Domo Kaya
JF-Expert Member
- May 29, 2007
- 531
- 60
Mimi sio mpenzi sana wa michezo ila napenda mara chache chache kuangalia mpira wa miguu (football),kila mara huwa nahisi kunakitu kina miss kwenye soka letu ukilinganisha na mipira ya ulaya.
Sasa jana kwa bahati nikiwa nasoma gazeti lile la Dimba nikakuta na habari huyo bwana hapo juu Athumani China,anampango wa kuendeleza soka letu.
kiukweli kabisa,ukianagalia Historia ya kisoka ya huyo bwn. China (kwa mujibu wa Muhandishi wa Makala hiyi Ndg.Mahmoud). some how nikawa amuse kwamba at last kunamtu anafikiri juu ya kuendeleza tasnia hii ya soka.
Mwenye kufahamu zaidi juu ya huu mpango hapa Jf atuwekee tuujue na kama kuna maoni pia tutoe,nafahamu hapa JF ndio kila kitu haman kisicho julikana