Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

SIO COMMON ANCENSTRY ... wengi duniani hatuna neanderthal DNA. Aongelee wazungu tu na wenzao walochanganyana.

Mambo ya Homo Sapiens kuja kuwa homo habilis ni pumba tu
 
Nini kilitokea kwanza, yai ama kuku?

Sijajijibu ila pia huu ni ushahidi wa intelligent design... unaumba mwanadamu, unamuumba mwenzake afu unawapa maumbile na uwezo wa kuzaana... VERY INTELLIGENT DESIGN. Ndo maana pia, masokwe wanaendelea kuzaana masokwe, na sisi tunaendelea kuzaana wanadamu - hatuhusiani ki-evolutionary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…