Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Gari ya kuongelewa inatakiwa iwe na sifa zipi?! Kwa hizo sababu ulizotoa hakuna ata yenye mashiko, '' ubora wake wa mashaka'' tupe technical reasons ili tusadiki hayo unayo yaeleza.''Not friendly in all weather road" Sasa ndugu unanunua Sedan car ili ukalimie viazi huko Mabengo😂 Lete sababu zenye mashiko. Gari kuwa chini ama juu inategemea unanunua gari kwa matumiz gani. Huna sababu za msingi wewe ni mpiga porojo😂
 
Athlete inaJitahidi ila nilikuwa na vw amarok niliipita kama imesimama na sikuiona tena njia ya dodoma maeneo ya kibaigwa......
 
Mkuu we unayajua magari[emoji122]

Mimi hata bure [emoji146] siitaki

Liko chini sana labda hiyo interior features ndo mvuto kiasi chake, but hilo gari ni big nope[emoji119][emoji119]

Extrovert
 
Mkuu we unayajua magari[emoji122]

Mimi hata bure [emoji146] siitaki

Liko chini sana labda hiyo interior features ndo mvuto kiasi chake, but hilo gari ni big nope[emoji119][emoji119]

Extrovert
Hahahah we mchumba najua ulevi wako ni tugari twa juu juu 😂 akina Dualis, Xtrail, Harrier, Kluger, Prado, RR Evoque, RR Vogue, VX V8, Beamer X5/ X6 n.k
 
Hahahah we mchumba najua ulevi wako ni tugari twa juu juu [emoji23] akina Dualis, Xtrail, Harrier, Kluger, Prado, RR Evoque, RR Vogue, VX V8, Beamer X5/ X6 n.k
Best yangu anamiliki hili bati asee anateseka na kugonga chini huyo

Yaan tuta kidogo utasikia paraaaa,

Mi namwambiaga endelea kuburuza chini[emoji28][emoji28]
 
Best yangu anamiliki hili bati asee anateseka na kugonga chini huyo

Yaan tuta kidogo utasikia paraaaa,

Mi namwambiaga endelea kuburuza chini[emoji28][emoji28]
😂 Kuna maraia wanaita gari za kudumbukia chini! aigofonge ma spacer kwa fyade
 
[emoji23] Kuna maraia wanaita gari za kudumbukia chini! aigofonge ma spacer kwa fyade
Ha ha ha ha

Eti kudumbukia chini[emoji28][emoji28]

Huyu jamaa halafu ni mlevi sasa japo brazamen, akitaka kupark pale "likwidi" kurasini na yale mashimo ya pale utamuonea huruma!

Huwa mi nashuka kwanza namuacha asegedansi nalo[emoji16]
 
Tabia za madereva wa crown walio wengi ni kukimbia sana. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Siku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
Ndo tabia za madereva wa crown, wanapenda ligi. [emoji23]
 
Jamani kimbieni sana barabarani lakini mjue barabara zetu haziruhusu hizo mbio zenu za 140kph.
Ukifika hizo speed wewe tayari unakuwa chanzo cha ajari kwani unaweza sababisha ajari bila hata kujua.
 
Mkuu we unayajua magari[emoji122]

Mimi hata bure [emoji146] siitaki

Liko chini sana labda hiyo interior features ndo mvuto kiasi chake, but hilo gari ni big nope[emoji119][emoji119]

Extrovert
Kinacho zungumziwa ktk thread hii ni mwendo, ukikutana nalo huko main road liache lipite. Swala la gari kuwa juu ama chini hizo ni personal choices. Watengenezaji wa magari utengeneza magari kwa sifa flani flani kutokana na uhitaji wa soko na usalama pia. Crown ni gari yenye power na kasi, kuwa chini ni kwa ajili ya stability na ndio maana ata ukiwa ktk speed ya120km/hr unalala nayo ktk kona vizuri sna tofauti na hayo magari ya juu. Jaman mjue kutofautisha kati ya Sedan na Suv. Fizikia haiongopi, haya magari yenye kasi yangetengezwa yawe juu yangekuwa yanachinja watu kila siku. Muwe na mnaangalia hayo magari yana offer nini sio kusema tu ipo chini, mtengenezaji katengeneza liwe chini kwa sababu muhimu sana. Usalama wa dereva na abiria ni muhimu sana kuliko huo mtazamo wako wa kuwa juu ama chini.
 
Bentayga, DBX, Urus, AMG lineup, M version.

Hiyo Crown haifikii hata nusu ya balaa la hizo version hapo juu. Na ni SUV.
 
Crown au Mark X zinaendeshwa na hypes zaidi kuliko uwezo wao. Na wanunuzi wa magari wengi washamba, wanaenda na fasheni zaidi kuliko uhalisia.

Fuga au Skyline ni silent brands ila zina balaa kuliko hao kina Crown.
Na ndiyo maana wengi wanalia lia...kisa class mate wake kanunua, na yeye anajaa humo humo bila kuzingatia vigezo na masharti....kwa kweli bongo tunapenda sana fashion...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…