Mkuu mimi naandika ninachoelewa. Naelewa sayansi/saikolojia/mantiki. Naelewa imani/ukatoliki/falsafa. Najua mipaka ya sayansi/mantiki/saikolojia. Najua matatizo ya falsfa.hapo unachanganya kutopimwa moja kwa moja na kutokuwepo. Sayansi haisemi “kisichopimika hakipo”; inasema claim kuhusu uhalisia inahitaji evidence.
Akili tunaiona kupitia matokeo yake na uhusiano wake na ubongo. Ubongo ukibadilika, memory, tabia na maamuzi vinaweza kubadilika. Kwa hiyo “akili haipimiki moja kwa moja” si evidence kwamba iko nje ya ubongo.
Wewe leta evidence kuwa Mungu ni Designer wa Dunia acha maneno bwasheeeeeeeee🙂↕️
Umeongozwa na Mungu kuandika ivi, kwa ufupi ata wakisema ameandika malaika wa BWANA hapa twaweza kukubaliUkimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "
At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".
How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?
Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.
Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".
Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..
Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..
" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..
Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Imani sio ukweli, ni hisia na vibes tu, ndio maana mmoja anaweza kusema Yesu alikufa na mwingine akasema hakufa, mwingine anasema kitimoto ruhusa mwingine anasema haramu, wingine wanasema mke mmoja wengine wanasema wake wanne.Mwelekeo wako unazingatia sayansi.
Hatahivyo, ni wazi hiyo sayansi unayoizingatia bado pia hujaijua vizuri zaidi ya ushabiki.
Kwa nini? Unachanganya sayansi na imani. Unashindwa kuelewa kwamba sayansi inashughulikia swali "jinsi gani" na imani anashughulikia swali "Kwa nini."
Sayansi inaongoza kwa kanuni ya kupima. Kama kitu hakipimiki kwa sayansi hicho kitu hakipo.
Tuelewe kwamba sayansi ni maarifa yanaokua na kuendelea. Ndio sababu yanaweza kusahihishwa.
Lakini katikati ya maarifa ya sayansi, katikati ya akili ya binadamu kuna ukweli (imani) ambao wenyewe upo tu. Uwe unapimika au haupimiki, unaonekana au hauonekani, unajua au haujui. Ukweli upo tu.
Kwisha kusema hayo.
Akili ya binadamu iko wapi?
Wewe huelewi hata hicho unachojua kuwa unakijua.Maneno meeeeeeeeeengi
Huyo Mungu wako anashindwa kuwalinda watoto dhidi ya watumishi wake!
🫢Imani sio ukweli, ni hisia na vibes tu, ndio maana mmoja anaweza kusema Yesu alikufa na mwingine akasema hakufa, mwingine anasema kitimoto ruhusa mwingine anasema haramu, wingine wanasema mke mmoja wengine wanasema wake wanne.
Ni vizuri ukasema Sayansi inashughulika na data, vitu vinavyopimika na vyenye kuthibitishika wakati imani inashughulika na hisia na mambo ya kufikirika zaidi.
Inawezekana ni wagonjwa ila sisi wenye dini ni wagonjwa zaidi. Ugonjwa wa wenye dini ni kushindwa kutofautisha kipi cha dini na kipi cha kutumia akili tulizopewa.Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "
At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".
How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?
Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.
Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".
Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..
Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..
" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..
Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Haaaaa...hii comment sikuiona ...umenichekesha sana ...kiranga aliwahi kutapika boko kama hili ...hadi akanipiga block ....EVEN MATTER IS ENERGY wewe utakuwa ni wale wasomi feki kama wa UDSM, NDIYO MAANA UMEJIFUNUA UJINGA WAKO LEO ..SASA NAKUSHAURI KWA HII COMMENT YAKO ..KWA KUWA UMEDHANI MATTER SIYO ENERGY BASI NI RAHISI SASA KUMTAMBUA MUNGU KWA WEWE KUANZIA KUFANYIA KAZI HILI JAMBO JE MATTER NI ENERGY AU LA! ....UKIJA KUJUA KUWA MATTER NI ENERGY BASI SASA UTAANZA KUJUA MUNGU NI NINI NA BINADAMU NI NINI NA VITU VYOTE NI NINI ...NDIYO MAANA MWANA SAYANSI Albert Einstein alisema ..kihalisi hakuna matter kwa sababu even matter is energy ...matter is traped energy.Mimi sio energy, ni matter.
KILA KITU SIO ENERGY.
Mlipotoshwa mashuleni mlipo ambiwa kuwa matter siyo energy ...kwenye shule wanafundisha kuwa kuna MATTER NA ENERGY ..kwa maana vitu vyote either ni matter au ni energy hii fafanuzi ni potovu kisayansi ...kisayansi TUNASEMA HIVI ...Mimi sio energy, ni matter.
KILA KITU SIO ENERGY.
Haaaaa...hii comment sikuiona ...umenichekesha sana ...kiranga aliwahi kutapika boko kama hili ...hadi akanipiga block ....EVEN MATTER IS ENERGY wewe utakuwa ni wale wasomi feki kama wa UDSM, NDIYO MAANA UMEJIFUNUA UJINGA WAKO LEO ..SASA NAKUSHAURI KWA HII COMMENT YAKO ..KWA KUWA UMEDHANI MATTER SIYO ENERGY BASI NI RAHISI SASA KUMTAMBUA MUNGU KWA WEWE KUANZIA KUFANYIA KAZI HILI JAMBO JE MATTER NI ENERGY AU LA! ....UKIJA KUJUA KUWA MATTER NI ENERGY BASI SASA UTAANZA KUJUA MUNGU NI NINI NA BINADAMU NI NINI NA VITU VYOTE NI NINI ...NDIYO MAANA MWANA SAYANSI Albert Einstein alisema ..kihalisi hakuna matter kwa sababu even matter is energy ...matter is traped energy.
Kwahiyo nyie kwenda Kununua mafuta ya UPAKO au Mchanga wa UPAKO hiyo sio boringIla wanaboa kwakweli....
Kama mtu anamuua mtoto, muuaji ndiye anayefanya uovu. Sijawahi kusema Mungu ndiye muuaji.Wewe huelewi hata hicho unachojua kuwa unakijua.
Kwenye hilo tatizo ni la nani?
Unasema Mungu anashindwa kuwalinda watoto dhidi ya uovu? Lakini husemi uovu unafanywa na nani? Is that rational?
Mi sipo huko 🤓Kwahiyo nyie kwenda Kununua mafuta ya UPAKO au Mchanga wa UPAKO hiyo sio boring
Mkuu mimi naandika ninachoelewa. Naelewa sayansi/saikolojia/mantiki. Naelewa imani/ukatoliki/falsafa. Najua mipaka ya sayansi/mantiki/saikolojia. Najua matatizo ya falsfa.
Unajua tatizo lako ni nini? Uelewa.
Ona ulichosema au andika mwenyewe hapa chini:-
"hapo unachanganya kutopimwa moja kwa moja na kutokuwepo. Sayansi haisemi “kisichopimika hakipo”; inasema claim kuhusu uhalisia inahitaji evidence."
Unaelewa ulichoandika hapo nini?
Ndio maana nilikuambia wewe ni shabiki tu ambae huna ushahidi wa ndani wa jambo unalolifuata.
Rudi ujifunze upya. Jifunze "Uhalisia" ni nini? Na "Ushahidi ni nini?. Jifunze kwanini kanuni msingi ya sayansi ni kupima? Na kwanini kama sayansi haiwezi kupima inanyamaza kimya?
Hapa hatuzungumzii kisichokuwepo. Mjadala wetu ni "Uwepo wa Hali ya Juu Wenye Akili tunaouita Mungu, ambao wewe unataka ushahidi wake.
Kwa ufupi kabisa mjadala wetu unahusu "Akili".
Nimeeleza hilo kisayansi na imani.
Nimekuuliza:-
Unaweza kunionyesha akili ya binadamu?
Unaweza kupima akili ya binadamu?
Nimekuuli pia:-
Unaweza kuonyesha wazo lililopelekea kutokea kwa mashine ya MRI likoje?
Kwahiyo wewe kama baba una bunduki na magazine 1000Wewe huelewi hata hicho unachojua kuwa unakijua.
Kwenye hilo tatizo ni la nani?
Unasema Mungu anashindwa kuwalinda watoto dhidi ya uovu? Lakini husemi uovu unafanywa na nani? Is that rational?
Wewe ulikuwa wapi kabla ya kuzaliwa ?Maneno mengi mnashindwa kuonesha Mungu Yuko wapi
Mungu mnamficha kama Nyara za serikali
Mungu mnamficha kama Bangi ya Njombe
Si mseme Mungu Yuko wapi
Si mtuite hata tuhudhhrie kanisani kwenu tufanye maombi na nyie Ili tumuone kama nyie mnavyomuona na kujua anapoishi.
I think you are a child or may be you still a childKwahiyo wewe kama baba una bunduki na magazine 1000
Mtoto wako wa kike anataka kubakwa na muovu!
Hutamuua huyo muovu ?
Mungu wako mwenye uwezo wa yote, shetani anaingiza watu matatizoni ila anashindwa kumuua huyo shetani na anajiita ndio muweza wa yote.
Unachokikana unakikiri mwenyewe🤔Akili yenyewe inaweza isiwe kitu cha kuweka kwenye mizani, lakini tuna evidence ya shughuli zake na tunaweza kuhusisha matokeo na chanzo chake
Ndugu mtoa mada (LIKUD), hoja yako uliyoileta inaibua mjadala mzito na wa kihistoria unaogusa misingi ya kifalsafa ya "Watchmaker Analogy" (Mfano wa Mtengeneza Saa)—hoja ambayo imetumiwa na wanafikra wengi wakubwa kutetea uwepo wa Muumba kutokana na utata na mpangilio wa ulimwengu. Ni hoja yenye mashiko katika ulimwengu wa teolojia na falsafa.Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".