Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

Tafuta waumini wa Mwamposa wakupeleke.
Wewe unahitaji kuwa na kitanda Psychiatric Ward pale milembe mtibiwe.


Nyie kule china wapuuzi wenzio wenye ujinga wa Dini mnafanyiwa Cinitization process Ili muwe binadamu kamili kama wale Waislam wa Uighurs serikali ya china imewaweka kwenye makambi wakifanyiwa transformation Ili wawe binadamu Sasa.


Ndio kama wewe!
 

Attachments

  • Screenshot_20260816-133532.png
    1.4 MB · Views: 7
Pole sana, uzuri unaongea upuuzi tu hapa.
 
Mungu muweza wa yote kwanini asimuue huyo shetani Ili asiendelee kuwatumia binadamu Ambao hawana hatia
Akili zetu za kibinadamu ndio zinapoishia, kwanini unawaza kuua, Mungu amekupa machaguo ya kufuata, lipo chagua sahihi na lisilo sahihi, kazi yako ni kuchagua.
 
*Argument from epistemology
*,kwamba hatuwezi kujua lolote,hata kujua kuwa hatujui pasi na ufunuo,ndo msingi wa dini na ndo tatizo . Mtu kabisa anasema haiwezi kujua jema na baya pasipo mungu. Mfano mtu asijue kama njaa ni mbaya isipokuwa Kuna kitabu "cha mungu" kiseme ni mbaya.
 
Akili zetu za kibinadamu ndio zinapoishia, kwanini unawaza kuua, Mungu amekupa machaguo ya kufuata, lipo chagua sahihi na lisilo sahihi, kazi yako ni kuchagua.
Tuseme nimekosea kuchagua kuua

Vipi wale wanaouawa na wao wamechagua kuuawa ?


Mungu kwanini hawalindi Ambao hawajachagua kuuawa kutokana na kosa la mjinga mmoja ambae kachagua kuua.
 
Tuseme nimekosea kuchagua kuua

Vipi wale wanaouawa na wao wamechagua kuuawa ?


Mungu kwanini hawalindi Ambao hawajachagua kuuawa kutokana na kosa la mjinga mmoja ambae kachagua kuua.
Pointi yako ni ipi
 
Hicho chanzo kimetengenezwa na nani?
 
Mwenye matatizo ya akili ni yule anaeamini kitu ambacho hajakiona. Nawasifu sana atheists
 
Mpaka hapa ulipo fika huu mjadala, wafia dini wameshakula za uso.

Ila kubwa kuliko ni Mtu kulinganisha Energy=Mungu nadhani hii haikubaliki.
 
You said it all shekhe wetu, kwa ufupi mkubwa mwanadamu lazima awe na muabudiwa, lazima aabudu na hakuna budi isipokuwa hivyo.

Sasa itakapokuwa wamemkataa yule muabudiwa wa kweli aliyewaumba na anayewaruzuku kutoka mbinguni na ardhini basi wataabudu vingine tu katika viumbe wenzao.

Huenda wakaabudu matamanio ya nafsi zao, elimu zao, mapenzi ya kupenda vitu vya kidunia au kuabudu kisichojulikana kama kusema huyu muabudiwa wa waislamu na wakristo sisi hatumkubali ila tunaamini yupo wa kweli, al muhimm wanahangaika na watahangaika mpaka siku ya kufa kwao na mwisho watakutana na Allah mbele yao, naye atawapa hesabu ya matendo yao na Allah ni mpesi wa kuhesabu.

Nashukuru kwa kuniita ustadh Baljurashi
 
Mkuu, tena umeonyesha akili zao zinavopingana zenyewe kuhusiana na INTELLIGENT DESIGN.
'wanaamini kitanda kimetengenezwa na mtu mwenye akili' ila hawaamini binadamu hata dunia imeumbwa kiakili. Mifano ni mingi, mimi hupenda kuutumia huu ufuatao - mzunguko wa hewa tunayopumua ... ili tuishi tunavuta ndani oxijeni inayopumuliwa nje na mimea, nayo mimea ili kuishi inavuta ndani CO2 ambayo sisi tunayopumua nje... huu ni muundo ama uumbaji wa kiakili, sio umetokea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…