Energy haijali kama umekula kitimoto,Mungu naye ni Energy....sasa utasema kama Mungu naye ni energy na sisi ni energy kwa nini sisi siyo Mungu ? Nini tofauti ya energy ya mungu na energy sisi? Jibu sisi ni sehemu ndigo tu ya eneryg ya Mungu ...Mungu ni Energy yote na ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla ndiyo mungu ..sisi ni sehemu tu ya mungu...
Kidini neno la kisayansi energy linatambulika kama spirit
Tatizo lako ni kushidwa kutambua mungu ni nini ...MUNGU NI NGUVU ZOTE ZA ENERGY TENA ZINA UFAHAMU (HIVYO HUO UFAHAMU WA ENEGRY YOTE ULIMENGUNI NDIYO NAFSI YA MUNGU NA NDIYO MUNGU
Mkuu ,hapo ubongo unajua kwa njia Gani Mwanzo kabla ya ushahidi?Kuna tatizo kwenye hili.
Tatizo la 1. Ushahidi kwa wenyewe sio ukweli. Ushahidi unaweza kuwa wa uongo au ukweli.
Tatizo la 2. Ushahidi unategemea "Kujua". Kujua kunatangulia ushahidi.
Ubongo anaanza kujua unafuatia ushahidi.
Wewe pia ni energy ..je wewe haujali ...chochote ? Hivi unajua maana ya haya maneno kisayansi ....KILA KITU NI ENERGYEnergy haijali kama umekula kitimoto,
Energy haijali kama wewe ni shoga au sio shoga,
Energy haijali kama umetembea na mke wa mtu,
Energy haijali kama umesali Jumamosi au Jumapili,
Energy haijali kama umesali sala tano, kumi, mia au haujasali kabisa.
Mimi sio energy, ni matter.Wewe pia ni energy ..je wewe haujali ...chochote ? Hivi unajua maana ya haya maneno kisayansi ....KILA KITU NI ENERGY
Sifuri (0) inategemea nini kuwepo katika namba?Nyuma ya huo uwepo wa hali ya juu wenye akili mnaouita mungu kuna nini?
Chanzo cha huo uwepo wenye akili ni nini au kipi ?
Kipi 0 kati ya Mungu na Ulimwengu ?Sifuri (0) inategemea nini kuwepo katika namba?
1, 2, 3...zinatoka baada ya sifuri.
-1, -2...zinategemea 0. -1=0-1.
0 haitegemei namba nyingine. Ipo yenyewe. Ndio "msingi" wa namba zote.
Bila 0 huwezi kuanza kuhesabu.
Swali lako uliuliza nini? Ulimwengu? Mungu?Kipi 0 kati ya Mungu na Ulimwengu ?
Ubongo unafanyaje kazi?Mkuu ,hapo ubongo unajua kwa njia Gani Mwanzo kabla ya ushahidi?
Chanzo cha mungu ni nini au kipiSwali lako uliuliza nini? Ulimwengu? Mungu?
Nilikujibu au sikukujibu?Chanzo cha mungu ni nini au kipi
JibuNilikujibu au sikukujibu?
🤭Jibu
Ubongo unachakata taarifa(ushahidi)na kuunda hitimisho(kujua).Ubongo unafanyaje kazi?
Nadhani hapa unachanganya maana mbili za ‘kujua’. Ubongo unaweza kutambua kitu kabla ya kukichunguza, lakini kutambua taarifa si sawa na kujua kwamba taarifa hiyo ni kweli.Kuna tatizo kwenye hili.
Tatizo la 1. Ushahidi kwa wenyewe sio ukweli. Ushahidi unaweza kuwa wa uongo au ukweli.
Tatizo la 2. Ushahidi unategemea "Kujua". Kujua kunatangulia ushahidi.
Ubongo anaanza kujua unafuatia ushahidi.
Mtoto anazaliwa hana "ushahidi" kwamba mama yake ni mama yake. Lakini "anajua" ndani yake. Anajihusisha naye. Baadaye ndio anapata ushahidi: sauti, harufu, maziwa.Ubongo unachakata taarifa(ushahidi)na kuunda hitimisho(kujua).
Sasa nashangaa wewe unasema inaanza ujuzi alafu ndo tunaikusanyia ushahidi!
Mfano wa 0 ni scam tu, 0 haikuumba 1, 2, 3; 0 ni sehemu ya mfumo wa namba, si chanzo kinachozalisha namba. Kwa hiyo 0 kuwa reference point hakuthibitishi kwamba lazima kuwe na ‘chanzo cha kwanza’ cha ulimwengu.Sifuri (0) inategemea nini kuwepo katika namba?
1, 2, 3...zinatoka baada ya sifuri.
-1, -2...zinategemea 0. -1=0-1.
0 haitegemei namba nyingine. Ipo yenyewe. Ndio "msingi" wa namba zote.
Bila 0 huwezi kuanza kuhesabu.
Mfano wa mtoto hauonyeshi kwamba mtoto anajua mama yake ni mama yake kabla ya ushahidi. Anaanza na attachment na biological recognition, si knowledge ya kimantiki kwamba ‘huyu ndiye mama yangu.’ Sauti, harufu na maziwa unazotaja ndiyo evidence inayojenga hiyo recognition.Mtoto anazaliwa hana "ushahidi" kwamba mama yake ni mama yake. Lakini "anajua" ndani yake. Anajihusisha naye. Baadaye ndio anapata ushahidi: sauti, harufu, maziwa.
Kama tungesubiri ushahidi kwanza, hatungeamini chochote.
Mambo yako hivi:-
1. Kujua kwa silika/ Uzoefu. Unajua moto unachoma hata kabla hujaona ripoti ya kisayansi.
Unajua 2+2=4 hata kabla mwalimu hajaandika ubaoni. Maarifa ya moja kwa moja.
2. Kutafuta ushahidi. Baada ya kujua, akili yako inasema: ngoja nithibitishe hili ni kweli kweli. Ndipo unatafuta ushahidi. Unapima, unauliza, unaangalia.
3. Kuimarisha kujua. Ushahidi unapokuja, unageuza "ninajua" kuwa "ninajua kwa uhakika."
Hili nimeshaeleza. Tazama comment 498Hivyo basi Leo ni siku ya pili ninakuomba evidence kuhusu muumbaji wa Dunia hutaki kunipa. Unacheza na maneno.
Mimi nilikupa evidence ya Fundi anaetengeneza kitanda hata kama huyo fundi nakuwa simjui. Wewe unashindwa vipi mkuu si unyooke kunipa ushahidi?