Athuman Maige, Mbunge wa Tabora Kaskazini aomba serikali ifanye utafiti mahususi kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania

Hawa watu wa magharibi pamoja na kukaa kwao mwikulu miaka yoote huwa hawawanufaishi watu wao zaidi ya fitina na mambo ya hovyo hovyo, yule wa mpanda yeye aliambulia uwaziri mkuu, huyu yeye kazi yake kuchongea wazalendo wenzie
 
Hata sehemu nyingi nyeti wamejaa watoto wa wanasiasa na wengi wamesoma nje au shule za Hela mingi,
Hii yote ndiyo mana elimu yetu imebaki kufanyiwa ngonjera tu!
Tukitaka kuboresha elimu watoto wa viongozi wote wasome shule za umma
 
Africa kuna nchi inafundishia lugha yake ya asili? Kwanza africa ki asili huwa hakuna lugha moja ndani ya nchi moja, kiasili waafrica huwa tuko kwenye makundi madogo madogo mfano tanzania tuna lugha 120, south africa wana lugha lasmi 10, ethiopia kidogo wameendelea na lugha yao rasmi, lakini kihistoria ethiopia haikuwahi tawaliwa, na ustaarabu wa kihabeshi ulianza miaka maelfuniliyopita, the rest tuko taabani
 
 
Watu huwa wanabisha kitu hawajaelewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…