Ati kupanga ni kuchagua

Ati kupanga ni kuchagua

Stevevanny

New Member
Joined
Mar 14, 2021
Posts
1
Reaction score
2
Wadau nimekuwa nikifikiria sana

Hakuna suala gumu kama kufanya planning...Napata shida sana kwenye kufukiria nn nifanye nje ya box
(business) yaan cna idea kabisa japo mtaj ninao kama 1M hv nashindwa nifanye business gan mnanishaulije wataalam
 
Business ni risk steve lazima uwe tayari kujifunza mnoo kipindii ujui chochote ni kama shule kuna watu wako vzr kwenye math,physics tafuta unachopenda jifunze uwe master..
 
Back
Top Bottom