Athletics is dead!!!

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335

Welcome to Tanzania, where incompetence and laziness in our leaders are normal traits.

and this idiot is not even ashamed to say "we still have time"

SMH

:: IPPMEDIA
 
Tangu JK ameingia madarakani concetration ya wizara ya michezo imehamia kwenye soka.Michezo kama ngumi na riadha yote imetelekezwa
 
Leadership Wakuu!!!

Private sector if requested can support!

Maneno mengi??? Na sababu nyingi!!!!!!!!!!!!!!!

Angalia jirani zetu kenya na Ethiopia..kwa nini tusijifunze mikakati yao??

Lini tutaamka??
 

These so called leaders have obviously failed to do the job but instead of firing them what do we do. We leave in the same positions and somehow expect different results.
 
Then kwani lazima viongozi wawe kina Bayi Nyambui tu? sasa hivi eti na wake zao nao wamekuwa viongozi!! mnh! nchi hii?
 
Then kwani lazima viongozi wawe kina Bayi Nyambui tu? sasa hivi eti na wake zao nao wamekuwa viongozi!! mnh! nchi hii?

...bado miaka mitatu tu michezo ya Olimpiki 2012 London ianze...
kama kawaida ya viongozi na wanamichezo wetu, wanasubiria dakika za mwisho 'zimamoto' ya kuangalia viwango ili nao wapate posho na safari...

Zama hizi za ushindani wa mapromota i.e Vodacom, Tigo, Serengeti, Zain nk ndio wakati ungekuwa muafaka kwa TAAA kuandaa mashindano ya kitaifa kuanzia ngazi za UMISETA mpaka michezo ya Majeshi,...

Inasikitisha kuona viongozi waliopo madarakani, i.e kina Nyambui, Bayi na wengineo waliovuma enzi hizo hawaweki mikakati madhubuti ya ushiriki angalau ya Olimpiki tu! 😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…