Nenda Serengeti kajaribu kumnyang'anya watoto wake Simba jike ambaye hajui story za Mungu uone reaction yake.Pole sana kwa matatizo, iHiyo hali ya kujisikia vibaya, kuona umeonewa, na kuona kudhulumiwa ni makosa, mnaipata wapi nyinyi ma-atheist?
Kwenye ulimwengu wa evolution na u-atheist, hakuna kitu kinaitwa dhuluma au wizi. Kuna mwenye nguvu kumyang'anya mnyonge.
Kujisikia kwako vibaya baada ya kufanyiwa hivyo kunathibitisha kuna sheria ya Mungu ya kimaadili iliyopo ndani ya moyo wako, hivyo yani.
Kwanza kabisa tuchambue neno "mungu".Umekiri mwenyewe, hawajui, sasa kama wanasayansi wenyewe wanajibu we don’t know kuhusu kilichokuwepo kabla ya Big Bang, nyinyi atheists mnaoibuka na kusema hakuna Mungu" mmetoa wapi hiyo absolute confidence?
Mfumo wa binadamu sio wa kipekee kwa wanyama wengine.Hao jamaa wana matatizo kichwani. Kitanda kidogo tu wanajua kina fundi, lakini mfumo tata wa binadamu eti umetokea kwa bahati mbaya, huwa wananishangaza sana.
Sawa, nami pia naamini kuwa kuna MUNGU.We feel God...
Ikiwa mifumo tata inahitaji muumbaji, basi muumbaji naye anahitaji muumbaji aliye tata zaidi. Hilo linapelekea msururu mrefu usio na mwisho wa waumbaji, ambapo kila mmoja anakuwa tata zaidi kuliko aliyemtangulia.Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "
At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".
How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?
Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.
Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".
Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..
Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..
" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..
Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Hata mhalifu hawezi kutaka kwenda jela, lakini anaenda kwa sababu alichagua kuvunja sheria. Kwenda motoni ni suala la wewe kuchagua njia inayokupeleka huko.Sio sipendezwi na ufanyaji kazi wake, ni kwamba haimake sense uwepo wa huyo kiumbe wa kufanya hayo mambo
Kwanza hakuna ushahidi kama yupo, na pili kwenda motoni sio chaguo la mtu. Nani anataka kwenda motoni?
Hivi kweli kuna kosa duniani linastahili kuchomwa moto wa milele? Huyo Mungu ambaye hajui hata kubalance uzito wa adhabu uendane na kosa hayupoHata mhalifu hawezi kutaka kwenda jela, lakini anaenda kwa sababu alichagua kuvunja sheria. Kwenda motoni ni suala la wewe kuchagua njia inayokupeleka huko.
Ukichagua kukataa sheria za Mungu, kuishi kwa ukaidi, na kufanya uovu, maana yake umechagua matokeo yake. Huwezi kunywa sumu kwa hiari yako halafu ukalalamika mbona inakuua!
Wewe ni Atheists?Ikiwa mifumo tata inahitaji muumbaji, basi muumbaji naye anahitaji muumbaji aliye tata zaidi. Hilo linapelekea msururu mrefu usio na mwisho wa waumbaji, ambapo kila mmoja anakuwa tata zaidi kuliko aliyemtangulia.
If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.
Una elewa wewe?
Kama ulimwengu lazima uwe na chanzo, Hata hicho chanzo cha ulimwengu hakiwezi kutokea tu from nowhere. Na chenyewe lazima kiwe na chanzo chake kingine.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.
Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.
Wagonjwa wa akili ni nyie THEISTS mnaokubali kwamba huyo Mungu wenu ali exist tu, from nowhere. Halafu mnafosi ulimwengu uliumbwa.
Kama haiwezekani ulimwengu kuwapo bila chanzo, Hata huyo Mungu haiwezekani awepo bila chanzo.
Msifosi ulimwengu uwe na chanzo, Halafu kwa huyo Mungu hamfosi chanzo chake, mnakubali tu mkichwamkichwa kwamba ali-exist bila chanzo.
It doesn't make sense.
Na pia ni logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.
The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic. It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.
Kama kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo, Hapapaswi kuwa na chochote kile kilicho exist chenyewe tu, pasipo chanzo. Including huyo Mungu wenu!
Wenye matatizo kichwani ni nyie THEISTS mnaokubali na kuamini mkichwamkichwa kwamba huyo Mungu wenu hana chanzo, alizuka tu from nothing!Hao jamaa wana matatizo kichwani.
Ikiwa mifumo tata inahitaji muumbaji, basi muumbaji naye anahitaji muumbaji aliye tata zaidi. Hilo linapelekea msururu mrefu usio na mwisho wa waumbaji, ambapo kila mmoja anakuwa tata zaidi kuliko aliyemtangulia.Kitanda kidogo tu wanajua kina fundi, lakini mfumo tata wa binadamu eti umetokea kwa bahati mbaya, huwa wananishangaza sana.
Hoja rahisi sana hii, kama ukienda barabarani ukakuta gari la Toyota na gari la Suzuki zote zina matairi manne, usukani, na injini inayotumia piston, utasema hayo magari yamejitengeneza yenyewe kwa sababu yanafanana?Mfumo wa binadamu sio wa kipekee kwa wanyama wengine.
Hivyo hakuna upekee
Mimi ni Infropreneur.Wewe ni Atheists?
Sasa Mungu sio jibu rahisi.Kwenye falsafa hiyo hiyo unayotaka kuigusia, kuna kanuni inaitwa occam’s razor inasema kwamba jibu rahisi na lenye mantiki zaidi ndilo la kweli. Kuliko kubuni nadharia ya kamati ya miungu elfu moja waliokaa kikao kuunda ulimwengu, ni rahisi na ina mantiki zaidi kukubali uwepo wa Muumba Mmoja Mwenye Nguvu Zote.
Ndiyo, atheist anaweza kuwa na ugonjwa wa akili, kama ilivyo kwa mtu wa dini yoyote.Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "
At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".
How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?
Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.
Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".
Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..
Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..
" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..
Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Wewe uliumbwa au Mama yako alikuzaa?Alie muumba anamuhusu yeye. Mimi anae ni husu ni huyu alieniumba
UsiogopeSawa, nami pia naamini kuwa kuna MUNGU.
Ila ukiambiwa sasa thibitisha kuwa hicho unachofeel ni MUNGU aliyeumba ulimwengu, au uthibitishe kwamba unayeamini ni MUNGU ndiye huyo huyo ninayemuamini au anayemuamini mhindu na ndiye chanzo cha yote hapo ndo mazoezi yataanza. Hayo mazoezi ni kwasababu whatever you feel inatokana na Imani Siyo fact.
Wewe uliumbwa au Mama yako alikuzaa?
Hakuna binadamu aliyeumbwa.
Kila binadamu kazaliwa kutoka kwenye tumbo la mama yake.
Una elewa?
Hii mada ngumu.
Nikuulize kama mwanadamu lazima ameumbwa na fulani (Mungu). Kila kitu lazima kiwe kimeumbwa.
Huyo fulani naye lazima ameumbwa, tukifuata mtiririko wako wa kujenga hoja.
Je, huyo aliye muumba mwanadamu ameumbwa na nani?
Huoni kunakuwa na an endless cycle ya kutafuta muumbaji?
🤣🤣🤣 Mbona unajiwahi mkuu? Anyways, sometimes uoga/ hofu, ndio akili. Nimekukubali sana mkuuAngalizo: NAAMINI Mungu yupo.
Hili siyo jibu.Alie muumba anamuhusu yeye. Mimi anae ni husu ni huyu alieniumba
Mtu wa kwanza nani?Mtu wa kwanza aliumbwa..
Kama sisi ni descendants, iweje tuna tofautiana rangi na vinasaba?We are the descendants.. It doesnt need Rocket science to understand that