo kwa mapana.
Mungu akiondoa chanzo cha uovu leo, maana yake anakuondoa na wewe pia.
Umeanza na swali la ‘consciousness imetokeaje?’ ukamalizia kwa kudai ‘Nature ina consciousness.’ Hujajibu mystery; umeipa mystery consciousness bila ushahidi.”usibishane na neno “maombi.” Swali langu ni kuhusu Mungu mwenye uwezo wote: kwa nini aache chanzo cha uovu kiendelee kuwepo wakati ana uwezo wa kukiondoa?”
Yes, Mungu alishatengeneza huo ulimwengu usio na uovu unaoutaka, unaitwa Peponi.Mungu hawezi kuondoa chanzo cha uovu bila kumuondoa binadamu ?
Hahah unajibu kwa kutumia AI mpaka unajichanganya mdogo wangu 😅😅😅Umeanza na swali la ‘consciousness imetokeaje?’ ukamalizia kwa kudai ‘Nature ina consciousness.’ Hujajibu mystery; umeipa mystery consciousness bila ushahidi.”
Mungu muweza wa yote anayewapenda wote hayupousibishane na neno “maombi.” Swali langu ni kuhusu Mungu mwenye uwezo wote: kwa nini aache chanzo cha uovu kiendelee kuwepo wakati ana uwezo wa kukiondoa?”
Unajiuliza na kukujijibu mwenyewe, tuliza akili nataka uchanganyikiwe baadae siyo sasa hivi 😂😂Umeanza na swali la ‘consciousness imetokeaje?’ ukamalizia kwa kudai ‘Nature ina consciousness.’ Hujajibu mystery; umeipa mystery consciousness bila ushahidi.”
Umekimbilia kwenye AI TenaHahah unajibu kwa kutumia AI mpaka unajichanganya mdogo wangu 😅😅😅
Umekimbilia kwenye AI Tena
Kwanza, jibu hilo swali, umeonyesha wapi kwamba Nature ina consciousness? Wewe umesema Nature imeumba consciousness, halafu kutoka hapo ukahitimisha kwamba Nature yenyewe lazima iwe conscious.
Usikimbilie AI kwa sababu hoja imekushinda,jbu tu hiyo connection: Nature ,consciousness Kisha Mungu.
Sina uhakika kama Wakristo wote wanaamini peponi/ mbinguni ni ulimwengu au nje ya ulimwengu. Nafahamu mashahidi wa Yehova ndio wanaamini hivi.Yes, Mungu alishatengeneza huo ulimwengu usio na uovu unaoutaka, unaitwa Peponi.
Zaidi ya hayo kichekesho ni ,Mungu muweza wa yote anayewapenda wote hayupo
Wanasema Mungu ni muweza wa yote ila at the same time anaacha maovu yatokee, anaacha watu wafanye dhambi, anaacha watu wateseke maana yake sio muweza wa yote kwa sababu ameshindwa kuzuia watu kufanya maovu.
Wanasema Mungu anawapenda wote, lakini anawaacha watu wafanye dhambi na baadae anaenda kuwachoma moto which means hana upendo. Angekuwa na upendo angemuokoa kila mtu asifanye maovu ili asiangukie motoni
Wanasema Mungu anakupa chaguo la kumpenda na kumtii au kutompenda na kumtii. Lakini usipomtii anakuchoma moto wa milele. Tayari hilo sio chaguo. Ni sawa na umwambie mtu "Unipende au nakuua", hapo hujampa chaguo. Unamlazimisha akupende kama chaguo pekee au la sivyo atakiona cha mtema kuni
Kama Mungu ni muweza wa yote basi si kweli kwamba anatupenda wote, Kama Mungu anatupenda wote basi sio muweza wa yote. He can't be both.
Kama kweli ni muweza wa yote na anawapenda wote basi kusingekuwa na watu wanaofanya dhambi na pia kusingekuwa na watu watakaoenda motoni. It's that simple
Mimi sijasema miti au mawe yana consciousness. Ninachokuambia ni kwamba, mfumo mzima wa asili unavyofanya kazi unaonyesha kuna Intelligence ya hali ya juu nyuma yake.Umekimbilia kwenye AI Tena
Kwanza, jibu hilo swali, umeonyesha wapi kwamba Nature ina consciousness? Wewe umesema Nature imeumba consciousness, halafu kutoka hapo ukahitimisha kwamba Nature yenyewe lazima iwe conscious.
Usikimbilie AI kwa sababu hoja imekushinda,jbu tu hiyo connection: Nature ,consciousness Kisha Mungu.