Hakupaswa kuleta El Nino, Mimi hata kama mvua isingekuwepo kabisa na kukawa hakuna njaa ni sawa, au hata kama tusingekuwa tunasikia njaa kabisa ni sawa pia.Mvua ni nzuri? nenda kawaulize watu waliokumbwa na El Nino kama wanakubaliana na wewe.
Dini unazo zijua wewe hizo hizo.Dini gani hiyo inayoamini shetani sio chanzo cha maovu na mateso ?
Alikuwa anafanya jambo jema Kwa watoto wasije kufa Kwa njaa iliyosababshwa na huyo taahira wenu Mungu.Kama hakuna Mungu, Michael Jackson alikuwa anafanya jambo jema kwa nani?
Mungu ametupa akili ya kulinda hao watoto, ila binadamu kama wewe ndio wazembe.Kwahiyo Mungu mwenye upendo kaweka sheria za asili za kudhuru mtu yoyote Hadi watoto wachanga wasio na hatia wauawe na Matetemeko ya ardhi.
Kusema mvua ni nzuri hakufuti madhara ya mvua. Kama Mungu ndiye designer wa mfumo mzima, swali si kama mvua ina faida; swali ni kwa nini mfumo wake unahitaji faida hiyo ije pamoja na mateso makubwa ambayo angeweza kuyaepushaMvua ni nzuri? nenda kawaulize watu waliokumbwa na El Nino kama wanakubaliana na wewe.
Mbaazi ikikosa maua husingizia jua, na wewe umekosa hoja ueamua kutukana, pole mdogo wangu.Alikuwa anafanya jambo jema Kwa watoto wasije kufa Kwa njaa iliyosababshwa na huyo taahira wenu Mungu.
Sawa, Mungu ametupa akili ya kuwalinda watoto. Lakini je, watoto wote wanaokufa kwa njaa, mafuriko, tetemeko, kansa au magonjwa wanakufa kwa sababu binadamu wamezembea?Mungu ametupa akili ya kulinda hao watoto, ila binadamu kama wewe ndio wazembe.
Unaomba ulimwengu ambao hauwezi kuwepo kimantiki.Kusema mvua ni nzuri hakufuti madhara ya mvua. Kama Mungu ndiye designer wa mfumo mzima, swali si kama mvua ina faida; swali ni kwa nini mfumo wake unahitaji faida hiyo ije pamoja na mateso makubwa ambayo angeweza kuyaepusha
Dunia Ina jumla ya dini 4000-10000Dini unazo zijua wewe hizo hizo.
Nani amesema mtoto ndio amezembea? Uzembe upo kwa binadamu wazima lakini wenye akili ya kijinga kama yako.Sawa, Mungu ametupa akili ya kuwalinda watoto. Lakini je, watoto wote wanaokufa kwa njaa, mafuriko, tetemeko, kansa au magonjwa wanakufa kwa sababu binadamu wamezembea?
Mtoto wa miezi sita amezembea wapi?
Na kama Mungu ana uwezo wa kuwapa watu akili ya kuwalinda, kwa nini asiwaokoe wale ambao hawajalindwa? Kama anaweza kuingilia maisha ya watu, kwa nini intervention iwe kupitia akili za binadamu tu, wakati anajua kabla kabisa nani atakufa?
Mtu kuwa taahira sio Tusi mzazi ukiacha mtoto wako analamba sumu tutakuita ni taahira.Mbaazi ikikosa maua husingizia jua, na wewe umekosa hoja ueamua kutukana, pole mdogo wangu.
Ndio maana ya kusema hizo hizo unazozijua wewe, hujui kusoma vizuri ?Dunia Ina jumla ya dini 4000-10000
Ndio wewe sasa!Mtu kuwa taahira sio Tusi mzazi ukiacha mtoto wako analamba sumu tutakuita ni taahira.
Uumbaji ni creation Yani unaanza kutengeneza kitu from the scratch, energy iko transformed tu sasa mbona wewe unaibatiza jina la uumbaji? Hebu nisaidie hapoUUMBAJI MAANA YAKE CHANGE OF FORM YA ENERGY ..KAZA AKILI UNAKALIBIA KUELEWA ...
KIPENGELE CHA UUMBAJI WA MUNGU KIPO KWENYE > ENERGY INABADILIKA KUTOKA MUUNDO MMOJA HADI MWINGINE >hii ndiyo uumbaji ..Mungu anabadili energy kuwa maji au kuwa moto au kuwa batidi ay kuwa sauti au kuwa usumaku au kuwa mwanadamu au kuwa jini huo ndiyo uumbaji a
kama binadamu mwenye uwezo mdogo ana wajibu wa kumlinda mtoto, Mungu mwenye uwezo wote na anayejua kila kitu ana wajibu gani?Nani amesema mtoto ndio amezembea? Uzembe upo kwa binadamu wazima lakini wenye akili ya kijinga kama yako.
Sasa kama Mimi nina akili za kijinga na Bado huyo Mungu ananipa majukumu ya kulinda mtoto huoni huyo Mungu ndio Mpuuzi.Nani amesema mtoto ndio amezembea? Uzembe upo kwa binadamu wazima lakini wenye akili ya kijinga kama yako.
Wajibu wa Mungu ni kutoa Haki ya Milele sio kuwa yaya au bodigadi wako kila muda hapa duniani.kama binadamu mwenye uwezo mdogo ana wajibu wa kumlinda mtoto, Mungu mwenye uwezo wote na anayejua kila kitu ana wajibu gani?
Kama mtoto anateseka kwa sababu watu wazima wameshindwa kumsaidia, Mungu alikuwa wapi wakati huo? Alijua kabla kwamba mtoto huyo atateseka, ana uwezo wa kuzuia, lakini akaacha itokee.
Kama wewe unajiona chizi na mpuuzi, nenda kairudishe hiyo akili maabara basi!Sasa kama Mimi nina akili za kijinga na Bado huyo Mungu ananipa majukumu ya kulinda mtoto huoni huyo Mungu ndio Mpuuzi.
Anawezaje kumpa rungu chizi.
"Hhaki ya milele’,....... kama Mungu anajua kabla ya mtu kuzaliwa kwamba mtu huyo ataishia motoni, na bado anaamua kumuumba, alikuwa na option gani ambayo Mungu mwenyewe hakujua? Kama mwisho tayari unajulikana kwa Mungu, unaita vipi mfumo huo kuwa free choice yenye matokeo ambayo Mungu hakuyachagua?Wajibu wa Mungu ni kutoa Haki ya Milele sio kuwa yaya au bodigadi wako kila muda hapa duniani.
Unachanganya kujua kitakachotokea na kulazimisha kitokee. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa."Hhaki ya milele’,....... kama Mungu anajua kabla ya mtu kuzaliwa kwamba mtu huyo ataishia motoni, na bado anaamua kumuumba, alikuwa na option gani ambayo Mungu mwenyewe hakujua? Kama mwisho tayari unajulikana kwa Mungu, unaita vipi mfumo huo kuwa free choice yenye matokeo ambayo Mungu hakuyachagua?
Kwa hiyo usijibu kwa kusema Mungu si bodyguard. Mimi sijasema hivyo. Nakuuliza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote alichagua reality yenye suffering hii wakati alikuwa na uwezo wa kuumba reality yenye suffering kidogo bila kuacha kuwa Mungu.