MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Karibu upewe elimu.Kama kabla ya hapo hakukuwa na space, time, wala matter, kitu gani kilisababisha ulimwengu utokee?
Unaelewa hata unachokipinga kwa akili yako hiyo?
Nani amekuambia sina uhakika wa uwepo wake?Kama unaamini yuko kwa sababu tu unaweza ukaenda ukamkuta ila huna uhakika wa uwepo wake sidhani kama atakupenda kama yupo ikizingatiwa inasemwa anajua yote hata yale ambayo binadamu wanawaza sirini.
Sijui.Sheria za asili kama gravity zilitoka wapi?
Ni wakati gani ulimwengu haukuwepo?Sheria ya mantiki inasema everything that begins to exist has a cause, ulimwengu una mwanzo hivyo unahitaji chanzo. Mungu hana mwanzo, Yeye ni eternal, hivyo hahitaji chanzo.
Karibu upewe elimu wewe ambaye bado hujui hata maana ya neno kabla.Karibu upewe elimu.
Kabla ya space, time and matter.
Kwanza kabla hatujaenda mbali umekubali huyo Mungu hayupo?
Godfrey, right?
Angalau umeanza kuwa mnyenyekevu, keep it up.Sijui.
Ila nakuona unakoelekea unavyotaka kutanguliza mkokoteni mbele badala ya Punda.
Huwezi kujibu hoja kwa kukimbilia neno, ambalo lipo sahihi.Karibu upewe elimu wewe ambaye bado hujui hata maana ya neno kabla.
Kabla ni neno linaloelezea muda, kama time haikuwepo, hakuna kitu kinachoitwa kabla kwa maana ya kibinadamu. Mungu haitwi yupo kabla ya muda, bali yuko nje ya muda.
Rudi shule ukajifunze basic physics na philosophy kabla ya kuja kunipa elimu mimi.
utajua kupitia nguvu iliyomo ndani yakeTutajuaje Biblia sio tu kitabu kilichotungwa na matapeli
aaah sio godfrey mean jesusGodfrey, right?
Ooh! Sasa nimeelewa mkuu.aaah sio godfrey mean jesus
Hii ni sheria ya baadhi ya waamini mungu, sio sheria ya mantiki kwa ujumla inayokubaliwa na watu wote au kisayansi. Inaitwa "Kalam Cosmological Argument"Sheria ya mantiki inasema everything that begins to exist has a cause, ulimwengu una mwanzo hivyo unahitaji chanzo. Mungu hana mwanzo, Yeye ni eternal, hivyo hahitaji chanzo.
Hujui kusoma kwa ufahamu wewe, nimeshakujibu hili bado una rudia kuuliza kitu kile kile.Huwezi kujibu hoja kwa kukimbilia neno, ambalo lipo sahihi.
Kabla ya space, time na maada.
Nini kilikuwepo?
Hili ndio msingi wa swali lako?
Inaonyesha wazi, huelewi hivi vitu.
Ndio maana umekimbia kabla ya kujibu.
Kama unaelewa, nawe ni mjuvi
Embu tuelezee kabla ya kuwepo
Time, space na maada ni kilikuwepo?
Darasa lipo wazi, tufute ujinga kwenye kichwa chako
Maskini umekimbilia Google kutafuta jina la hoja na wewe uonekane umevumbua jambo la msingi? Ngoja nikueleweshe, Kalam Cosmological Argument ni philosophical logic sio sheria ya dini na iliundwa kwa kutumia misingi ya hesabu na uhalisia.Hii ni sheria ya waamini mungu, sio ya mantiki. Inaitwa "Kalam Cosmological Argument"
Hakuna unacho elewa,Hujui kusoma kwa ufahamu wewe, nimeshakujibu hili bado una rudia kuuliza kitu kile kile.
Unarudia neno kabla ya muda, wewe kichwa ngumu elewa kabla ni kipimo cha muda! Huwezi kuuliza nini kilikuwepo kabla ya muda kuanza, kwa sababu neno kabla halina maana kule ambako muda haupo.
Yani unaitafuta jana kabla ya muda haujaumbwa, make it make sense? Jifunze kusoma kwa ufahamu kwanza.
Muda ni sehemu ya ulimwengu. Hakuna wakati ulimwengu haukuwepo kwa sababu muda ulianza pale ulimwengu ulipoanza. Kabla ya hapo kulikuwa na timelessness hali isiyo na muda. Na kilichosababisha muda uanze lazima kiwe kiko nje ya muda. Huyo ndio Mungu. Soma fizikia uache kukariri maneno ya vijiweni.Ni wakati gani ulimwengu haukuwepo?
Ulimwengu umekuwepo milele.
Ulimwengu haujawahi kutokuwepo.
The universe didn't begin to exist.
Ulimwengu umekuwepo, upo na utaendelea kuwepo.
Hauhitaji chanzo.
Huyo Mungu hayupo. Na wala huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Huyo Mungu ni imani zenu uchwara za maandiko yenu ya kiimani. Mliyo andikiwa na wajinga wa kale. Sasa mnaamini mkichwamkichwa tu!
Ukifanya mjadala na mimi lazima uwe timamu na ujue kujenga hoja kwa mapana, lasivyo utaishia kuandika madudu tu kama haya uliyo yaandika hapa.Hakuna unacho elewa,
Endelea kuamini,
Kama umejibu quote,
Zipo hoja kama time is real or not.
huenda upo sahih kila kitu kinapotokea kimesababishwa asili ya mwanadamu ni ipi kama hajaubwa?Kwanza watu hawaumbwi.
Watu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.
Watu hawaumbwi na wala HATUKUUMBWA.
Biblia ni hekaya na hadithi za kutungwa na wajinga wa kale.
Biblia sio uthibitisho.
Biblia ni hekaya kama zilivyo hekaya za Abunuwasi.
Biblia imejaa hadithi zisizo na logical consistency.
Huyo Muumbaji kabla ya kuumba kitu chochote kile, alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kulitoka wapi?
Na pia kuliumbwa na nani?